David Kafulila alitetemesha Bunge na kupokelewa kifalme

Tatizo la vijana wa Tanzania wakisifu wanasifu mpaka kupitiliza, mpaka unajiuliza kunanini? Hivi kafulila kazaliwa leo Tanzania?

Kafulila ahama NCCR, ahamia Chadema Ijumaa, Desemba 16, 2016​

SAFARI YA KISIASA YA DAVID KAFULILA BADO YAENDELEA, AIHAMA TENA CHADEMA​


November 22, 2017


KAFULILA AHAMIA CCM
Baada ya kutangaza kujivua uanachama wa CHADEMA siku Jumatano, David Kafulila leo amekabidhiwa kadi ya CCM.

Kafulila amekabidhiwa kadi ya CCM na Katibu Mwenezi wa CCM, ndg Humphrey Polepole katika mkutano wa kumnadi mgombea wa udiwani wa chama hicho, Kata ya Mbweni jijini Dar es salaam.

Hapo awali Kafulila aliwahi kuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendelo kisha kufuzwa baadae akajiunga na Chama cha NCCR Mageuzi ambapo alifanikiwa kuwa Mbunge wa Kigoma Kusini mwaka 2010-2015 na baadaye kurudi tena Chadema 2016 na hapo juzi jumatano alitangaza kukihama chama hicho kwa madai upinzani hauna nia ya kupambana na ufisadi.
 
Tatizo la vijana wa Tanzania wakisifu wanasifu mpaka kupitiliza, mpaka unajiuliza kunanini? Hivi kafulila kazaliwa leo Tanzania?

Kafulila ahama NCCR, ahamia Chadema Ijumaa, Desemba 16, 2016 β€” updated on Machi 09, 2021​

Mimi naleta UKWELI na siyo kusifia tu.
 
Maandiko yako marefu huwa yanachocha kuyasoma, kwanini huwa unaandika maneno meengi yenye maana moja...unarudia rudia ili iweje?

Hukujifunza kuandika summary au shule haujaenda kabisa.
Mbona makasiriko mkuu
 
Utakua na ma bwana wengi sana wewe kifupi wewe ni spana Malaya
 
miongoni mwa vijana makini sana, baada ya kutumikishwa upinzani kipindi kirefu sana....

hivi sasa,
anatumia kipaji na taaluma yake akiwa mahali sahihi kwa maslahi mapana ya waTanzania...

Rais wa Tanzania amemuamini na kumpa jukumu zito la kitaifa, na analitekeleza vizuri...

ni jukumu na fursa ya kipekee sana kwa wanainchi wa Uvinza kigoma kuanza kumfikiria kijana huyu makini na machachari sana katika siasa na uchumi na kumrejesha Bungeni 2025, ili pamoja na wengine waweze kutunga sheria mbalimbali nzuri na kuishauri serikali namna bora zaidi ya kuchochea maendeleo kwa wanainchi πŸ’
 
Nakukubali sana kwa kutwanga UKWELI bila hofu. Kwa hakika ni wakati wa wana kigoma kuturejeshea Mheshimiwa David Kafulila Bungeni hapo Mwakani panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…