Daudi Ballali's Death

Daudi Ballali's Death

Status
Not open for further replies.
Samahani wandugu sitaki kuharibu hii mada!
Wacha tuendele na maombolezo halafu huu mjadala trust me nitauanzisha unless something happens then
 
Unaona?
Tumerudi tena kwenye yale mambo ya siri!
Nimeshasema kuwa siri ambazo hazimsaidii wala kuwahi kumsaidia mtanzania wa kawaida hazina mpango!
Misiri miiingi...Na ile ya KAMATI YA MADINI JE? mIsIrI mIiNgIi!

Mhh,

hivi ni wewe uliyeandika haya?

jmushi1 said:
Kazi ya kuhakikisha ni ya Saidi Mwema!
Mimi ni mwananchi ninayetoa taarifa tu!
Kazi ni yao kuzitumia intelligence zao kufind out what is what!

Kwa upande wako unawaachia kina Mwema, lakini kwa Zitto unataka amchukulie hatua Balali! What a revelation!
 
Lunyungu naye kaanzisha hii mada hapo chini!

Wakuu mimi siamini kuwa Balali amekufa, kwa sababu:-

1. kwa wale msiojua ni kwamba katika mji wa State ya
Boston, habari za wagonjwa kulazwa hospitali na wagonjwa
kufariki wakiwa kwenye hospitali za State hiyo ni open to
the public, yaani unaweza kwa kupitia internent kupata info
za mgonjwa yoyote aliyelazwa au kufariki huko Boston,

2. Boston, ina wakazi wengi sana wa kutoka bongo, ambao pia
wengine wamebobea kwenye sekta ya Medicine kwenye hospital
za huko na tunawafahamu kwa karibu, sasa haiwezekani kuwa
wote hawajui kwamba Balali aliwahi kulazwa hospitali gani
huko!

3. Haiwezekani Balali ambaye mpaka magazeti ya Boston, kama
Globe ambayo yanajua kuwa huyu ni mtu of special interest
kwa taifa letu na kwa waa-Afrika wengi wanaoishi Boston,
afariki dunia wao wasijue kabisaa, lakini gazeti la
Tanzania Daima, likajua that is a big joke!

4. Mke wa sasa Balali, ni dada wa mume wa dada wa mmiliki
wa gazeti la Tanzania Daima, ambalo ndilo limekuwa la
kwanza kusema hizi habari, now is this just another death
annoucemment, au?

5. Ni kwa nini wa-Tanzania kwa maelfu wanaoshi Boston,
hawajui Balali alipokuwa amelazwa au hata habari za msiba?
Angalau hata the big star Hashimu, the basketballer
angekuwa amejulishwa na wazungu somehow kuwa kuna mbongo
mwenzio hospital amelazwa au amekufa, lakini hata yeye
hajui na ni mwenyeji huko Boston!

Sasa kulikoni na hii habari?

Samahani wandugu sitaki kuharibu hii mada!
Wacha tuendele na maombolezo halafu huu mjadala trust me nitauanzisha unless something happens then

Kwi kwi kwi kwi..

Itabidi kwanza uwaombe msamaha wale vijana kwa kuleta habari za uongo na zisizothibitishwa hapa juu yao kabla ya kuanza thread nyingine....

La sivyo jiandae na bango la nguvu toka kwangu hadi kieleweke (joke).

Otherwise, Anzisha tu mada yoyote unayotaka mkuu na watu watachangia accordingly. Hii ni JF ambako nyani wanakomwa giledi.

Asante.
 
Jamani, kuna dhambi gani kutaja vyanzo vya habari na kuvinukuu? Tutaanza kuwanyima habari: Check this...

Waandishi Wetu
Daily News; Thursday,May 22, 2008 @18:02

Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Dk. Daud Ballali (65) anazikwa kesho jijini Washington, Marekani. Kwa mujibu wa taarifa zilizoifikia HabariLeo, mwili wa Ballali umehifadhiwa katika Nyumba ya Maziko ya De Vol iliyoko mjini Washington DC, kusubiri maziko.

Dk. Ballali alifariki dunia Ijumaa iliyopita Boston na juzi Serikali ilithibitisha taarifa za kifo hicho. Taarifa zilizopo zinaonyesha misa ya kumwombea itafanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Stephen Shahidi mjini Washington DC, na kuzikwa katika makaburi ya Wakatoliki ya Gate of Heaven, Silver Spring.

