Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 2,153
- 3,140
Simai?Mbunge wa kuteuliwa toka Unguja, huyu ndiye alianzisha sakata la kufukuzwa Nchimbi kwa kumwita Yuda bungeni.
Simai?Mbunge wa kuteuliwa toka Unguja, huyu ndiye alianzisha sakata la kufukuzwa Nchimbi kwa kumwita Yuda bungeni.
Yaani inasikitisha sanainaanzaga mtu anakamatwa ...anatoa ripoti na mwisho wa siku anapotea
afu maisha yanaendelea
Andai alikuwa mlinzi binafsi wa Tundu Lissu, nenda youtube ana mahojiano marefu saa nzima na nusu, ameezea pia sakata la Ali KibaoKwanini wanataka kumuua Djumbe, mbona si mtu wa siasa za majukwaani wala mtandaoni?
Labda anamchukulia poa Abdul yule ni mashine nyingine. Bora ukimbie tu
YesSimai?