Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Kama mkoa wa ChoiceVariable unapata tabu sana, mkoa wake hauna maendeleo.Kuna mikoa inapata tabu sana kila miradi inajazwa Dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mkoa wa ChoiceVariable unapata tabu sana, mkoa wake hauna maendeleo.Kuna mikoa inapata tabu sana kila miradi inajazwa Dar
Haya mafisadi kuyatoa kwa njia za kawaida ni ngumu snNi kweli ila nao kwenye hizo kurupushani,wataumia ile mbaya.
Baba achana na hayo wacha barabara zijengwe mengine hayatuhusu unless we ni mwanasiasaKatika hiyo PPP serikali yenyewe itawekeza Trillion ngapi kwenye hizo barabara??
StupidJe viongozi wakipita hapo kwenye hizo barabara watakuwa wanalipia.?
Mfano msafara wa raisi, vp, speaker.
Tuwajibike wote kwenye ujenzi wa Taifa
Akizungumza mwishoni mwa wiki, kamishna wa Miradi ya PPP bwana David Kafulila amesema kampuni ya COVEC ya China inapanga kutumia zaidi ya Trilioni 2.7 ($1bln) kwaajili ya kujenga Barabara 10 za mzunguko wa Nje Jijini Dar Kwa lengo la kupunguza Msongamano.
Barabara hizo ambazo hazijaainishwa zinajengwa Kwa njia ya Ubia yaani PPP baina ya sekta binafsi na Serikali na zitakuwa ni toll (za kulipia) expressway roads.
View: https://www.instagram.com/p/DBYCIn1K26l/?igsh=MTRrZDFhYThrMGdpaQ==
My Take
Kafulila apunguze kutoa taarifa za mara Kwa mara kama hazijafikia kuanza utekelezaji. Anatangulia kuliko hata wajenzi wenyewe ambao ni TANROAD.
Aliwahi sema ujenzi wa Njia 6 kutoka Kibaha hadi Chalinze utaanza mwezi wa 4 mvua zikiisha akitajwa kampuni za China kushinda tenda hadi Sasa ni mwisho wa mwaka hakuna ujenzi unaendelea ,unaweza kusoma hapa Kampuni 3 za China zapendekezwa kujenga Barabara ya Njia 4 ya kulipia Tozo (Kibaha-Mlandizi-Chalinze)
Bwana Kafulila unakoelekea na kupoteza credibility yako, hold on mambo ikiwa tayari kuliwa ndio weka taarifa kama Wizara na TANROAD wanavyofanya.
View: https://www.instagram.com/p/DBXt1eJoG7f/?igsh=eTF6aGFkYXJoa2tz
Nakubaliana na wewe ni ngumu lakini kuna siku hii moja,hakuna lisilo na mwisho.Haya mafisadi kuyatoa kwa njia za kawaida ni ngumu sn

Very tricky situation, miradi yoyote ya PPP iwekwe wazi na ijadiliwe bungeni kwa mapana.Kwani kodi za watanzania zinatumikaje mpaka ujenzi wa barabara ni PPP.
Bunge lipi? Tuliowapa dhamana hawana moral authority ya kuwaweka kwenye blacklist kwa sababu walishakula kwa urefu wa kamba zao.Very tricky situation, miradi yoyote ya PPP iwekwe wazi na ijadiliwe bungeni kwa mapana.
Vilio na simanzi ni vingi.
Ila wale vishoka wa siasa ambao huponda kila mradi uwe safi au usiwe sama kama wao hawajatanguliziwa kitu kidogo na mwekezaji wawekwe kwenye blacklist.
Lakini kama bado tutakuwa na mashaka ya kikokotio kwa watumiaji ni bora kuachana nao.