David Kafulila: Ajabu ni ipi Tanzania yenye ziada ya umeme kununua umeme?

Watanzania aliyrtuloga alishafariki!

Mbona USA wana visima vya mafuta lakini bado wananunua mafuta!
Ukiwa na viongozi kama Kafulia aliyeshindwa hata mkewe au akina Makonda na miungu yao unategemea nini?
Ukiwa na binadamu wanaofurahia na kupenda kuitwa machawa, unategemea nini?
Ukiwa na viongozi wanaojivunia kufuga chawa, unategemea nini mwanangu?
 
Kafulila yupo sahihi.. ni ujinga kusafirisha umeme kutoka rufiji mpaka kagera. Maelfu ya kilometa.

Huku ukiwa kagera unaweza kununua umeme uganda ukafika kagera kwa urahisi maana pafupi sana
Utetezi wa hovyo kabisa, mbona sukari, mbolea na bidhaa nyingine zinazopatikana kwa urahisi impala I zinapigwa marufuku, lakini umeme Jatakas tuone ni Sawa?
Lakini zaidi sana, kwani kutoka Rufiji mpaka Arusha ni mbali zaidi kuliko kutoka Ethiopia?au kutoka Ethiopia unakuja bila kujengwa miundombinu?
 
Reactions: Cyb
Tz hauchukulii umeme ethiopia

Tz tunachukulia umeme wa ethiopia Namanga kenya . Ambapo kuna substation ilijengwa wakati ethiopia anamuuzia umeme kenya.

Hivyo kutoka Namanga to Arusha ni pafupi sana
Kwa hiyo Kenya inalipa transmission costs za kuutoa Ethiopia hadi Namanga (1200Km+) halafu iwauzie nyie kwa bei chee ya hasara?

Au umeme wa Ethiopia hauna transmission costs kama wa kwenu?
 
Tanzania itaweza kuuza umeme nje?
Kila pembezoni mwa mikoa kanunua nje, yeye atamuuzia nani?

Ajabu ninkua umeme wa nje mfn uganda haukatikagi ila maumeme ya tanzania kila mwezi mgao

Ujinga mtupu
Jana uliambiwa na katibu mkuu utauziwa Zambia, Burundi na Rwanda, mgumu kuelewa au unakaza makusudi
 
We kafanye kazi uwezo wako kuelewa mambo ni mdg sn
 
K Kwanza huo si utetezi ni ufafanuzi serikali haijashtakiwa mpk ijitetee
 
Kama bwawa/chanzo cha huo umeme kingekuwa Namanga isingekuwa habari.

Kufikiri wakenya watawauzia kwa bei nafuu wakati wao wanatoboka gharama mnazozikwepa nyie kuutoa Rufiji ni ukichaa.
 
Kafulila wa sasa ni tofauti sana na yule wa zamani.
 
Kafulila yupo sahihi.. ni ujinga kusafirisha umeme kutoka rufiji mpaka kagera. Maelfu ya kilometa.

Huku ukiwa kagera unaweza kununua umeme uganda ukafika kagera kwa urahisi maana pafupi sana
Rufiji tena,unajua maana ya gridi ya taifa,oumbavu ninyi
 
Tz hauchukulii umeme ethiopia

Tz tunachukulia umeme wa ethiopia Namanga kenya . Ambapo kuna substation ilijengwa wakati ethiopia anamuuzia umeme kenya.

Hivyo kutoka Namanga to Arusha ni pafupi sana
Umeme ulitoka Ethiopia ukaenda Hadi namanga Ili ifike Kenya

😁😁
 
Kama Kafulila kasema hakuna upigaji hapa.
 
Attachments

  • images (13).jpeg
    10.9 KB · Views: 1
Tanzania itaweza kuuza umeme nje?
Kila pembezoni mwa mikoa kanunua nje, yeye atamuuzia nani?

Ajabu ninkua umeme wa nje mfn uganda haukatikagi ila maumeme ya tanzania kila mwezi mgao

Ujinga mtupu
Ug na hata hapo Bk umeme haukatikagi..
Enzi izo pale IHUNGO BOYS Kuna muda tulitamsni umeme ukstike ili tusiende prepo Ila umeme wa Uganda haukatikagi ukitokea umekatika Basi nikama OFF/ ON vile
 
Anailinganisha tz na germany na USA? Anaona watu ni watoto sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…