Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
hapana mkuu sio lazima!!
girl you brought tears to my eyes... one of these days heaven will show its gratitude!
hapana mkuu sio lazima!!
jinsi alivyokufa...!?
hutaki au vipi? yuko mtanzania anaebisha kuwa Karume Rais wa kwanza wa Tanzania kuwa kafa ?
Nimejaribu kusema subirini kesho.. watu hawataki.. we try to live the life of "the now".
a. Habari ya msiba imetolewa
b. Nyumba ambayo mwili umelezwa imetolewa na simu na anuani vipi (pigeni muulize)
c. Wapi misa itafanyika na muda vimeelezwa (hamtaki)
d. Wapi mwili utazikwa/utatetekezwa pametajwa.
As far as kifo is concerned kubisha hajafa ni kazi kwa mtanzania kwani viongozi wa kitaifa wa Tanzania huwa hawafi kwa kawaida! Mention one ambaye amekufa tukakubali kafa kwa kawaida! I dare you (usinitajie mjumbe wa nyumba kumi)
Ditto mbona tulikubali? Au naye alikuwa mjumbe wa nyumba kumi kumi?
Balali kafa fofofo wajameni...........acheni ubishi!!! familia inaweza kuziomba mamlaka habari za kifo chake zisiwekwe wazi kwa general public!! kama una muda nenda kwenye county alofia fungua kesi ya kupewa habari juu ya kifo chake.....lakini lazima uwe na vijisababu vya nguvu, ama sivyo jaji atakutoa dima (toast out kajikesi kako)!!!
...mbona unaongea kama umekata tamaa? au uchovu tu? mambo mengine unatakiwa uwe umekula na kushiba ndindindi!! LOL
Ditto mbona tulikubali? Au naye alikuwa mjumbe wa nyumba kumi kumi?
Hii thread kumbe bado inaendelea......
karume kafa na tumekubali
jinsi alivyokufa...!?
aliuliwa na kanal homoud pale makao makuu ya ASP kiswandui.
mbona kuna tetesi kwamba alitumiwa jini kiwete kumuua?