David Jumbe adai Abdul, kupitia Sumai, anamtafuta ili amteke na kumuua. Asema hajakaa kizembe…

Kwanini wanataka kumuua Djumbe, mbona si mtu wa siasa za majukwaani wala mtandaoni?
Andai alikuwa mlinzi binafsi wa Tundu Lissu, nenda youtube ana mahojiano marefu saa nzima na nusu, ameezea pia sakata la Ali Kibao
 
Labda anamchukulia poa Abdul yule ni mashine nyingine. Bora ukimbie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…