Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Yupo vizuri sana na mwenye uzalendo ndani yake.Jamaa yuko vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo vizuri sana na mwenye uzalendo ndani yake.Jamaa yuko vizuri
Mheshimiwa Kafulia ni msafi na mzalendoLevel ya juu kupigia chepuo ufisadi kwenye PPP
Hiyo sheria inahakikishaje?Ndugu zangu Watanzania,
Mkurugenzi Mkuu wa PPP Mheshimiwa David Kafulila amewatoa hofu watanzania ambao wameonyesha kuwa na hofu kubwa sana juu ya mikataba ya Ubia .hasa kwa kurejea majeraha na makovu ya mikataba mibovu ambayo yamewahi kushuhudia yakileta hasara kwa Taifa letu.ikiwepo IPTL ambayo ilikuwa ni kama Jini Mnyonya Kodi za Watanzania wanyonge.
Ambapo Mheshimiwa David Kafulila Amesema ya kuwa ni katika mafunzo na uzoefu huo wa kuhakikisha hatuingii mikataba mibovu ya aina hiyo ndio iliyopelekea kupitishwa kwa sheria namba 103 ya PPP.Amesema kuwa PPP inatumika maeneo mbalimbali Duniani ikiwepo China ,India,Amerika na ulaya yote.
Hata hivyo amekiri kuwa Watanzania wapo sahihi kuwa na hofu ,hasa kwa kuzingatia yaliyotokea siku za nyuma kuhusiana na mikataba mibovu iliyoligharimu Taifa letu.
Soma Pia: Kafulila: Kama kuna mtu au kampuni wameona kuna mradi serikali inauendesha kwa hasara na wana mbinu za kuifanya serikali na wao kupata faida waje
Na hofu hiyo inakuja wakati huu ambao kampuni ya Adani imeonyesha nia na dhamira ya kutaka kuwekeza katika miundombinu ya Umeme hasa usafirishaji wa Umeme kwa Mfumo wa Ubia.
Ambapo wengi wametoa maoni yao kuwa Kwanini serikali isiifanye kazi hiyo yenyewe kupitia TANESCO kwa kuiongezea Bajeti. Wengine wakasema kuwa kama tumeweza kufikisha umeme hadi ngazi za vitongoji huko vijijini ,iweje sasa tutafute muwekezaji wa kusafirisha umeme wakati hata sisi wenyewe tunaweza kufanya kazi hiyo kwa ufanisi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kumbe.Ni PS wa UWT Wilaya hawezi kuelewa chochote
Dp world tumeingia kwa sababu tume zingatia maslahi ya Taifa.Hiyo sheria inahakikishaje?
Mbona DP world tuliingia?
Ondoa hofu yako ndugu yangu mtanzania.wala usiwe na wasiwasi.ppp ipo katika mikono salama sana na mikataba itakayosainiwa ni ile yenye maslahi,tija na faida kwa Taifa letu.
Nini hofu yako?Ati niondoe hofu?
Niambie kwanini nisiwe na hofu?
Kwani, kusema kwamba PPP ipo katika mikono salama, pekee haitoshi.
Haya sasa, Ushaanza dana dana.Nini hofu yako?
Nimekupatia majibu lakini bado inaonyesha kuwa na wasiwasi.ndio maana nimekuuliza nje na majibu mazuri na toshelezi unahofu gani nyingine?Haya sasa, Ushaanza dana dana.
Weye ndie Uliesema niondoe hofu, ikiwa ina maana unaijuia hofu yangu. Halafu nakuuliza swali, unanijibu na Swali?
"That is a damnig non Answer"~Walz.
Kama upo karibu na Rais Samia mwambie aweke lami barabara zote za mbezi beach, walipa kodi wakubwa wanaishi huku, watumishi wa serikali kuanzia awamu ya kwanza wanaishi huku.Ndugu zangu Watanzania,
Mkurugenzi Mkuu wa PPP Mheshimiwa David Kafulila amewatoa hofu watanzania ambao wameonyesha kuwa na hofu kuikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sababu ya mikataba kufanywa siri ni kutotaka kujibu tuhuma za kipuuzi kama hizi za kwako.Judge Werema alimpaga kubwa na kumuita Tumbiri katika mazingira tata kama haya...
Juzi tu lile takataka la bandari lilivyotoka ndio watu wakapagawa kwamba hivi inakuwaje serikali ikatengeneza kitu kama kile?...anafikiri tumesahau...yeye anaiona IPTL tu....Very irritating
Sawa TlaatlaahNimekupatia majibu lakini bado inaonyesha kuwa na wasiwasi.ndio maana nimekuuliza nje na majibu mazuri na toshelezi unahofu gani nyingine?
Umemjibu vizuri sana .kama ana kichwa na akili Timamu atakuwa amekuelewa vyema.Sababu ya mikataba kufanywa siri ni kutotaka kujibu tuhuma za kipuuzi kama hizi za kwako.
