David Kafulila: Masuala ya Mikataba Mibovu aina ya IPTL hayawezi kujirudia kupitia PPP

David Kafulila: Masuala ya Mikataba Mibovu aina ya IPTL hayawezi kujirudia kupitia PPP

Judge Werema alimpaga kubwa na kumuita Tumbiri katika mazingira tata kama haya...
Juzi tu lile takataka la bandari lilivyotoka ndio watu wakapagawa kwamba hivi inakuwaje serikali ikatengeneza kitu kama kile?...anafikiri tumesahau...yeye anaiona IPTL tu....Very irritating
 
Umeelewa hoja ya Chuma David Kafulila na ufafanuzi wa kina na mzuri alioutoa? Hata hivyo napenda kukutoa wasiwasi kwamba uwe na imani na mwamba huyu wa kigoma .maana ni mtu safi, mzalendo na muadilifu sana kwa Taifa letu.
 
Lengo la serikali ni kuona gharama za umeme zinashuka chini
Kwahio unashusha chini kwa kufanya nini ? Kusambaza kilichopo (Adani anaomba usambazaji) au unaongeza uzalishaji (kitu ambacho kumalizika kwa Bwawa kulianza kususua sua awamu hii na ngonjera za Makamba kusuka Tanesco upya)?
hususani katika kipindi hiki ambacho Mheshimiwa Rais Anahamasisha matumizi ya nishati safi na salama katika kupikia.
Kwahio bei itashuka kwa kuongeza msambazaji ambaye atalipwa alafu utegemee bei ya umeme itashuka ? By the way kampeni ni kuongeza matumizi ya LPG na Kugawa mitungi na kuweka ruzuku kwenye gesi (sasa hii inaingiliana vipi na kutafuta msambazaji wa mgao wa umeme) ? Kwa kutoa ruzuku ya gesi ili pesa inayopatikana tuagizie LPG nje ?
Kwa hiyo usiwe na wasiwasi wowote ule.ndio maana Mheshimiwa Kafulila ametutoa hofu kabisa watani.nafikiri unafahamu vyema namna Mheshimiwa David Kafulila alivyo muadilifu na Mzalendo kwa Taifa letu.
Kwahio sababu Kafulila kasema wewe unayachukua mazima mazima hauna akili yako kuweza kufanya uchambuzi yakinifu ?

Hizi PPP ni ujanja Mwingine tu wa Wazungu. Hakika ni hadaa.

Walianza na Dini, Ikabuma.
Wakaja na Elimu na Afya, ikabuma,
Wakaja na wazo la Demokrasi-hiyooooo inabuma, wakaja na Parastal Restructuring, ikabuma

☝🏿Na yote hayo ili wawe karibu na Cheap labour ikiwa pamoja na Rasilimali za Afrika.

Ati mikataba mibovu ya IPTL? That is Misleading.

Nadhani tatizo sio mikataba tu, ila ni wapi hiyo mikataba inapopata masuluhisho.

Je, anataka kusema mikataba ya PPP itakuwa inasuluhishwa hapa?

Swali,l: Kwanini waliondoa sheria inayotaka kesi zitokanazo na ukiukwaji wa mikataba kufanyika Nchini?

Na badala yake kesi "ziamriwe" nje ya Nchi? na wakaiweka hii PPP?

Ili kuwepo na Mikataba kama hiyo mibovu ?

Mh. Kafulila. Rejea Historia. Inajirudia tu.

Haya maneno matamu tamu kama PPP ni lugha nyingine tu kusema,

"Ushirikiano wa Makampuni makubwa Duniani na walichonacho pamoja na Serikali"
 
Ondoa hofu yako ndugu yangu mtanzania.wala usiwe na wasiwasi.ppp ipo katika mikono salama sana na mikataba itakayosainiwa ni ile yenye maslahi,tija na faida kwa Taifa letu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mkurugenzi Mkuu wa PPP Mheshimiwa David Kafulila amewatoa hofu watanzania ambao wameonyesha kuwa na hofu kubwa sana juu ya mikataba ya Ubia .hasa kwa kurejea majeraha na makovu ya mikataba mibovu ambayo yamewahi kushuhudia yakileta hasara kwa Taifa letu.ikiwepo IPTL ambayo ilikuwa ni kama Jini Mnyonya Kodi za Watanzania wanyonge.

