Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na viongozi kama Kafulia aliyeshindwa hata mkewe au akina Makonda na miungu yao unategemea nini?Watanzania aliyrtuloga alishafariki!
Mbona USA wana visima vya mafuta lakini bado wananunua mafuta!
Utetezi wa hovyo kabisa, mbona sukari, mbolea na bidhaa nyingine zinazopatikana kwa urahisi impala I zinapigwa marufuku, lakini umeme Jatakas tuone ni Sawa?Kafulila yupo sahihi.. ni ujinga kusafirisha umeme kutoka rufiji mpaka kagera. Maelfu ya kilometa.
Huku ukiwa kagera unaweza kununua umeme uganda ukafika kagera kwa urahisi maana pafupi sana
Kwa hiyo Kenya inalipa transmission costs za kuutoa Ethiopia hadi Namanga (1200Km+) halafu iwauzie nyie kwa bei chee ya hasara?Tz hauchukulii umeme ethiopia
Tz tunachukulia umeme wa ethiopia Namanga kenya . Ambapo kuna substation ilijengwa wakati ethiopia anamuuzia umeme kenya.
Hivyo kutoka Namanga to Arusha ni pafupi sana
Jana uliambiwa na katibu mkuu utauziwa Zambia, Burundi na Rwanda, mgumu kuelewa au unakaza makusudiTanzania itaweza kuuza umeme nje?
Kila pembezoni mwa mikoa kanunua nje, yeye atamuuzia nani?
Ajabu ninkua umeme wa nje mfn uganda haukatikagi ila maumeme ya tanzania kila mwezi mgao
Ujinga mtupu
We kafanye kazi uwezo wako kuelewa mambo ni mdg snUtetezi wa hovyo kabisa, mbona sukari, mbolea na bidhaa nyingine zinazopatikana kwa urahisi impala I zinapigwa marufuku, lakini umeme Jatakas tuone ni Sawa?
Lakini zaidi sana, kwani kutoka Rufiji mpaka Arusha ni mbali zaidi kuliko kutoka Ethiopia?au kutoka Ethiopia unakuja bila kujengwa miundombinu?
Kwanza huo si utetezi ni ufafanuzi serikali haijashtakiwa mpk ijiteteeUtetezi wa hovyo kabisa, mbona sukari, mbolea na bidhaa nyingine zinazopatikana kwa urahisi impala I zinapigwa marufuku, lakini umeme Jatakas tuone ni Sawa?
Lakini zaidi sana, kwani kutoka Rufiji mpaka Arusha ni mbali zaidi kuliko kutoka Ethiopia?au kutoka Ethiopia unakuja bila kujengwa miundombinu?
Kafulila wa sasa ni tofauti sana na yule wa zamani.View attachment 3266167
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia.
Mkurugenzi Kafulila anasema pamoja na kwamba nchi kubwa na tajiri duniani kama Marekani ( USA ), Ujerumani, Norway, Sweden au Australia wanaumeme mwingi kiasi Cha kuuza nje ya nchi zao bado na wao kwa Upande mwingine wa nchi zao wananunua umeme kutoka nje ya nchi zao.
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
Kafulila anasema kuwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu hasa maeneo ya mipakani gharama ya kuzalisha, kusafirisha na kufikisha umeme maeneo hayo ni kubwa pengine kuliko gharama ya kuuvuta na kuununua umeme toka nchi za jirani.
===
Rufiji tena,unajua maana ya gridi ya taifa,oumbavu ninyiKafulila yupo sahihi.. ni ujinga kusafirisha umeme kutoka rufiji mpaka kagera. Maelfu ya kilometa.
Huku ukiwa kagera unaweza kununua umeme uganda ukafika kagera kwa urahisi maana pafupi sana
Umeme ulitoka Ethiopia ukaenda Hadi namanga Ili ifike KenyaTz hauchukulii umeme ethiopia
Tz tunachukulia umeme wa ethiopia Namanga kenya . Ambapo kuna substation ilijengwa wakati ethiopia anamuuzia umeme kenya.
Hivyo kutoka Namanga to Arusha ni pafupi sana
Leo sijaona akisema wanawake wanatumia umeme mdogo zaidi kuliko wanaume, sijiu kasahau hizo takwimu.Sawa mtoto mpendwa wa mama Samia
Huko rwanda na burundi mtaupelekaje? Kagera tu mmeshindwa kuufikisha wanatumia wa uganda,Jana uliambiwa na katibu mkuu utauziwa Zambia, Burundi na Rwanda, mgumu kuelewa au unakaza makusudi
Nyani watakuja kukusaidia kuzila 😄 ndizi za shambani mwakoUna ndizi shambani kwako zimejaa ila unaamua kwenda sokoni kununua ndizi kwakua una hela?? Empty head
Kama Kafulila kasema hakuna upigaji hapa.View attachment 3266167
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia.
Mkurugenzi Kafulila anasema pamoja na kwamba nchi kubwa na tajiri duniani kama Marekani ( USA ), Ujerumani, Norway, Sweden au Australia wanaumeme mwingi kiasi Cha kuuza nje ya nchi zao bado na wao kwa Upande mwingine wa nchi zao wananunua umeme kutoka nje ya nchi zao.
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
Kafulila anasema kuwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu hasa maeneo ya mipakani gharama ya kuzalisha, kusafirisha na kufikisha umeme maeneo hayo ni kubwa pengine kuliko gharama ya kuuvuta na kuununua umeme toka nchi za jirani.
===
View attachment 3266167

Ug na hata hapo Bk umeme haukatikagi..Tanzania itaweza kuuza umeme nje?
Kila pembezoni mwa mikoa kanunua nje, yeye atamuuzia nani?
Ajabu ninkua umeme wa nje mfn uganda haukatikagi ila maumeme ya tanzania kila mwezi mgao
Ujinga mtupu
Anailinganisha tz na germany na USA? Anaona watu ni watoto sio?View attachment 3266167