Kwa mujibu wa chanzo hicho, ibada hiyo ya mazishi itaenda sambamba na kuuaga mwili wa marehemu kuanzia saa nne asubuhi, shughuli ambazo zitaihusu familia yake, ndugu, jamaa, na marafiki wa karibu na si kwa hadhara ya kila mtu atakayeshiriki.

Ibada ya mazishi inatarajiwa kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiongozwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Ombeni Sefue, watumishi wa idara mbalimbali alizowahi kuzitumikia ikiwamo IMF na baadhi ya Watanzania wanaoishi maeneo ya Washington DC.

Dk. Ballali ambaye amefariki dunia akiwa amezungukwa na wingu kubwa la kashfa dhidi yake na taasisi aliyoiongoza, inasemekana aliacha wosia uliotaka atakapokufa azikwe Marekani.

Hata hivyo pamoja na kashfa nyingi zilizoandikwa na vyombo mbalimbali vya habari na kutangazwa majukwaani, Ballali hakuwa mtuhumiwa na hakukuwa na kesi yoyote ile ya uhalifu dhidi yake na hivyo amekufa kama raia na mtu huru.

Kabla Rais Jakaya Kikwete hajatengua uteuzi wake Januari mwaka huu, ilidaiwa kuwa Dk. Ballali aliandika barua ya kuomba kujiuzulu kutokana na hali mbaya ya afya akiwa Marekani, uamuzi ambao haukujibiwa hadi taarifa ya uchunguzi wa EPA ilipotoka na Rais Kikwete kutengua uteuzi wake kama Gavana wa Benki Kuu.

Wasifu wa Ballali unaonyesha kuwa wakati wa uhai wake aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali ndani na nje ya nchi. Mwaka 1967-1976 alikuwa mtumishi katika Benki Kuu ya Tanzania alishika nyadhifa mbalimbali. Mwaka 1979 -1984 alifanya kazi Ghana akiwa mtumishi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) kama mchumi.

Mwaka 1984-1986 akiwa IMF alihamishiwa Zimbabwe katika nafasi hiyo ya mchumi. 1986-1997 aliongoza timu ya IMF kwa ajili ya majadiliano na usimamizi wa sera ya mageuzi ya uchumi. 1997-1998 aliteuliwa kuwa mshauri wa Rais wa mambo ya uchumi na mwaka 1998 aliteuliwa kuwa Gavana wa BoT, wadhifa aliodumu nao hadi Januari mwaka huu.

Lakini wakati akiwa gavana, IMF ilimteua tena mwaka 2006-2008 kuwa mjumbe wa bodi za magavana akitokea Tanzania. Pia mwaka 2006 alikuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato (TRA).

NB: Kusema kama walivyofanya juzi kuwa chanzo cha taariza za msiba ni KLH News au Jamii Forums kuna ubaya gani. Ndiyo uungwana.
 
Mimi nasubiri kesho kwani Mwanakijiji alituahidi tusubiri hiyo kesho...
 
One word: PLAGIARISM
 
Utawaweza wenzetu bongo...... wanaona aibu kusema kuwa chanzo chao ni hapa maana wamechukua maneno almost sawa na haya hapa!
 
kwi kwi kwi..

Mwenzako niko kwenye competition hapa na Lydia Ngosha kisha unataka nijiharibia na nianze kupingana na Mkjj. .....lol

Mwafrika wa Kike,

Nimepatumiwa info pembeni hapa Lydia Ngosha ndo nani. Nilikuwa sina clue.

Kumbe ndo hivyo! Hiyo inaitwa conflict of interest. Unatetea maslahi ya Taifa na Wanyonge, halafu hapo hapo kumbe una maslahi binafsi.

Kwa hiyo siku ukishuhudia, let's say, Mwkjj anauwa mnyonge bila sababu, unaweza ukamtetea mnyonge au kusaidia kufichilia mbali maiti. Kutegemeana na spidi za Lydia Ngosha at that time, na status of the race baina yako na Ms. Ngosha at that time.

Conflict of interest Mwafrika wa Kike, Conflict of Interest...
 
Mwanakijiji unataka kuniambia Daily News wameinyanyua hapa hii issue word for word? Is that the case?
 
