David Kafulila: Masuala ya Mikataba Mibovu aina ya IPTL hayawezi kujirudia kupitia PPP

Kuleta politics kwenye mambo ya msingi nao ni ujuha!
Mikataba ije,ijadiliwe kwa uwazi!
Sio kuificha alafu mnaitetea, na kuwaona watu wote wana akili za kichawa kama wewe chawa mkuu fisiem!
 
PPP imekua imara TZ juz tu hapa na hta sheria yake imepitishwa juz tu hapa inshort kwa kipind hicho tulikua hata hatuna sheria ya PPP na pia tulikua hatuna hata kitengo cha PPP
Sheria ya 103 (amendment) ni hii hapa


Nieleze inaziba vipi hizi loopholes

 
Hivi dogo huwezagi kujadili hoja bila kutukana matusi😀😀
Hivi mkataba wa DP WORLD na Tanzania ni PPP? Ili nikuoneshe ubovu wake zaidi ya IPTL...Kafulila anaongea utafikiri ni mtaalam wa mikataba, tokea lini nchi iliyoendelea ikaingia mkataba na nchi inayoendelea alafu ikosekana kunyonyana.
 
Kafulila anataka kumzidi umaarufu mwenyekiti wa CCM.

Kila siku anataka tumjadili yeye
 
Huyu 'Tumbili' amekuwa zezeta sana nyakati hizi. Yeye kapewa udalali ndio kajisahau kabisa kuwa kuna heshima inayo hitaji kuhifadhiwa kwa umakini mkubwa!
 
Hii ya kuanzisha kampuni na wananchi wanunue hisa itakuwa suluhisho la kudumu.
Miundombinu ipo inayotumika, ni kuboresha na kuongeza.
PPP isitumike kama kichaka cha wageni kutupiga.
 
Hongera sana kwa ufatiliaji sasa effectiveness angalia Mapato na michakato kama huu wa Adani ulivyopembuliwa
Umepembuliwa wapi ?

Watu tumesikia wanatoa proposal ya kuja kufanya usambazaji.., sasa nieleze huo usambazaji unafanyika wapi na vipi na wana teknolojia gani ambayo sisi tunashindwa kuipata na zile pesa za REA tunazokatwa kila siku kila mtu akinunua umeme na tunaambiwa asilimia za kutosha zimeshakamilika kusambaza umeme kila kona zina maana gani ?

 
Jamaa yuko vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…