Ambapo Mheshimiwa David Kafulila Amesema ya kuwa ni katika mafunzo na uzoefu huo wa kuhakikisha hatuingii mikataba mibovu ya aina hiyo ndio iliyopelekea kupitishwa kwa sheria namba 103 ya PPP.Amesema kuwa PPP inatumika maeneo mbalimbali Duniani ikiwepo China ,India,Amerika na ulaya yote.

Hata hivyo amekiri kuwa Watanzania wapo sahihi kuwa na hofu ,hasa kwa kuzingatia yaliyotokea siku za nyuma kuhusiana na mikataba mibovu iliyoligharimu Taifa letu.

Na hofu hiyo inakuja wakati huu ambao kampuni ya Adani imeonyesha nia na dhamira ya kutaka kuwekeza katika miundombinu ya Umeme hasa usafirishaji wa Umeme kwa Mfumo wa Ubia. Ambapo wengi wametoa maoni yao kuwa Kwanini serikali isiifanye kazi hiyo yenyewe kupitia TANESCO kwa kuiongezea Bajeti. Wengine wakasema kuwa kama tumeweza kufikisha umeme hadi ngazi za vitongoji huko vijijini ,iweje sasa tutafute muwekezaji wa kusafirisha umeme wakati hata sisi wenyewe tunaweza kufanya kazi hiyo kwa ufanisi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ila hapo kuna neno,serikali iiongezee bajeti Tanesco ili ifanye hiyo shughuli yenyewe,NA kiongezwe kipengele kwenye hiyo PPP kuwa waziri atakayeiingiza chaka nchi lazima awajibishwe....
 
Hivi, ni lipi linatakiwa kuwa kipaumbele. Usafirishaji au uzalishaji?
Na vipi kama mzalishaji atashindwa kuzalisha!!
Kafulila anatuhakikishia vipi ghalama za umeme kuwa hazitakuwa juu baada ya huyo muwekezaji kuanza kusafirisha kilichozalishwa na Tanesco?
Swali la kujiuliza. Mwekezaji atasafirisha umeme kutoka wapi kwenda wapi. Umeme wote unaozalishwa tayari umeunganishwa na national grid. Kwenda vijini tuna msambazaji na nasikia karibu amefika vijiji vyote. Hii deal ni deal ya wenyenchi. Watanganyika tutapigwa kama kawaida kwa miaka 30 ijayo. Hiyo PPP mbona haikutandazwa kwa wazawa? Kwa nini sirikari isifungue kampuni na kuuza 70% ya hisa kwa watanganyika iwe PPP ?
 
msambazaji ambaye atalipwa

Tena kwa fedha za kigeni siyo shilingi ya madafu.

Je umeme huo utasambazwa kwenda ktk uzalishaji bidhaa nyingi viwandani au itakuwa kama ule wa REA usambazaji vijijini majumbani kuwashia taa, kukoboa mahindi n.k

David Kafulila atuelezee usambazaji wa umeme ndani ya Tanzania kwa serikali/ TANESCO kulipia huduma hiyo kwa fedha za kigeni utaongeza uzalishaji maradafu na kufuta gharama za malipo kwa bidhaa zaidi viwandani, migodini n.k kuuzwa nje ya nchi ? Na ongozeko hilo la viwanda, uzalishaji, migodi n.k ktk mchanganuo hali unategemewa kuonekana vipi?
 
Lengo la serikali ni kuona gharama za umeme zinashuka chini hususani katika kipindi hiki ambapo Mheshimiwa Rais Anahamasisha matumizi ya safi na salama katika kupikia. Kwa hiyo usiwe na wasiwasi ule.ndio maana Mheshimiwa Kafulila ametutoa hofu kabisa watani.nafikiri unafahamu vyema namna Mheshimiwa David Kafulila alivyo muadilifu na Mzalendo kwa Taifa letu.
Kwani Maharage Chande alivyokuwa akisema kuwa umeme sauji kushuka bei hata kama za Nyerere zikakamilika ulikuwa utawala wa nani?
Kwani mawazo yake wanaposema ghalama za umeme Tanzania ziko chini wanamaanisha nini?
Unataka kusema yeye hakisikii kilio cha wananchi na bei kubwa za umeme?
Huyo unayemsema ni yupi haswa tofauti na huyu?
 
Ogopa sana neno NAKUBALIANA.
Hii ndio serikali ya CHURA Dalali.
 
Hiyo IPTL nani aliingia na nani alikamatwa akafungwa? CCM ni chama cha kishetani kabisa pamoja na watu wake ni wajinga sn.
Hakuna m2 wala nchi perfect ndo maan 2mejifunza kutokana na hio IPTL kwaio kutokana na umakini wa wa2 wanaongoza taifa wamekuja na hio PPP means hakutakua tena na mikataba ya ajabu kama IPTL au ESCROW ambapo alieshutumiwa na ESCROW alikuja kuwa ---2015. Enewei wazee wa vibunda bhn ukija na pesa tu walete
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mkurugenzi Mkuu wa PPP Mheshimiwa David Kafulila amewatoa hofu watanzania ambao wameonyesha kuwa na hofu kubwa sana juu ya mikataba ya Ubia .hasa kwa kurejea majeraha na makovu ya mikataba mibovu ambayo yamewahi kushuhudia yakileta hasara kwa Taifa letu.ikiwepo IPTL ambayo ilikuwa ni kama Jini Mnyonya Kodi za Watanzania wanyonge.

Ambapo Mheshimiwa David Kafulila Amesema ya kuwa ni katika mafunzo na uzoefu huo wa kuhakikisha hatuingii mikataba mibovu ya aina hiyo ndio iliyopelekea kupitishwa kwa sheria namba 103 ya PPP.Amesema kuwa PPP inatumika maeneo mbalimbali Duniani ikiwepo China ,India,Amerika na ulaya yote.

Hata hivyo amekiri kuwa Watanzania wapo sahihi kuwa na hofu ,hasa kwa kuzingatia yaliyotokea siku za nyuma kuhusiana na mikataba mibovu iliyoligharimu Taifa letu.

Na hofu hiyo inakuja wakati huu ambao kampuni ya Adani imeonyesha nia na dhamira ya kutaka kuwekeza katika miundombinu ya Umeme hasa usafirishaji wa Umeme kwa Mfumo wa Ubia. Ambapo wengi wametoa maoni yao kuwa Kwanini serikali isiifanye kazi hiyo yenyewe kupitia TANESCO kwa kuiongezea Bajeti. Wengine wakasema kuwa kama tumeweza kufikisha umeme hadi ngazi za vitongoji huko vijijini ,iweje sasa tutafute muwekezaji wa kusafirisha umeme wakati hata sisi wenyewe tunaweza kufanya kazi hiyo kwa ufanisi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Hakuna m2 wala nchi perfect ndo maan 2mejifunza kutokana na hio IPTL kwaio kutokana na umakini wa wa2 wanaongoza taifa wamekuja na hio PPP means hakutakua tena na mikataba ya ajabu kama IPTL au ESCROW ambapo alieshutumiwa na ESCROW alikuja kuwa ---2015. Enewei wazee wa vibunda bhn ukija na pesa tu walete
Hivi unajua hata hio PPP sio kwamba ndio imekuja na hata wakati tunapigwa zilikuwa hizo hizo PPP / UBIA na Ubinafsishaji ?

Hivi unajua hata hio PPP sio kwamba ndio imekuja na hata wakati tunapigwa zilikuwa hizo hizo PPP / UBIA na Ubinafsishaji ?

PPP imekua imara TZ juz tu hapa na hta sheria yake imepitishwa juz tu hapa inshort kwa kipind hicho tulikua hata hatuna sheria ya PPP na pia tulikua hatuna hata kitengo cha PPP
 
Back
Top Bottom