Jamani, kuna dhambi gani kutaja vyanzo vya habari na kuvinukuu? Tutaanza kuwanyima habari: Check this...

Waandishi Wetu
Daily News; Thursday,May 22, 2008 @18:02

Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Dk. Daud Ballali (65) anazikwa kesho jijini Washington, Marekani. Kwa mujibu wa taarifa zilizoifikia HabariLeo, mwili wa Ballali umehifadhiwa katika Nyumba ya Maziko ya De Vol iliyoko mjini Washington DC, kusubiri maziko.

Dk. Ballali alifariki dunia Ijumaa iliyopita Boston na juzi Serikali ilithibitisha taarifa za kifo hicho. Taarifa zilizopo zinaonyesha misa ya kumwombea itafanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Stephen Shahidi mjini Washington DC, na kuzikwa katika makaburi ya Wakatoliki ya Gate of Heaven, Silver Spring.

Kwa mujibu wa chanzo hicho, ibada hiyo ya mazishi itaenda sambamba na kuuaga mwili wa marehemu kuanzia saa nne asubuhi, shughuli ambazo zitaihusu familia yake, ndugu, jamaa, na marafiki wa karibu na si kwa hadhara ya kila mtu atakayeshiriki.

Ibada ya mazishi inatarajiwa kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiongozwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Ombeni Sefue, watumishi wa idara mbalimbali alizowahi kuzitumikia ikiwamo IMF na baadhi ya Watanzania wanaoishi maeneo ya Washington DC.

Dk. Ballali ambaye amefariki dunia akiwa amezungukwa na wingu kubwa la kashfa dhidi yake na taasisi aliyoiongoza, inasemekana aliacha wosia uliotaka atakapokufa azikwe Marekani.

Hata hivyo pamoja na kashfa nyingi zilizoandikwa na vyombo mbalimbali vya habari na kutangazwa majukwaani, Ballali hakuwa mtuhumiwa na hakukuwa na kesi yoyote ile ya uhalifu dhidi yake na hivyo amekufa kama raia na mtu huru.

Kabla Rais Jakaya Kikwete hajatengua uteuzi wake Januari mwaka huu, ilidaiwa kuwa Dk. Ballali aliandika barua ya kuomba kujiuzulu kutokana na hali mbaya ya afya akiwa Marekani, uamuzi ambao haukujibiwa hadi taarifa ya uchunguzi wa EPA ilipotoka na Rais Kikwete kutengua uteuzi wake kama Gavana wa Benki Kuu.

Wasifu wa Ballali unaonyesha kuwa wakati wa uhai wake aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali ndani na nje ya nchi. Mwaka 1967-1976 alikuwa mtumishi katika Benki Kuu ya Tanzania alishika nyadhifa mbalimbali. Mwaka 1979 -1984 alifanya kazi Ghana akiwa mtumishi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) kama mchumi.

Mwaka 1984-1986 akiwa IMF alihamishiwa Zimbabwe katika nafasi hiyo ya mchumi. 1986-1997 aliongoza timu ya IMF kwa ajili ya majadiliano na usimamizi wa sera ya mageuzi ya uchumi. 1997-1998 aliteuliwa kuwa mshauri wa Rais wa mambo ya uchumi na mwaka 1998 aliteuliwa kuwa Gavana wa BoT, wadhifa aliodumu nao hadi Januari mwaka huu.

Lakini wakati akiwa gavana, IMF ilimteua tena mwaka 2006-2008 kuwa mjumbe wa bodi za magavana akitokea Tanzania. Pia mwaka 2006 alikuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato (TRA).

NB: Kusema kama walivyofanya juzi kuwa chanzo cha taariza za msiba ni KLH News au Jamii Forums kuna ubaya gani. Ndiyo uungwana.

Ok..Nisahihishe kama nimekosea!
Kwenye highlight: Balali alikuwa mtu huru kujiamulia mahali atakapozikwa!
Na akaamua kuzikwa marekani kwasababu alikuwa huru kutorudi bongo ambako alikuwa hatuumiwi kwa lolote!?
Mstake n'cheke!
 
If that is the case they should apologize for that unethical act and acknowledge the fact that they did not disclose the source.

Yaani they did not even bother to paraphrase?

Mwanakijiji au wewe ndiye uliyechukua kwao? au ilikuwa ni release fulani mmepewa wote?
 
