Uchaguzi 2020 David Kafulila amjibu Tundu Lissu

Ugumu w maisha bado utaendelea kuwepo lkn miundombinu na baadh ya vitu angalau sasa tunaeza sema kuna hatua Tz imesogea either you like or not. Kafulila amejibu kulingana na vyanzo vyake bado sioni kwann aonekane m'baya. Huku mtaani wengi ukiwauliza wanasema maisha yamekua magumu hamna hela sababu waliokua na uwezo wa kuiba zaid au mafisadi sasa mianya imezibwa eti kazi kidogo malipo makubwa, Sasa hivi wengi wanapata kulingana na unacho stahili na wagumu kuelewa ndo inawaumiza hii. Hamna maendeleo bila kuumizana au labda Mh.Lissu yeye akipata Urais wa JMT ataacha tu kila mtu ajiamulie na kutenda anavyotaka????
 
Hiki ndo nnchokataa huwezi kuniaminisha kwamba utapeli ndo njia sahihi ya kuwapa maish bora wananchi. Kumbuka hizo walizookoa zinaenda kufanya sehemu ingine. Hakikisha unafanya kazi kwa bidii upate stahiki yako, panga mahitaji yako, weka malengo yako hiyo ndo njia bora ya kuweza survive.
 
Wewe ndiyye unayeleta maneno mazuri; hapa kuna watu wanadhani dunia hapa kuna free lunch. Njia za mkato huwa hazileti maendeleo. Nilisikia sera za kuwa elimu itakuwa bure na watu watakuwa huru hawatalipa kodi, nikasema toba!
 
Wewe ndiyye unayeleta maneno mazuri; hapa kuna watu wanadhani dunia hapa kuna free lunch. Njia za mkato huwa hazileti maendeleo. Nilisikia sera za kuwa elimu itakuwa bure na watu watakuwa huru hawatalipa kodi, nikasema toba!
Mkuu hata hiyo elimu bure bado sio uhalisi wa wengi tulibyoelewa kwamba You have to take only your child then GVT will provide for the kid hapana mkuu bado daftari, uniform, viatu na chakula ikiwezekana ulipie lkn mtoto apate elimu sio ada au mwl ndo awe kikwazo wa mtoto kwenda shule, mfano mpka leo bado kuna watoto hawaendi shule na elimu bure unahisi hapa tatizo itakua nn???? Sisi tunataka kulishwa zaidi kifikra bila kutumia vichwa vyetu kuwaza zaidi juu ya haya maswala muhimu kwa ukuaji wa mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
 
Wakina kafulila ndo wanapaswa kumjibu Lissu,JPM anahadhi kubwa sana,atakiwi kukaa na kuanza kujibu hoja za zezeta mropokaji ambae dishi limeyumba.
Baada ya kushindwa kuondoa uhai wake hii ndiyo option pekee mliyobaki nayo?
 
Kweli kabisa
 
wewe unaleta mijadala mizuri ya kuongelewa. Serikali ya Magufuli ilikosea sana kuwaambia watu kuwa elimu na huduma za faya zitakuwa bure, badala ya kuwaambia kuwa tutarahisisha upatikanai wa elimu nzuri na huduma za afya, kusudi mwananchi ajue kuwa hakuna free lunch. Serikali inapojenga vituo vya afya, ambalo ni jambo zuri sana na mashule na kuajiri waalimu, iwaachia wanachi responsibility ya kuchangia kwenye elimu na huduma za afya. Ukishajenga mentalinty ya free lunch, ni watu wachacahe sa wataipa uzito kwani watadhani kuwa kila mtu keshatangulia kwa sababu it is free.
 
Data za hivi zinanikumbusha CHADEMA yetu enzi za Dr Slaa.
Hii ya akina Lissu ni UROPOKAJI tu!
 

bora hata kumsikiliza mkewe kuliko kafulila. Mwambieni aendelee kufulia tu.
 
CCM Umasikini mliotuletea ndani ya mika mitano mnataka kuumaliza kwakuujengea hoja hii mikaka mitano maisha tuliyonayo hapa hali ya duni ya uchumi inajionesha wazi haina hata haja ya mtu yeyote kujenga hoja turudishe uchumi wetu kama mlivyoukuta siokila kitu kinaweza kujengewa hoja
 
Kafulila baada ya kutoswa u RAS na Wajumbe kula kichwa kura za Maoni kwa sasa ni Jobless, hana kazi.
Mbaya zaidi Jiwe tunamuweka Bench October
Kafulila ana Kinyongo na CHADEMA baada ya Wanaume Kusafiri na Mkewe Dubai yeye Akiwa analamba Viatu vya Jiwe
 
Uzuri ni kwamba anachokusema Lissu ni rahisi kukifeel, na ni hali inayoonekana kwa urahisi kuliko ngonjera za ng'ombe aliyekatwa mkia! Anachokisema Kafulila wala hakipingi kinachosemwa na Lisu!
 
Mh Kafulila,katika hoja namba tatu,umesahihisha takwimu katika upande mmoja, wa deni aliloliacha Jakaya,lakini katika upande wa deni la sasa umekausha,ebu sema kitu hapo au data za Lissu katika deni la sasa ni sahihi?. Mbona kila mara tunasikia tumefanya hiki ama kile kwa fedha yetu ya makusanyo?.
 
Acha unafiki, jiulize wewe unaingia kwa Lisu mara ngapi, Lisu ni mwanasheria bora kabisa katika historia ya nchi hii.
M
Sasa mbona unanifokea? Unafki uko wapi

Siwezi kujilinganisha na Tundu sababu hatufanani katika lolote zaidi ya kwamba sisi wote ni binadamu na watanzania kwa kuzaliwa ndugu. Ujue pia kama unavyoona yeye Tundu ni bora kwenye sheria na mimi ni bora kwenye ninachokifanya.

Usikariri kwamba hawezi kukosea, tafuta Sheria ya takwimu kisha umsilikilize alichokisema Tundu pamoja na takwimu alozotoa halafu upitie majibu na takwimu alivyotoa Kafulila kwa faida yako
 
Big up Kafulila, niliwahi kuuliza hivi JF

ni kijiwe cha wapinzani, kupinga tu hata mambo mazuri upinge tu,!!
Mimi naamini janvi hili ni la thinkers ambao wanapashwa kudadavua hoja na kuja na majibu stahiki, JF inasomwa zaidi na waswahili wengi Nje ya Nchi kuliko tunavyosoma ndani, diaspora wanspotaka jujua nyumbani kuna nini wanafungua Siku na JF, wale wanaodhani Kafulila kajibu utumbo toeni majibu yenye hoja mbadala na siyo matusi wakati hoja huna.
Pale ambapo majirani zetu wanatutamani sisi tunajivua nguo ni kujitoa ufahamu.
Big up Kafulila nakuombea Mungu akujalie kupata nafasi kubwa zaidi ya hiyo ya awali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…