Daudi Ballali's Death

Daudi Ballali's Death

Status
Not open for further replies.
Mwenye kutaka kuserach aendelee kusearch ili tuelimishane kwenye hili!
Ukigonga jina message zao zinakuja!
Utaalam wa kutambua zaidi ya hapo mimi mwananchi wa kawaida si rahisi!
Gonga chini na uendelee kutoa maoni yako.

http://www.zabasearch.com/messages/zaba_messages_thread.php?fid=445680

Na ukienda hapo kama vile unataka kuacha ujumbe..Then ni ujumbe kwa Ballali, Kinyaga ama Muthoni!
Nani anajua kama kuna message nyingine ambazo either hazija appear ama zimefutwa?
Hiyo hapo juu ni communication link ya watu watatu
1)Daud T S Ballali
2)Daudi Kinyaga
3)Muthoni Munyi
 
Mwenye kutaka kuserach aendelee kusearch ili tuelimishane kwenye hili!
Ukigonga jina message zao zinakuja!
Utaalam wa kutambua zaidi ya hapo mimi mwananchi wa kawaida si rahisi!

http://www.zabasearch.com/messages/zaba_messages_thread.php?fid=445680

Malaika akamuuliza: Ni wewe uliyesema:
No nasema kulishawahi kuwa na mawasiliano kati ya hao watu through messages zinazoachwa kwenye web!
Status ya huyo mukonyi inaonekana ni mtu mzito!
Halafu ni messages zinazoonyesha kuficha ficha mawasiliano yao! Lakini web imewaumbua!

Kwa hiyo unao ushahidi wa kuwaunganisha watu hawa; iweje saasa udai

Utaalam wa kutambua zaidi ya hapo mimi mwananchi wa kawaida si rahisi!

Naye akajitetea akasema:...
 
Taarifa za kifo hapa marekani ni public info!
Na si familia inayotoa habari hizo kama wanavyodai kina Kishoka!
Habari hizo hutolewa na coroner kwenda kwenye magazet and so forth!
Na hao wenye hiyo funeral home nao wasiwasi sana kwasababu hata wao walitakiwa wawe na database yao ili tuweze kusearch watu waliokufa kama vile funeral home nyingine zinavyofanya!
Habari hizi tayari zingeshakuwa public hadi sasa!
Kwanini zinazuiliwa isivyo kawaida?
Hiyo funeral home nayo tutaichunguza tu!

Dude,

Either you are very naive and would like to argue for the sake of arguing or you are completely mis-informed and you are floating like un-guided missile.

Ulileta allegations kuwa Ballali ni Kinyaga tukakuhoji mpaka ukagundulika makosa yako ni yapi.

Umetaka cheti cha Kifo ukafanya utafiti kutumia search engines ambazo haziaminiki. Umepewa ushauri wa nini unatakiwa kukifanya, unaendelea kukataa na kudai wengine wana siri au wanashupalia ufisadi.

I told you why don't you call the death registry clerk on State of Maryland to get confirmation?

Do you know how the system works in US?

Do you know how long does it take for information to actually be updated and become a public record?

If the family has not approached the state (responsible authorities) and declare their beloved one has passed away and obtain/present a medical certificate as a proof to obtain a death certificate, how do you think it is going to be a public record?

I will give you another place to search for this public record, browse through all Maryland newspaper on orbituary section and see if this has now been published!

Check your facts son! You need to focus and take time to learn stuff and not assume everything is done out of a blue.

Inaelekea hutaki kufundishika! Please leave my name out of your discussion as a reference to validate your stupidity and excusses!
 
Makosa yanaweza kuwa ni ya search engine na juhudi zifanywe kuyarekebisha ili yasipate mwanya kwenye hizi conspiracies
 
Na ukienda hapo kama vile unataka kuacha ujumbe..Then ni ujumbe kwa Ballali, Kinyaga ama Muthoni!
Nani anajua kama kuna message nyingine ambazo either hazija appear ama zimefutwa?
Hiyo hapo juu ni communication link ya watu watatu
1)Daud T S Ballali
2)Daudi Kinyaga
3)Muthoni Munyi

Jaribu kusachi Daudi Makange uone utapata nini mkuu!

hint.... the same three names will appear. Inaonekana hivi karibuni itabidi uwaombe msamaha hawa vijana.
 
Wewe ndio umeuliza, ume m-challenge JM, kwa nini asiongee na State Department atuletee habari. Naku address wewe, kwamba yeye hawezi kuongea na State department.

Mhh,

Aliyeshika bango kuwa Zitto awaombe State Dept watueleze aliko Balali na mimi nikasema kuwa hiyo si kazi ya State Detp ni mimi tena! Mimi nimempa uji wake aliokoroga aunywe. Yeye amesisitiza kuwa Zitto alitakiwa kuomba hii habari ya Balali kwa state Dept na mimi nikamzuia lakini akazidi kusisitiza so nimempa uji wake mwenyewe aunywe - aende State Dept kuulizia hii habari.

Get it?
 
