Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #81
Kwani wewe huoni Dp world imeleta matokeo chanya Tangia imetua hapa Nchini?Hiyo sheria inahakikishaje?
Mbona DP world tuliingia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe huoni Dp world imeleta matokeo chanya Tangia imetua hapa Nchini?Hiyo sheria inahakikishaje?
Mbona DP world tuliingia?
Kupembuliwa means unaangaliwa na kutathiminiwa kam utaleta tija ndo maan hatujamkubalia Adan mpk saiv means tunauchambua na hii n kutokana na sheria nzr zilizowekwa saiv kweny PPP. Shida yako unaongea as if Adani kashapewa dili vileAisee yaani hata wewe ukijifuatilia unajielewa ?
Sio wewe uliyesema haya.....
Na mimi nikajibu hivi
Umepembuliwa wapi ?
Watu tumesikia wanatoa proposal ya kuja kufanya usambazaji.., sasa nieleze huo usambazaji unafanyika wapi na vipi na wana teknolojia gani ambayo sisi tunashindwa kuipata na zile pesa za REA tunazokatwa kila siku kila mtu akinunua umeme na tunaambiwa asilimia za kutosha zimeshakamilika kusambaza umeme kila kona zina maana gani ?
Unajua maana ya usambazaji ni kwamba umeme umeshazalishwa sasa unasambazwa kupitia kwenye nyaya sasa moja kipindi cha makamba alivyotwambia mifumo ilikuwa imechoka na tukatumia mapesa ya kutosha ili kusuka mfumo upya tulikuwa tunasuka nini ? Pili kama tunaambiwa umeme umewezwa kusambazwa kwa asilimi kubwa na bado vijiji vichache kwahio unataka kuniambia wameweza kwa asilimia kubwa washindwe kumalizia asilimia ndogo ?
ndo haichoki?Usambazaji wetu ni changamoto kwa vipi tena ?Kumbuka serikali ilitoa hela nyingi sana( trillions )za kukarabati miundombinu ya usambazaji wa umeme kipindi hicho.
Nimekuwekea Sheria mpya pia nimekuwekea loopholes za kwenye PPPs nikakuuliza nionyeshe ni Sheria gani na kipengelea gani ambacho kinaweza zuia hizo loopholes...; Na kama hao ndio waangaliaji waliotuingia kwenye mikataba ya kipuuzi ni nini kitabadilika sasa hivi; Huwezi kufanya kitu kilekile alafu utegemee matokeo tofauti...Kupembuliwa means unaangaliwa na kutathiminiwa kam utaleta tija ndo maan hatujamkubalia Adan mpk saiv means tunauchambua na hii n kutokana na sheria nzr zilizowekwa saiv kweny PPP. Shida yako unaongea as if Adani kashapewa dili vile
Hayo maswal mbona nishayajibu mkuu na nilikuambia v2 gan vmefanyika ambavyo n matokeo ya hzo sheria mpyaNimekuwekea Sheria mpya pia nimekuwekea loopholes za kwenye PPPs nikakuuliza nionyeshe ni Sheria gani na kipengelea gani ambacho kinaweza zuia hizo loopholes...; Na kama hao ndio waangaliaji waliotuingia kwenye mikataba ya kipuuzi ni nini kitabadilika sasa hivi; Huwezi kufanya kitu kilekile alafu utegemee matokeo tofauti...
Hio moja mbili utaniambia vipi tunahitaji usambazaji wakati tuliambiwa hata sisi tuliopo sasa umeme hautoshi ?
Kama Umeme hautoshi tunajadili PPP ya Msambazaji ili Asambaze nini ?
Tuliambiwa umeme hautoshi ndio maana kukawa na Mgao, tunaambiwa hata Bwawa likiwa full Capacity (mara mbili ya uzalishaji wa sasa) bado bei hazitashuka sababu kuna mahitaji makubwa ya viwanda n.k. Sasa najiuliza hawa Adani na wengineo ambao eti wameleta ombi la kufanya usambazaji, wanasambaza...www.jamiiforums.com
Naomba u qoute hapa huenda sijakuelewa au unamaanisha hili ndio jibu ?Hayo maswal mbona nishayajibu mkuu na nilikuambia v2 gan vmefanyika ambavyo n matokeo ya hzo sheria mpya
@didy muhenga
Hongera sana kwa ufatiliaji sasa effectiveness angalia Mapato na michakato kama huu wa Adani ulivyopembuliwa
pitia replies ze2 za mwanzo kabsa utaona majibu. Kurudiarudia unadrain my energy mkuu.Naomba u qoute hapa huenda sijakuelewa au unamaanisha hili ndio jibu ?
