David Jumbe adai Abdul, kupitia Sumai, anamtafuta ili amteke na kumuua. Asema hajakaa kizembe…

Kazi imekwisha anza kwa akina 'Wicked', iliyopo wao wasubiri tu wakati wao watafikiwa tu!
Hasa huyu Abdulla, inahitaji pawepo na haraka asiendelee kuleta uharibifu mkubwa.
Waambie wafanye kweli...
 
Unasema umetekwa na watu wasiojulikana halafu unataja jina la mtu! Ahahahahaha!
Ushauri wangu; acheni upumbavu!!
 
Peter Zakaria tajiri wa Tarime aliwavunja miguu kwa risasi.
Naikumbuka hii,wakaishia kumuangushia uhujumu uchumi.😀

Huyo bwana anajulikana Tarime na Musoma kuwa ni mtata,sijui walijichanganyaje hao watekaji.
 
Kuna watu wakstafuu ,watakuwa wanaota damu za watu na zitawatesa sana
 
Naona shoga linatafuta bwana kwa nguvu🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…