David Kafulila: Kampuni ya COVEC ya China kumwaga Tsh. Trilioni 2.7 kujenga barabara 10 za kulipia Jijini Dar kwa njia ya PPP

Katika hiyo PPP serikali yenyewe itawekeza Trillion ngapi kwenye hizo barabara??
Baba achana na hayo wacha barabara zijengwe mengine hayatuhusu unless we ni mwanasiasa
 
Wabongo kama mmelogwa sijui ,.wengi wataonza kupinga pinga akili zao zikapimwe hao ni wanga na hawapendi maendeleo
Tumechoka foleni dar wacheni jiji lizidi kukua
 
B
Akizungumza mwishoni mwa wiki, kamishna wa Miradi ya PPP bwana David Kafulila amesema kampuni ya COVEC ya China inapanga kutumia zaidi ya Trilioni 2.7 ($1bln) kwaajili ya kujenga Barabara 10 za mzunguko wa Nje Jijini Dar Kwa lengo la kupunguza Msongamano.

Barabara hizo ambazo hazijaainishwa zinajengwa Kwa njia ya Ubia yaani PPP baina ya sekta binafsi na Serikali na zitakuwa ni toll (za kulipia) expressway roads.

View: https://www.instagram.com/p/DBYCIn1K26l/?igsh=MTRrZDFhYThrMGdpaQ==

My Take
Kafulila apunguze kutoa taarifa za mara Kwa mara kama hazijafikia kuanza utekelezaji. Anatangulia kuliko hata wajenzi wenyewe ambao ni TANROAD.

Aliwahi sema ujenzi wa Njia 6 kutoka Kibaha hadi Chalinze utaanza mwezi wa 4 mvua zikiisha akitajwa kampuni za China kushinda tenda hadi Sasa ni mwisho wa mwaka hakuna ujenzi unaendelea ,unaweza kusoma hapa Kampuni 3 za China zapendekezwa kujenga Barabara ya Njia 4 ya kulipia Tozo (Kibaha-Mlandizi-Chalinze)

Bwana Kafulila unakoelekea na kupoteza credibility yako, hold on mambo ikiwa tayari kuliwa ndio weka taarifa kama Wizara na TANROAD wanavyofanya.

View: https://www.instagram.com/p/DBXt1eJoG7f/?igsh=eTF6aGFkYXJoa2tz

Bandari kavu ya kwala ilijengwa ili kupunguza foleni na malori mjini, lakini Hadi Leo hatuoni juhudi, kitumika hiyo Bandari, Bali Hadi ya miradi mwingine inakuja
 
Akizungumza mwishoni mwa wiki, kamishna wa Miradi ya PPP bwana David Kafulila amesema kampuni ya COVEC ya China inapanga kutumia zaidi ya Trilioni 2.7 ($1bln) kwaajili ya kujenga Barabara 10 za mzunguko wa Nje Jijini Dar Kwa lengo la kupunguza Msongamano.

Barabara hizo ambazo hazijaainishwa zinajengwa Kwa njia ya Ubia yaani PPP baina ya sekta binafsi na Serikali na zitakuwa ni toll (za kulipia) expressway roads.

View: https://www.instagram.com/p/DBYCIn1K26l/?igsh=MTRrZDFhYThrMGdpaQ==

My Take
Kafulila apunguze kutoa taarifa za mara Kwa mara kama hazijafikia kuanza utekelezaji. Anatangulia kuliko hata wajenzi wenyewe ambao ni TANROAD.

Aliwahi sema ujenzi wa Njia 6 kutoka Kibaha hadi Chalinze utaanza mwezi wa 4 mvua zikiisha akitajwa kampuni za China kushinda tenda hadi Sasa ni mwisho wa mwaka hakuna ujenzi unaendelea ,unaweza kusoma hapa Kampuni 3 za China zapendekezwa kujenga Barabara ya Njia 4 ya kulipia Tozo (Kibaha-Mlandizi-Chalinze)

Bwana Kafulila unakoelekea na kupoteza credibility yako, hold on mambo ikiwa tayari kuliwa ndio weka taarifa kama Wizara na TANROAD wanavyofanya.