Mwaka juzi imeshachoka? Watakuwa walitumia material fake, ie disposable diapers.ndo haichoki?
Umemjibu vizuri sana.Kupembuliwa means unaangaliwa na kutathiminiwa kam utaleta tija ndo maan hatujamkubalia Adan mpk saiv means tunauchambua na hii n kutokana na sheria nzr zilizowekwa saiv kweny PPP. Shida yako unaongea as if Adani kashapewa dili vile
Tunaomba data kuthibisha hayo matokeo chanya ya DPWKwani wewe huoni Dp world imeleta matokeo chanya Tangia imetua hapa Nchini?
Ogopa ahadi za matapeli.Ndugu zangu Watanzania,
Mkurugenzi Mkuu wa PPP Mheshimiwa David Kafulila amewatoa hofu watanzania ambao wameonyesha kuwa na hofu kubwa sana juu ya mikataba ya Ubia .hasa kwa kurejea majeraha na makovu ya mikataba mibovu ambayo yamewahi kushuhudia yakileta hasara kwa Taifa letu.ikiwepo IPTL ambayo ilikuwa ni kama Jini Mnyonya Kodi za Watanzania wanyonge.
Ambapo Mheshimiwa David Kafulila Amesema ya kuwa ni katika mafunzo na uzoefu huo wa kuhakikisha hatuingii mikataba mibovu ya aina hiyo ndio iliyopelekea kupitishwa kwa sheria namba 103 ya PPP.Amesema kuwa PPP inatumika maeneo mbalimbali Duniani ikiwepo China ,India,Amerika na ulaya yote.
Hata hivyo amekiri kuwa Watanzania wapo sahihi kuwa na hofu ,hasa kwa kuzingatia yaliyotokea siku za nyuma kuhusiana na mikataba mibovu iliyoligharimu Taifa letu.
Soma Pia: Kafulila: Kama kuna mtu au kampuni wameona kuna mradi serikali inauendesha kwa hasara na wana mbinu za kuifanya serikali na wao kupata faida waje
Na hofu hiyo inakuja wakati huu ambao kampuni ya Adani imeonyesha nia na dhamira ya kutaka kuwekeza katika miundombinu ya Umeme hasa usafirishaji wa Umeme kwa Mfumo wa Ubia.
Ambapo wengi wametoa maoni yao kuwa Kwanini serikali isiifanye kazi hiyo yenyewe kupitia TANESCO kwa kuiongezea Bajeti. Wengine wakasema kuwa kama tumeweza kufikisha umeme hadi ngazi za vitongoji huko vijijini ,iweje sasa tutafute muwekezaji wa kusafirisha umeme wakati hata sisi wenyewe tunaweza kufanya kazi hiyo kwa ufanisi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Endelea kukaa na ujinga wako.Ogopa ahadi za matapeli.
Endelea kukaa na ujinga wako.
Anahitaji maombi.(deliverance )Ndiyo hivyo mkuu
Hakuna Jibu uliloweka wala hakuna Kinga ya kwenye Mkataba husika kuzuiwa matatizo yanayoweza kuzikumba Kodi Kodi zetu..., tukishakuwa wabia ni kwenye faida na hasara tunachangia na since umeme sio optional ni kitu cha lazima mambo yakienda ndivyo sivyo ni kodi zako ndio zitatumika na mfanyabiashara lazima apate profit target yake ikipungua lazima ruzuku ifidie the difference...pitia replies ze2 za mwanzo kabsa utaona majibu. Kurudiarudia unadrain my energy mkuu.
Nikuulize swali?Hakuna Jibu uliloweka wala hakuna Kinga ya kwenye Mkataba husika kuzuiwa matatizo yanayoweza kuzikumba Kodi Kodi zetu..., tukishakuwa wabia ni kwenye faida na hasara tunachangia na since umeme sio optional ni kitu cha lazima mambo yakienda ndivyo sivyo ni kodi zako ndio zitatumika na mfanyabiashara lazima apate profit target yake ikipungua lazima ruzuku ifidie the difference...
Kafulila is not an Investor, yeye ni mpiga debe tu.Hivi, ni lipi linatakiwa kuwa kipaumbele. Usafirishaji au uzalishaji?
Na vipi kama mzalishaji atashindwa kuzalisha!!
Kafulila anatuhakikishia vipi ghalama za umeme kuwa hazitakuwa juu baada ya huyo muwekezaji kuanza kusafirisha kilichozalishwa na Tanesco?