Sababu nyingine ni kile kinachoandikwa kwenye mikataba ya kibiashara kuwa ni siri ya pande mbili, pengine mwekezaji anakupa upendeleo wewe wa kibiashara na anamnyima mbia mwingine wa nchi nyingine.
Pengine wewe kama mkaribishaji wa uwekezaji wake unampa upendeleo fulani ambao haupati kwa wakaribishaji wengine wa uwekezaji anaoufanya, kuna technicalities nyingi za kibiashara ambazo pande mbili hazioni sababu ya kuuanika mkataba. Ile sio biashara ya kuuza vitumbua, ni uwekezaji mkubwa wenye tija kwa pande zote mbili.
Mawazo haya yanatuacha na umaskini mkubwa zaidi yanapoendekezwa. Tujifunze kujitegemea kama tunaijua fedheha ya kunyanyaswa na wazungu.Sawa Tlaatlaah
Wazungu ni wezi tu
Tangia waingie huku Afrika, wamekuwa wakifanya haya haya.
Kuwaibia Waafrika...
Jenga Hospitali, Jenga Shule, Jenga Barabara n.k n.k Yani Miundombinu. Sasa wamerudi na just a fancy name. Wakimaliza, hela yote inarudi kwao.. Wnafunzi waliosomeshwa, wanahamia kwao, huduma za Afya nazo vilevile. Sasa wanapotujenge hizi substandard hospital huwa kitu gani kinatokea?
Hela karibia yote anayodai Lissu yote inaenda Ulaya.
Sasa Huu ubia utabadilisha nini?
Inatofauti gani na zile Colonial charters? Ambazo zilikuwa zina malengo haya haya tu na visingizio kibao?
Same ole. Exploiting local resources and labor often tobthe detrimentbof our countries and local communities.
The same framework that was used before WW1 and WW2
Waingereza wameshtuka na Wafaransa nao pia na hizi PPP. Wenyewe🙌🏾😂
Kifupi ni kwamba mpango huu haubadilishi chechote kile likija swala la Transparency na Accountability....hata ikiwa ni Kafulila kasema 'hii sio kama IPTL'
Wapi umeona Adani kapewa deal? Ni dhahiri shair usambazqj kwe2 ni changamoto ndo maan hata kipind kile moja ya sababu umeme kukatika hio ni mojawapo.Umepembuliwa wapi ?
Watu tumesikia wanatoa proposal ya kuja kufanya usambazaji.., sasa nieleze huo usambazaji unafanyika wapi na vipi na wana teknolojia gani ambayo sisi tunashindwa kuipata na zile pesa za REA tunazokatwa kila siku kila mtu akinunua umeme na tunaambiwa asilimia za kutosha zimeshakamilika kusambaza umeme kila kona zina maana gani ?
Kama Umeme hautoshi tunajadili PPP ya Msambazaji ili Asambaze nini ?
Tuliambiwa umeme hautoshi ndio maana kukawa na Mgao, tunaambiwa hata Bwawa likiwa full Capacity (mara mbili ya uzalishaji wa sasa) bado bei hazitashuka sababu kuna mahitaji makubwa ya viwanda n.k. Sasa najiuliza hawa Adani na wengineo ambao eti wameleta ombi la kufanya usambazaji, wanasambaza...www.jamiiforums.com
Umenena ukweli.Wapi umeona Adani kapewa deal? Ni dhahiri shair usambazqj kwe2 ni changamoto ndo maan hata kipind kile moja ya sababu umeme kukatika hio ni mojawapo.
Usambazaji wetu ni changamoto kwa vipi tena ?Kumbuka serikali ilitoa hela nyingi sana( trillions )za kukarabati miundombinu ya usambazaji wa umeme kipindi hicho.Wapi umeona Adani kapewa deal? Ni dhahiri shair usambazqj kwe2 ni changamoto ndo maan hata kipind kile moja ya sababu umeme kukatika hio ni mojawapo.
Aisee yaani hata wewe ukijifuatilia unajielewa ?Wapi umeona Adani kapewa deal?
Na mimi nikajibu hiviHongera sana kwa ufatiliaji sasa effectiveness angalia Mapato na michakato kama huu wa Adani ulivyopembuliwa
Unajua maana ya usambazaji ni kwamba umeme umeshazalishwa sasa unasambazwa kupitia kwenye nyaya sasa moja kipindi cha makamba alivyotwambia mifumo ilikuwa imechoka na tukatumia mapesa ya kutosha ili kusuka mfumo upya tulikuwa tunasuka nini ? Pili kama tunaambiwa umeme umewezwa kusambazwa kwa asilimi kubwa na bado vijiji vichache kwahio unataka kuniambia wameweza kwa asilimia kubwa washindwe kumalizia asilimia ndogo ?Ni dhahiri shair usambazqj kwe2 ni changamoto ndo maan hata kipind kile moja ya sababu umeme kukatika hio ni mojawapo.
Ndiyo hivyo mkuuKumbe.