Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Poa man usijariOhhhppppssss....[emoji47] [emoji47] [emoji47]
I'm sorry mzee baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa man usijariOhhhppppssss....[emoji47] [emoji47] [emoji47]
I'm sorry mzee baba
Mungu akikujaalia ungependa kuwa na familia ya watoto wangapi?Aah! Mzigua huyoo, nilikua nakuwaza muda sio mrefu huwezi amini..
Sina watoto/mtoto mkuu
Aisee siku hizi umechangamka hadi rahaa.
Ndio nilishawai kufika..Uliwahi kufika polisi kwa jambo lolote
Ilikuaje
Mwanamke mweupe au mweusiNdio nilishawai kufika..
Kuna dreva boda boda alipata majanga mtaa wa jirani yani alipigwa na kuporwa piki piki yake, kwakua alikua kaumia sana tulimpeleka police apata PF3 kabla ya kwenda hospital
Hebu toroka uje unisalimie nikufinye sikio, bro asione lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahah! karibu sana mkuu nafurahia uwepo wakoHahahaa.. ulikua unashangaa sijaja kutia neno kwenye uzi wako mkuu? Nilikua nasubiri uende ende nisome kwa nafasi.
Nashukuru kwa kunikaribisha. Niko hapa.Hahah! karibu sana mkuu nafurahia uwepo wako
Wa3 itapendeza zaidiMungu akikujaalia ungependa kuwa na familia ya watoto wangapi?
Mfia nchi kwanza chamaa baadae [emoji1]Mfia chama/mfia nchi?
tehteehh....[emoji12] [emoji12]Unatamani sana kwenda peponi ila kufa hutaki.
You cant eat your cake and have it.
Dini haijawahi kuruhusu biashara ya ushogaKuna biashara au shughuli natamani kuzifanya ni ninahisi zina masilahi ila upande wa dini unakuta dini hairuhusu basi naamua kuacha
Ahahahaaaaaa pambana mamaAhahahhhh lazima nichangamkie atakuwa mkinga huyu Ney