Tuna imani kubwa sana na Mheshimiwa David Kafulila kutokana na uadilifu na uzalendo alionao. Mheshimiwa Kafulia ana uzoefu wa kusimamia mabilioni ya pesa na mikataba Mikubwa kwa uzalendo na uadilifu mkubwa kwa maslahi mapana ya nchi na ustawi wa wananchi.Kafulila is not an Investor, yeye ni mpiga debe tu.
Kafulila asituiingize tena katika kichaka cha kuliwa na wajanja.
PPP inafanikiwa tu kwa nchi zenye utashi pia zilizoishapiga maendeleo na uzoefu mkubwa wa kuijua mikataba ipi inafaa na ipi haifai.
Hawaishii hapo tu,mfano mzuri ni nchi ya Korea Kusini sheria kwao ni msumeno kweli kweli.Maraisi watatu wako gerezani kwa makosa ya ufisadi.
China ukipatikana na ufisadi mkubwa ni kitanzi na kunyanganywa mali zako.
Tukirudi kwetu ni heri mara trillioni kufanya shughuli zetu bila PPP hadi pale tutakapopevuka.
Kafulila tafuta kazi nyingine, gombea ubunge, achana na hiyo miradi mufilisi.
Hajapewa wala full explanation ya atakavyofanya sidhani kama ameshasema bali ametoa proposal / wazo / nia ya kufanya uzambazaji (nadhani tangia huko juu nilikuwa nasema hayo and this is neither here nor there) Issue ni kwamba wewe umesema amendment ya sheria imeweka kinga ya loopholes zilizokuwepo..., mimi nikakupa copy ya hizo amendments na nikakuuliza kwa dondoo ambazo ndio loopholes za kwenye PPPs ni vipi hizo amendments zitazuia... ?Nikuulize swali?
Vipi Adani amepewa hio tender au hajapewa?
Well said. Mambo yatakuwa sawa PPP hapa kwetu baada ya kuwang'oa wote tuliowapa dhamana na kuwatia gerezani au kuwanyonga kabisa.Maendelea ni lazima maamuzi magumu yafanyike.Kafulila is not an Investor, yeye ni mpiga debe tu.
Kafulila asituiingize tena katika kichaka cha kuliwa na wajanja.
PPP inafanikiwa tu kwa nchi zenye utashi pia zilizoishapiga maendeleo na uzoefu mkubwa wa kuijua mikataba ipi inafaa na ipi haifai.
Hawaishii hapo tu,mfano mzuri ni nchi ya Korea Kusini sheria kwao ni msumeno kweli kweli.Maraisi watatu wako gerezani kwa makosa ya ufisadi.
China ukipatikana na ufisadi mkubwa ni kitanzi na kunyanganywa mali zako.
Tukirudi kwetu ni heri mara trillioni kufanya shughuli zetu bila PPP hadi pale tutakapopevuka.
Kafulila tafuta kazi nyingine, gombea ubunge, achana na hiyo miradi mufilisi.
Kumbe unajua kua Adani hajapewa deal na ukaanza mauchambuz yako unafikiri wanaoenda kufany hzo analysis hawayajui yale uliokua unasema? Alafu mimi najali matokeo yaan naangalia matokeo so uimqra wa sheria umeleta matokeo chanya so context yako ya kutak nielezee kifungu kimojakjmoja hio siwez fanya na huo muda sina na ukilitaka hilo kawatafute wanasheria wa hio bodi ya PPPHajapewa wala full explanation ya atakavyofanya sidhani kama ameshasema bali ametoa proposal / wazo / nia ya kufanya uzambazaji (nadhani tangia huko juu nilikuwa nasema hayo and this is neither here nor there) Issue ni kwamba wewe umesema amendment ya sheria imeweka kinga ya loopholes zilizokuwepo..., mimi nikakupa copy ya hizo amendments na nikakuuliza kwa dondoo ambazo ndio loopholes za kwenye PPPs ni vipi hizo amendments zitazuia... ?
Why Public Private Partnership Dont Work (The other Side of the Story)
Wakati tunapigia chepuo hii PPP's kwamba ndio magic wand nimeona nilete pdf hapa (report by David Hall) ambayo kwa hoja za mwandishi ni kwamba PPP's zimegubikwa na sintofahamu za kutosha na loopholes za Upigaji na kwa nchi kama yetu ya mafisadi huenda hii ikawa ni kuongezea watu mirija ya...www.jamiiforums.com