Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 6,610
- 13,270
Waambie wafanye kweli...Kazi imekwisha anza kwa akina 'Wicked', iliyopo wao wasubiri tu wakati wao watafikiwa tu!
Hasa huyu Abdulla, inahitaji pawepo na haraka asiendelee kuleta uharibifu mkubwa.
Waambie wafanye kweli...Kazi imekwisha anza kwa akina 'Wicked', iliyopo wao wasubiri tu wakati wao watafikiwa tu!
Hasa huyu Abdulla, inahitaji pawepo na haraka asiendelee kuleta uharibifu mkubwa.
Hilo ndilo swali la kujiuliza.Kwanini wanataka kumuua Djumbe, mbona si mtu wa siasa za majukwaani wala mtandaoni?
inaanzaga mtu anakamatwa ...anatoa ripoti na mwisho wa siku anapotea
afu maisha yanaendelea
Washazoea kula nyama za watu kamwe hawawezi kuacha mpka na wao waliwe majangiri kabisa ukizingatia alivyowacholopoka walikuwa wanaenda kummaliza iko waziKwanini wanataka kumuua Djumbe, mbona si mtu wa siasa za majukwaani wala mtandaoni?
Unasema umetekwa na watu wasiojulikana halafu unataja jina la mtu! Ahahahahaha!Nimepata Taarifa toka chanzo ninachokiamini kwamba, Abdul kwa kumtumia Sumai wameamua kunitafuta tena na kuniteka ili waniue. Nilishasema niko wapi wanajua, ila wajue sijakaa kizembe, safari hii wajiandae kuacha utumbo.
Siwezi kurudi nyuma kwenye mapambano ya kutafuta haki kwa sababu ya wapumbavu kama hawa kamwe, najua wana silaha na fedha wanazojichotea, lakini sisi tuna Mungu na tuna ujasiri.
Nawakaribisha sana.
=====
May 21, 2026, Msaidizi wa Tundu Lissu, David Djumbe alidaiwa kutekwa usiku na watu ambao hawakujulikana ambao walikuwa na silaha za moto. Djumbe alitekwa akiwa nje ya geti la nyumbani kwake, maeneo ya Bunju Dar es Salaam.
Soma:
~David Djumbe (Msaidizi wa Lissu) atekwa
~Msaidizi wa Lissu apatikana baada ya kudaiwa kutekwa akiwa na pingu mkononi pamoja na majeraha
Wananchi waliokuwa wanalikimbiza gari lililomteka, walisema wameliona likiingia kwenye nyumba za Usalama wa Taifa zilizopo maeneo ya Mbweni.
Na, Usiku huo huo, Mei 21, alipatikana akiwa na pingu mkononi pamoja na majeraha ambapo siku inayofuata alifika polisi kufunguliwa pingu na polisi Kudai wanafanyia uchungiz suala hilo.
Mtu akiwa na shaba hawezi kutekwa kizembe!!Hawezi kushindana nao, watekaji ni mtandao mkubwa, bora kujificha tu kuriko kulala kwa shida kila siku
Hukumu Nov 6Ivi kesi ya Lisu imeishia wapi? Mkuu Erythrocyte
Peter Zakaria tajiri wa Tarime aliwavunja miguu kwa risasi.Mtu akiwa na shaba hawezi kutekwa kizembe!!
Fikiria Polepole au Mdude walivyovunjiwa milango wangekuwa na vyuma ndani ingekuwaje!!
Naikumbuka hii,wakaishia kumuangushia uhujumu uchumi.😀Peter Zakaria tajiri wa Tarime aliwavunja miguu kwa risasi.
Duuh! Afanye ahame hata nchi, hao watu hawana huruma wala hofu, utu walishauacha kitambo tu.
Afanye kujiepusha na mkono wa hao watu.
SUMAI ni NANI?Sumai ni nani?
Watoa kucha hao.SUMAI ni NANI?
Mwanzo nilidhani ni Sumaye; kumbe huyu ni SUMAI!
Mbunge wa kuteuliwa toka Unguja, huyu ndiye alianzisha sakata la kufukuzwa Nchimbi kwa kumwita Yuda bungeni.SUMAI ni NANI?
Mwanzo nilidhani ni Sumaye; kumbe huyu ni SUMAI!
Naona shoga linatafuta bwana kwa nguvu🤣🤣🤣Nimepata Taarifa toka chanzo ninachokiamini kwamba, Abdul kwa kumtumia Sumai wameamua kunitafuta tena na kuniteka ili waniue. Nilishasema niko wapi wanajua, ila wajue sijakaa kizembe, safari hii wajiandae kuacha utumbo.