David Kafulila: Mahitaji ya binadamu ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali kuyafikia kwa kutegemea kodi na mikopo pekee

Sio kila hoja ni ya kujibiwa
Kwa mtazamo wako ni sahihi, lakini wapo wenye nia na uwezo wa kuchangia na ndio maana halisi ya jukwaa hili.
Kama wewe huoni umuhimu huo soma tu upite kimya kimya....

Kutweza wachangiaji itakusaidia nini? 😲
 
Chawa promax
 
Samia mitano tena
 
Kafulila unaonesha bidii sana Mungu akupe tamanio la moyo wako
 
Hongera sana Kafulila
 
Mama Samia Mitano tena
 
Hueleweki
 
Hili vugu vugu la Afrika la kuvitoa vyama vya muda mrefu madarakani ni hatua muhimu ya mtu mweusi kutafuta mabadiliko ya kiutawala. Ni ngumu sana kuzuia mabadiliko hata kama robo tatu ya nchi ni polisi.
Unaitoa CCM Kwa chama gani?
 
Asante Kafulila kwa uzalendo huu
 
Africa ya kijani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…