View: https://www.instagram.com/p/DBXt1eJoG7f/?igsh=eTF6aGFkYXJoa2tz

Kafulila amekuwa chawa siku hizi badala ya kuleta miradi ana leta chochote kile anachofikiria. leta miradi sio mipango ambayo ni ya utafiti
 
Akizungumza mwishoni mwa wiki, kamishna wa Miradi ya PPP bwana David Kafulila amesema kampuni ya COVEC ya China inapanga kutumia zaidi ya Trilioni 2.7 ($1bln) kwaajili ya kujenga Barabara 10 za mzunguko wa Nje Jijini Dar Kwa lengo la kupunguza Msongamano.

Barabara hizo ambazo hazijaainishwa zinajengwa Kwa njia ya Ubia yaani PPP baina ya sekta binafsi na Serikali na zitakuwa ni toll (za kulipia) expressway roads.

View: https://www.instagram.com/p/DBYCIn1K26l/?igsh=MTRrZDFhYThrMGdpaQ==

My Take
Kafulila apunguze kutoa taarifa za mara Kwa mara kama hazijafikia kuanza utekelezaji. Anatangulia kuliko hata wajenzi wenyewe ambao ni TANROAD.

Aliwahi sema ujenzi wa Njia 6 kutoka Kibaha hadi Chalinze utaanza mwezi wa 4 mvua zikiisha akitajwa kampuni za China kushinda tenda hadi Sasa ni mwisho wa mwaka hakuna ujenzi unaendelea ,unaweza kusoma hapa Kampuni 3 za China zapendekezwa kujenga Barabara ya Njia 4 ya kulipia Tozo (Kibaha-Mlandizi-Chalinze)

Bwana Kafulila unakoelekea na kupoteza credibility yako, hold on mambo ikiwa tayari kuliwa ndio weka taarifa kama Wizara na TANROAD wanavyofanya.

View: https://www.instagram.com/p/DBXt1eJoG7f/?igsh=eTF6aGFkYXJoa2tz

Kidogo kidogo tunauzwa kwenye nchi yetu wenyewe kwamba sasa serikali inaanza kuuza hadi barabara dah
 
Kwani kodi za watanzania zinatumikaje mpaka ujenzi wa barabara ni PPP.
Very tricky situation, miradi yoyote ya PPP iwekwe wazi na ijadiliwe bungeni kwa mapana.
Vilio na simanzi ni vingi.
Ila wale vishoka wa siasa ambao huponda kila mradi uwe safi au usiwe sama kama wao hawajatanguliziwa kitu kidogo na mwekezaji wawekwe kwenye blacklist.
Lakini kama bado tutakuwa na mashaka ya kikokotio kwa watumiaji ni bora kuachana nao.
 
Hahaha mnaanza kudanganywa, kumbukeni uchaguzi umekaribia. Hivyo maneno kama haya kawaida kuyasikia.
Kuna mvua za pombe na maziwa zitanyeesha, juandaeni kukinga ndoo za kutosha.
 
Kama wangejenga hiyo barabara kutoka Dar es salaam Hadi Morogoro ingekuwa na tija
 
Very tricky situation, miradi yoyote ya PPP iwekwe wazi na ijadiliwe bungeni kwa mapana.
Vilio na simanzi ni vingi.
Ila wale vishoka wa siasa ambao huponda kila mradi uwe safi au usiwe sama kama wao hawajatanguliziwa kitu kidogo na mwekezaji wawekwe kwenye blacklist.
Lakini kama bado tutakuwa na mashaka ya kikokotio kwa watumiaji ni bora kuachana nao.
Bunge lipi? Tuliowapa dhamana hawana moral authority ya kuwaweka kwenye blacklist kwa sababu walishakula kwa urefu wa kamba zao.
 
Back
Top Bottom