David Kafulila: Kwa mujibu wa Moody's na FITCH Tanzania inaongoza kwa afya bora ya Uchumi Ukanda mzima wa Africa Mashariki

Asante sana Mama Samia
 
M
Mhe. Tumbili kwa hili promo, Mama akutayarishie kiti cha uwaziri mkuu kabisaa
 
Hata hivyo ukifuatilia vizuri Watanzania asili kabisa ni wagogo tu
Ivory Coast kuna watu wanafanana na hawa wagogo wa bongo na wanaweka ndonya usoni.

Wazungu walituwekea mipaka ili watutawale vizuri hawakujali kuwa kwa kufanya vile waliuvunja kabisa umoja wetu wa asili.

Tambwe yupo Kinshasa na yupo Tabora.

Mwenda yupo Johanesburg, Lusaka, Singida na Manyara.

Kasambula yupo Lubumbashi, Kisangani na Masasi.

Lengo la mzungu kutuwekea mipaka ya bandia lilitimia na mpaka leo madhara yake ni huu ubaguzi wa mwafrika dhidi ya mwafrika mwenzake.
 
Kwahiyo wagogo origin yake ni Ivory coast?
 
Tunawazidi majirani lakini B1 sio rating ya kujivunia.
B1 inaashiria kwamba mkopaji anaweza kuwa na changamoto ya kulipa madeni yake.

A B1 rating signifies that Moody's believes the country has a higher probability of defaulting on its debt obligations.
 
But ukitulinganisha na wenzetu sisi tunaafadhali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…