David Kafulila ahutubia Dunia kupitia Africa Energy Summit M300

Kafulila kapambwa wapi hapo kwanini hamtaki tuseme mazuri ya watu wakiwa hai?
Kila la heri kwake

Ila mwambie asijichanganye kwenda kugombea Ubunge, vinginevyo awe ameichoka nafasi yake ya Ukurugenzi hapo PPPC
 
Mwenye chongo katika vipofu
 
Wana vibao wanasoma kama hujui ,kuhutubia ni kipaji kama yule pastor Tonny ana kipaji... Viongozi wengi hawana hicho kipaji ila sio kesi.

Wazungu Wana vibao wanasoma hata umuone anaangalia mbele.
Kuhutubia hadhara ni kipaji.
 
Ila Upinzani tulipoteza mtu muhimu sana Kafulila
 
Watz sisi ni washamba sana!

Kwahiyo kiingereza ndio kinatatua KERO za watz!!?

Hivi lafudhi ya kiingereza ya Rais wa china au putin inaviutia kusikiliza!!?
Captain Traore je!!?

Kama kuongereza kizuri ni tija kwa taifa bas nyerere angetatua matatizo yote!

Binafsi sijawahi ona tija ya kiingereza nchini katika kuleta maendeleo Kwa taifa!said sana utumwa wa kifikra TU kwasasa Kuna Vifaa vya translator hata ukiongea kiswahili wageni wanaelewa!!

Tuache ushamba!
 
Kafulila ni mtoto halisi wa Tanzania hata kama wanamkatiaha tamaa
 
Ila muhimu kama hotuba imeeleweka, tuachane na usahihi na umahiri wa lugha, tena lugha ngeni
 
atakuwa ameshinda usiku kucha kukariri akifanya rehearsal chumbani kwake. sijawahi kumkubali huyu jamaa aliyejaa kibri. namfahamu kwa ukaribu. hata yeye anajua simsingizii. hakuna mfanyakazi wa umma mwenye kiburi kama huyo ukifika ofisini kwake.
 
Mbona ni kile kile cha Hi school ! My morning speech is about Government , Government is group of the people by the people for the people
What Is Single Parent Family?
 
Warundi wengi wanajua kifaransa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…