Mwafrika wa Kike,

Nimepatumiwa info pembeni hapa Lydia Ngosha ndo nani. Nilikuwa sina clue.

Kumbe ndo hivyo! Hiyo inaitwa conflict of interest. Unatetea maslahi ya Taifa na Wanyonge, halafu hapo hapo kumbe una maslahi binafsi.

Kwa hiyo siku ukishuhudia, let's say, Mwkjj anauwa mnyonge bila sababu, unaweza ukamtetea mnyonge au kusaidia kufichilia mbali maiti. Kutegemeana na spidi za Lydia Ngosha at that time, na status of the race baina yako na Ms. Ngosha at that time.

Conflict of interest Mwafrika wa Kike, Conflict of Interest...

..lydia jina tamu!

..btw,weekend bado! i'm just saying! lol!
 
Hata ile ya thisday utafikiri Mwanakijiji ndiye source yao.

Yaani huu nao ni ufisadi wa habari. Walitakiwa waonyeshe source.
 
Mwafrika wa Kike,

Nimepatumiwa info pembeni hapa Lydia Ngosha ndo nani. Nilikuwa sina clue.

Kumbe ndo hivyo! Hiyo inaitwa conflict of interest. Unatetea maslahi ya Taifa na Wanyonge, halafu hapo hapo kumbe una maslahi binafsi.

Kwa hiyo siku ukishuhudia, let's say, Mwkjj anauwa mnyonge bila sababu, unaweza ukamtetea mnyonge au kusaidia kufichilia mbali maiti. Kutegemeana na spidi za Lydia Ngosha at that time, na status of the race baina yako na Ms. Ngosha at that time.

Conflict of interest Mwafrika wa Kike, Conflict of Interest...

Kwi kwi kwi kwi...

naona unataka kuingia mkenge mkuu wangu!
fuatilia vizuri chanzo chako maana unapotezwa. Angalia usiwe kama Mushi aliyeanza kuwachafua vijana wa watu hapa kuwa wanahusiana na Balali.

Ni ushauri tu!
 
..mwk,

..niliposoma i was like "hii si ndio mwkjj aliyoandika". it's very low of them.

..what a shame!

yaani acha tu!

Hapa nilipo mie nasikiliza Sebene3 mix toka east african tube!
Halafu kuna watu wanasema eti nianze kupingana na Mwkjjj!

Mweeeee... waishie mbali tena washindwe na walegee!
 
If that is the case they should apologize for that unethical act and acknowledge the fact that they did not disclose the source.

Yaani they did not even bother to paraphrase?

Mwanakijiji au wewe ndiye uliyechukua kwao? au ilikuwa ni release fulani mmepewa wote?

Pundit.. kabla ya mimi kuwajulisha watu mwili ulipo, misa inafanyika wapi, hakuna mtu mwingine yoyote aliyejua hata familia hawakujua najua kwani nilitafuta sana wakanitolea nje. But then the "nzi" huwa anaruka anakopenda na anaweza kuingia sehemu ambazo huwezi kuamini unaweza kumkuta.

Niliweka habari tangu jana mchana kidogo tu kwenye klh nikiweka habari za kanisa bila details. Watu wa This Day walipoona hicho kiduchu wakaniomba exclusive report ndio nikawapa na ndio umeona it is the only news papers ikiwa na details leo asubuhi.

Jana usiku nikatuma original story kwa walio kwenye mailing list yangu (among them ni Michuzi - which he has posted now) na Daily News, na magazeti mengine. Unapoletewa taarifa kama hiyo ambayo ni exclusive it is good to acknowledge the source hata kama ukiitumia yote kama ilivyo.

Sasa, sina tatizo watu kutumia report lakini wangejua efforts ambazo mtu anachukua kufuatilia mambo haya wangetaja japo KLH News au JamiiForums lakini kudai "waandishi wao" watanifanya kesho niwanyime uhondomwingine nikipata kwani yule nzi ameishaingia Kanisani na kukaa karibu na mshumaa wa Altare....

Sihitaji wasema mwanakijijji (it'll be too much attention) wangetaja Jamii Forums au KLH News... Wasipoomba radhi, nawakata kwenye cycle yangu.
 
Vyombo vya habari vinatakiwe viwekwe kiti moto kwa plagiarism pia. Si haki kwa mtoa habari ambaye hata hakuwa paraphrased.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom