NoreformNoelection
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 302
- 333
Umemuelewa?Wabongo akili zenu mnazijua wenyewe Sasa afya ya Uchumi ni ukuaji wa uchumi afya za Wananchi ni zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemuelewa?Wabongo akili zenu mnazijua wenyewe Sasa afya ya Uchumi ni ukuaji wa uchumi afya za Wananchi ni zao.
Kwahiyo kama hivyo ndivyo mbona shida ziko palepale, ajira hakuna, madawa hakuna hii Moody's inawalaghaiDavid Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest" Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa
Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo ni ya Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia in kwa kazi hiyo wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi pekee ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue vizuri na kwa Kasi.
Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.
#Kazi iendelee
===
View attachment 3243868
==
Daaah 😂😂Utakuwa unaishi kwa shemeji
Aja dharau Mangi aisee...Utakuwa unaishi kwa shemeji
Fanya Kazi acha manenoHali ya Uchumi bongo ni mbaya sana
Hali haiwezi kuwa nzuri kama hatufanyi kazi mkuuHali ya Uchumi bongo ni mbaya sana
Jamaa anatoa madini yaliyojificha sanaTumbili bana... Tunaongoza Dunia nzima kabisa mxiiiuh!
Tatizo ni uelewa wa Watanzania ila maendeleo yapoDavid Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest" Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa
Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo ni ya Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia in kwa kazi hiyo wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi pekee ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue vizuri na kwa Kasi.
Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.
#Kazi iendelee
===
View attachment 3243868
==
Hii ni habari njema kwa TaifaDavid Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest" Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa
Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo ni ya Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia in kwa kazi hiyo wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi pekee ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue vizuri na kwa Kasi.
Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.
#Kazi iendelee
===
View attachment 3243868
==
Kweli ukienda Mbweni hapa Dar. na huko Dodoma , watu wanapiga majengo balaa , Je hawa wafanyakazi wa serikali hizo fedha wanayopata wapi kufanya kufuru hizo? Jibu ni kwamba Hawa wana hujumu nchi na Samia hana ubavu wa kuwathibiti anabakia ku waambia “ Wale kwa urefu wa kamba zao”! Hawa wezi wanaipeleka nchi kubaya.Awamu ya mama pesa ipo tukiacha kufuru ndio maana watu wanapiga mijengo balaa
Moody na Fitch zitawasaidia nini NETO ?David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest" Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa
Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo ni ya Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia in kwa kazi hiyo wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi pekee ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue vizuri na kwa Kasi.
Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.
#Kazi iendelee
===
View attachment 3243868
==
Kwahiyo tanzania mpaka ipate sifa lazima zitumike nguvu za ziada 'Wataalam nguli'.David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest" Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa
Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo ni ya Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia in kwa kazi hiyo wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi pekee ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue vizuri na kwa Kasi.
Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.
#Kazi iendelee
===
View attachment 3243868
==
Samia mitano tenaDavid Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest" Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa
Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo ni ya Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia in kwa kazi hiyo wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi pekee ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue vizuri na kwa Kasi.
Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.
#Kazi iendelee
===
View attachment 3243868
==
Sawa,Awamu ya mama pesa ipo tukiacha kufuru ndio maana watu wanapiga mijengo balaa
🤣🤣Sio kazi yangu kutoa hoja kwani nani ananihoji.