David Kafulila: Masuala ya Mikataba Mibovu aina ya IPTL hayawezi kujirudia kupitia PPP

David Kafulila: Masuala ya Mikataba Mibovu aina ya IPTL hayawezi kujirudia kupitia PPP

Ndugu zangu Watanzania,

Mkurugenzi Mkuu wa PPP Mheshimiwa David Kafulila amewatoa hofu watanzania ambao wameonyesha kuwa na hofu kubwa sana juu ya mikataba ya Ubia .hasa kwa kurejea majeraha na makovu ya mikataba mibovu ambayo yamewahi kushuhudia yakileta hasara kwa Taifa letu.ikiwepo IPTL ambayo ilikuwa ni kama Jini Mnyonya Kodi za Watanzania wanyonge.

Ambapo Mheshimiwa David Kafulila Amesema ya kuwa ni katika mafunzo na uzoefu huo wa kuhakikisha hatuingii mikataba mibovu ya aina hiyo ndio iliyopelekea kupitishwa kwa sheria namba 103 ya PPP.Amesema kuwa PPP inatumika maeneo mbalimbali Duniani ikiwepo China ,India,Amerika na ulaya yote.

Hata hivyo amekiri kuwa Watanzania wapo sahihi kuwa na hofu ,hasa kwa kuzingatia yaliyotokea siku za nyuma kuhusiana na mikataba mibovu iliyoligharimu Taifa letu.

Na hofu hiyo inakuja wakati huu ambao kampuni ya Adani imeonyesha nia na dhamira ya kutaka kuwekeza katika miundombinu ya Umeme hasa usafirishaji wa Umeme kwa Mfumo wa Ubia. Ambapo wengi wametoa maoni yao kuwa Kwanini serikali isiifanye kazi hiyo yenyewe kupitia TANESCO kwa kuiongezea Bajeti. Wengine wakasema kuwa kama tumeweza kufikisha umeme hadi ngazi za vitongoji huko vijijini ,iweje sasa tutafute muwekezaji wa kusafirisha umeme wakati hata sisi wenyewe tunaweza kufanya kazi hiyo kwa ufanisi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kuleta politics kwenye mambo ya msingi nao ni ujuha!
Mikataba ije,ijadiliwe kwa uwazi!
Sio kuificha alafu mnaitetea, na kuwaona watu wote wana akili za kichawa kama wewe chawa mkuu fisiem!
 
PPP imekua imara TZ juz tu hapa na hta sheria yake imepitishwa juz tu hapa inshort kwa kipind hicho tulikua hata hatuna sheria ya PPP na pia tulikua hatuna hata kitengo cha PPP
Sheria ya 103 (amendment) ni hii hapa


Nieleze inaziba vipi hizi loopholes

Although PPPs are often promoted as a solution for countries under fiscal constraints, the evidence suggests rather that they worsen fiscal problems. According to the EIB, the six countries which have made the greatest use of PPPs in recent years are Cyprus, Greece, Ireland, Portugal, Spain and the UK. Four of these are subject to ‘Troika’ rescue packages, and the other two – Spain and the UK – both face large fiscal problems. In both Portugal and Cyprus, the IMF/EU ‘troika’ packages have identified PPPs as a contributory cause of the countries’ fiscal problems, and required an audit and renegotiation of existing PPPs and a freeze on new PPPs. 11 (see case study) In Latin America, PPPs are also concentrated in very few countries. Brazil and Mexico account for 65 per cent of all PPPs; Colombia, Peru, and Chile account for a further 15 per cent.

A further danger is the recent effort by the World Bank,the G20, OECD and others to ‘financialize’ PPPs in order to access the trillions of dollars held by pension funds,insurance companies and other institutional investors.

PPPs originated as an accounting trick, a way round the government’s own constraints on public borrowing. This remains the overwhelming attraction for governments and international institutions. Just as companies like Enron had tried to conceal their true liabilities by moving them‘off-balance-sheet’, so governments started using PPPs as “tricks…. whereby public accounts imitate the creative accounting of some companies in the past.”

“In developing countries, the development banks and multinational companies encouraged the spread of PPPs in the 1990s, especially in the water and energy sectors, as part of the general promotion of privatisation – and as a way around the fiscal limits which the same IFIs were imposing on developing countries. The main form of privatisation in water was concessions or lease contracts, which are a classic form of PPP.”

