Uchaguzi 2020 David Kafulila amjibu Tundu Lissu

Anahangaika kutafuta kibarua kipya huyo simbilisi
 
Kafulila amejibu Kama msomi sana Kama kweli kaandika yeye basi anauwezo mkubwa Sana.

Naona wanaojibu hoja wanajaribu kupuyanga na kuhamisha Mada mara msaliti mara mambo ya mkewe mara uteuzi na vijitusi vilivyozoeleka.

Ningekua nauwezo wakumjibu kafulila ningemjibu ila hoja Zake ni nzito ngoja niendelee kutafiti ukweli wa hoja zake nisije kumjibu namimi nikawa kituko Humu.
 
Tumbili bana wananchi wake wenyewe wamemtosa.

Hizi dalili mbaya kwa mwanaume kujipendekeza ili upewe cheo.
 
Kafulila yupo vizuri.
 
Tumbili kaanza maneno ili apewe uteuzi
 
Lissu baada ya uchaguzi atakuwa na kesi nyingi Sana, hapa Sheria ya takwimu inamsubiri
Magufuli baada ya uchaguzi atakuwa na kesi nyingi kwenye mahakama ya uhalifu The Hague
 
Tunamuheshimu sana Jesca Kishoa isingekuwa hivyo tungemshambulia sana ila namshauri Ndugu Kafulila akae kimya tu aendelee kula mamilioni ya kuunga mkono juhudi.
 
Nasikitikaga sana nikisikiaga huyu jamaa (Kafulila) kapigwa chepe.
Jamaa ni mzalendo ana kila sababu kuwa mjengoni, tatizo majungu ya watz tu.
Uzalendo kwa CCM ni kuwahujumu chadema kuwabambikia kesi kuwapiga risasi, uzalendo kwa CCM ni vioja
 
Umemaliza kuandika? Mpuuzi wewe, mkeo anakuzidi akili. Sasa ndiye anayekulisha. Utatuambia nini. Kakojoe ulale. Period.
 
Tunamuheshimu sana Jesca Kishoa isingekuwa hivyo tungemshambulia sana ila namshauri Ndugu Kafulila akae kimya tu aendelee kula mamilioni ya kuunga mkono juhudi.
Kafulia hana kitu kaanza kutapa tapa kwa kujipendekeza kwa mtukufu mwenyekiti wa CCM apate uteuzi
 
Kafulila yupo vizuri leo amewatetemesha manyumbu wamebaki kutukana tu.
Nyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM walivyokuwa wengi, kafulila yupo vizuri kivipi kwa lipi? Labda yupo vizuri kwako wewe mbumbumbu juha zuzu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…