Na miye nimesearch kwa jina la Daudi Mwanakijiji na nimepata hilo hilo ila maajabu yake niliposearch kwa jina la Daudi Mushi... nilichokiona kimenishtua!! Kumbe mwenzetu ndiyo anauhusiano na Ballali kwa sababu nikisearch Daudi Ballali na Daudi Mushi napata matokeo zaidi ya hayo.
 
Naona kweli...Lakini wakati nikifanya hivyo awali ilikuwa hainipi hivyo..So nakubali inawezekana!
Narudia tena..Haya yanaepukika kama Familia ikielewa umuhimu wa Ballali kwa watanzania!
 
kwi kwi kwi kwi..

yaani sina mbavu kabisa .....
 
Mhh,

Aliyeshika bango kuwa Zitto awaombe State Dept watueleze aliko Balali na mimi nikasema kuwa hiyo si kazi ya State Detp ni mimi tena! Mimi nimempa uji wake aliokoroga aunywe. Yeye amesisitiza kuwa Zitto alitakiwa kuomba hii habari ya Balali kwa state Dept na mimi nikamzuia lakini akazidi kusisitiza so nimempa uji wake mwenyewe aunywe - aende State Dept kuulizia hii habari.

Get it?

Mwafrika wa kike..Zitto alimwakilisha nani hapa US alipoalikwa na hao State dept?
 
Mwafrika wa Kike,

Mimi nimesearch kwa Daudi Mtanzania na nimepata kama ulichopata.

Hapa theory ya Jmushi1 naona imegoma.

Mtanzania...

Angalau wakuu kama wewe mkiandika hapa namna hii mambo yanaonekana wazi zaidi na ninaamini Mushi atavuta pumzi kidogo na kufanya the right thing.

Unajua mimi nina hasira na yote aliyofanya Balali na nimeonyesha hasira zangu hapa all the time. Nilichojaribu kujizuia kwenye hili ni kufanya mambo kwa pupa.

Kwa sasa ninawaamini Invisible na Mwanakijiji katika hili mpaka hapo itakapodhihirika vinginevyo.

Asante kwa hili.
 
Naona kweli...Lakini wakati nikifanya hivyo awali ilikuwa hainipi hivyo..So nakubali inawezekana!
Narudia tena..Haya yanaepukika kama Familia ikielewa umuhimu wa Ballali kwa watanzania!

Naona sasa itabidi uwaombe msamaha hao vijana kwa yote mabaya uliyosema dhidi yao hapa JF. Unaonaje pia kama ukiomba ile thead nyingine uliyoanzisha kuhusu hao vijana ikafungwa kwa sasa?
 
Naomba unijibu...ZITTO ALIMWAKILISHA NANI KWENYE ZIARA YAKE ALIYOALIKWA NA STATE DEPT??
 
Naona kweli...Lakini wakati nikifanya hivyo awali ilikuwa hainipi hivyo..So nakubali inawezekana!
Narudia tena..Haya yanaepukika kama Familia ikielewa umuhimu wa Ballali kwa watanzania!

hapana hukuwa unafanya hivyo tumekuimbia tangu jana kuwa matokeo unayapata kwa sababu common denominator siyo jina la mwisho bali jina la "Daudi" na sasa unataka uanzishe hoja nyingine kuwa

"baada ya kulalamika na kugundulika zabasearch wamebadilisha info zao kama nilivyowaomba na hivyo Ballali akitumia mabilioni ya dola amepoteza info zake".

Ukiwa muungwana sema umekosea na jazba yako ilikupotosha na kupoteza muda mrefu wa watu kukufundisha somo ambalo ungejifunza kiurahisi tu pale ambapo ungeamua kujiuliza "yawezekana wakko sahihi".

So, kubali tu ulipotoka kwa maili nyingi ili tuendelee na kile hasa ambacho tunakitafuta which is tusubiri kesho maana mambo ya kwanza yatajulikana kama kweli Ballali kafa au la.

Lakini nimefurahishwa sana na uhodari wake na hamu yako ya kutafuta ukweli na kutoridhika na majibu ya mkato au ya haraka haraka. Watu kama wewe wanafaa sana katika uchunguzi, so for your persistence and dedication to the diligent search of the truth... I salute you.

Next time though usibishe tu ili ubishe.

M. M.
 
Naona sasa itabidi uwaombe msamaha hao vijana kwa yote mabaya uliyosema dhidi yao hapa JF. Unaonaje pia kama ukiomba ile thead nyingine uliyoanzisha kuhusu hao vijana ikafungwa kwa sasa?

Nakubali si tu kuwaomba radhi hao vijana!
Bali wana jf wote kwa ujumla!
Haya naomba jibu kwenye uwakilishi wa Mh Zitto!
 
Naomba unijibu...ZITTO ALIMWAKILISHA NANI KWENYE ZIARA YAKE ALIYOALIKWA NA STATE DEPT??

Hili ni swali zuri sana mkuu wangu Mushi.

Zitto aliwawakilisha watanzania kwenye ziara yake hapa US na kama kumbukumbu zangu zinavyoonesha, alikutana na watanzania wengi kila mara alivyokuwa akimaliza mikutano yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom