David Kafulila: Kwa mujibu wa Moody's na FITCH Tanzania inaongoza kwa afya bora ya Uchumi Ukanda mzima wa Africa Mashariki

Kwahiyo kama hivyo ndivyo mbona shida ziko palepale, ajira hakuna, madawa hakuna hii Moody's inawalaghai
 
Tumbili bana... Tunaongoza Dunia nzima kabisa mxiiiuh!
 
Tatizo ni uelewa wa Watanzania ila maendeleo yapo
 
Hii ni habari njema kwa Taifa
 
Awamu ya mama pesa ipo tukiacha kufuru ndio maana watu wanapiga mijengo balaa
Kweli ukienda Mbweni hapa Dar. na huko Dodoma , watu wanapiga majengo balaa , Je hawa wafanyakazi wa serikali hizo fedha wanayopata wapi kufanya kufuru hizo? Jibu ni kwamba Hawa wana hujumu nchi na Samia hana ubavu wa kuwathibiti anabakia ku waambia β€œ Wale kwa urefu wa kamba zao”! Hawa wezi wanaipeleka nchi kubaya.
 
Moody na Fitch zitawasaidia nini NETO ?
 
Hatarii!
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜…
 
Kwahiyo tanzania mpaka ipate sifa lazima zitumike nguvu za ziada 'Wataalam nguli'.
 
Ni kama vile mtu ako na umbo kubwa lakini hana afya..!
#Tanzania_vs_Kenya
 
Samia mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…