Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
"Mke wa sasa Balali, ni dada wa mume wa dada wa mmiliki wa gazeti la Tanzania Daima, ambalo ndilo limekuwa la kwanza kusema hizi habari.
....wakuu hiyo nayo inaniacha hoi.
Sawa basi.
Balali naye hana rekodi kama huyo Fatmatha En-Opong Francis!
Are you happy now?
Halafu kuna mtu alituma posting huko kwa mithupu kuwa eti Mwafrika wa Kike ni back up profile name ya MKJJ!
Is it true ama ni conspiracy theory nyingine? Maana mara zote yeye hujitetea kuwa anapika jikoni!
Maana naona mko bega kwa bega kama mapacha!
Halafu kuna mtu alituma posting huko kwa mithupu kuwa eti Mwafrika wa Kike ni back up profile name ya MKJJ!
Is it true ama ni conspiracy theory nyingine? Maana mara zote yeye hujitetea kuwa anapika jikoni!
Maana naona mko bega kwa bega kama mapacha!
kwanini? unachosema ni kuwa familia imejua kwanza, sasa isingejua? au unataka kusema kuwa kwa vile walijua kwanza wangesubiri kutoa taarifa kwa vile wana undugu?
Pili si kweli kuwa wao walikuwa wa kwanza kutoa habari hizi. Habari hizi ziliandikwa masaa zaidi ya 12 hapa na wapo waandishi wa Tanzania Daima (mimi mmojawapo) ambao ni wanachama hapa.. why can't we be the source of that Information kwa Tanzania Daima?
Mushi,
kuna dada na rafiki yangu kutoka Liberia alikufa hapa kwenye state ninayoishi wiki tatu zilizopita anaitwa Fatmatha En-Opong Francis. Hebu tafuta hili jina kwenye state zote za midwest (ninakoishi mimi) uone kama kuna record yoyote.
Nakushauri ufuatilie tena facts za death records ili uone kama ulichosema hapo ni sahihi.
hao bwana ! watetezi wa MBOWE !
na kama ni kweli!!?
Halafu kuniambia ni search majina ya watu nisiowahi kuwasikia dont sound right!
Nani anajua kama hilo jina ni true?
Balllali ni jina tunalilijua na tuko extremely interested!
Huyo Fatunata wako no body cares!
Unaweza kuamini chochote unachoweza kuamini mkuu... ukitaka kusema kuwa mimi ni Mwanakijiji basi ni juu yako kuamini hilo na sitakuzuia kuamini hivyo.
Kuwa bega kwa bega na mwanakijiji is a very high calling..... Tumekuwa kwenye alot of things together hapa JF. Tulikuwa pamoja wakati wa Amina Chifupa na tulikuwa pamoja wakati wa jitihada za kummulika Lowasa na maneno yake ya visungura na ndege za uchumi.
Siwezi kuachana na Mwanakijiji leo kwa vile tu amepewa habari za kifo cha Balali. Katika hili mkuu amini au sema chochote utakacho ila mimi nitakuwa bega kwa bega na this bad boy mwanakijiji for a long time katika mazuri na mabaya hapa JF.
karume kafa na tumekubali
I do ..... yes .... very much!
Taarifa za kifo hapa marekani ni public info!
Na si familia inayotoa habari hizo kama wanavyodai kina Kishoka!
Habari hizo hutolewa na coroner kwenda kwenye magazet and so forth!
Na hao wenye hiyo funeral home nao wasiwasi sana kwasababu hata wao walitakiwa wawe na database yao ili tuweze kusearch watu waliokufa kama vile funeral home nyingine zinavyofanya!
Habari hizi tayari zingeshakuwa public hadi sasa!
Kwanini zinazuiliwa isivyo kawaida?
Hiyo funeral home nayo tutaichunguza tu!
So as the name Ballali to all the concerned citizens!