Governments have also started providing subsidies for PPPs, mainly by lending public money at low rates of interest that the private sector could not otherwise obtain – despite the obvious intrinsic contradiction of using public finance to finance PPPs.
 
Hivi dogo huwezagi kujadili hoja bila kutukana matusi😀😀
Hivi mkataba wa DP WORLD na Tanzania ni PPP? Ili nikuoneshe ubovu wake zaidi ya IPTL...Kafulila anaongea utafikiri ni mtaalam wa mikataba, tokea lini nchi iliyoendelea ikaingia mkataba na nchi inayoendelea alafu ikosekana kunyonyana.
 
Kafulila anataka kumzidi umaarufu mwenyekiti wa CCM.

Kila siku anataka tumjadili yeye
 
Huyu 'Tumbili' amekuwa zezeta sana nyakati hizi. Yeye kapewa udalali ndio kajisahau kabisa kuwa kuna heshima inayo hitaji kuhifadhiwa kwa umakini mkubwa!
 
Swali la kujiuliza. Mwekezaji atasafirisha umeme kutoka wapi kwenda wapi. Umeme wote unaozalishwa tayari umeunganishwa na national grid. Kwenda vijini tuna msambazaji na nasikia karibu amefika vijiji vyote. Hii deal ni deal ya wenyenchi. Watanganyika tutapigwa kama kawaida kwa miaka 30 ijayo. Hiyo PPP mbona haikutandazwa kwa wazawa? Kwa nini sirikari isifungue kampuni na kuuza 70% ya hisa kwa watanganyika iwe PPP ?
Hii ya kuanzisha kampuni na wananchi wanunue hisa itakuwa suluhisho la kudumu.
Miundombinu ipo inayotumika, ni kuboresha na kuongeza.
PPP isitumike kama kichaka cha wageni kutupiga.
 
Hongera sana kwa ufatiliaji sasa effectiveness angalia Mapato na michakato kama huu wa Adani ulivyopembuliwa
Umepembuliwa wapi ?

Watu tumesikia wanatoa proposal ya kuja kufanya usambazaji.., sasa nieleze huo usambazaji unafanyika wapi na vipi na wana teknolojia gani ambayo sisi tunashindwa kuipata na zile pesa za REA tunazokatwa kila siku kila mtu akinunua umeme na tunaambiwa asilimia za kutosha zimeshakamilika kusambaza umeme kila kona zina maana gani ?

 
Ndugu zangu Watanzania,

Mkurugenzi Mkuu wa PPP Mheshimiwa David Kafulila amewatoa hofu watanzania ambao wameonyesha kuwa na hofu kubwa sana juu ya mikataba ya Ubia .hasa kwa kurejea majeraha na makovu ya mikataba mibovu ambayo yamewahi kushuhudia yakileta hasara kwa Taifa letu.ikiwepo IPTL ambayo ilikuwa ni kama Jini Mnyonya Kodi za Watanzania wanyonge.

Ambapo Mheshimiwa David Kafulila Amesema ya kuwa ni katika mafunzo na uzoefu huo wa kuhakikisha hatuingii mikataba mibovu ya aina hiyo ndio iliyopelekea kupitishwa kwa sheria namba 103 ya PPP.Amesema kuwa PPP inatumika maeneo mbalimbali Duniani ikiwepo China ,India,Amerika na ulaya yote.

Hata hivyo amekiri kuwa Watanzania wapo sahihi kuwa na hofu ,hasa kwa kuzingatia yaliyotokea siku za nyuma kuhusiana na mikataba mibovu iliyoligharimu Taifa letu.

Soma Pia: Kafulila: Kama kuna mtu au kampuni wameona kuna mradi serikali inauendesha kwa hasara na wana mbinu za kuifanya serikali na wao kupata faida waje

Na hofu hiyo inakuja wakati huu ambao kampuni ya Adani imeonyesha nia na dhamira ya kutaka kuwekeza katika miundombinu ya Umeme hasa usafirishaji wa Umeme kwa Mfumo wa Ubia.

Ambapo wengi wametoa maoni yao kuwa Kwanini serikali isiifanye kazi hiyo yenyewe kupitia TANESCO kwa kuiongezea Bajeti. Wengine wakasema kuwa kama tumeweza kufikisha umeme hadi ngazi za vitongoji huko vijijini ,iweje sasa tutafute muwekezaji wa kusafirisha umeme wakati hata sisi wenyewe tunaweza kufanya kazi hiyo kwa ufanisi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jamaa yuko vizuri
 
Back
Top Bottom