David Kafulila: Masuala ya Mikataba Mibovu aina ya IPTL hayawezi kujirudia kupitia PPP

Kupembuliwa means unaangaliwa na kutathiminiwa kam utaleta tija ndo maan hatujamkubalia Adan mpk saiv means tunauchambua na hii n kutokana na sheria nzr zilizowekwa saiv kweny PPP. Shida yako unaongea as if Adani kashapewa dili vile
 
Kupembuliwa means unaangaliwa na kutathiminiwa kam utaleta tija ndo maan hatujamkubalia Adan mpk saiv means tunauchambua na hii n kutokana na sheria nzr zilizowekwa saiv kweny PPP. Shida yako unaongea as if Adani kashapewa dili vile
Nimekuwekea Sheria mpya pia nimekuwekea loopholes za kwenye PPPs nikakuuliza nionyeshe ni Sheria gani na kipengelea gani ambacho kinaweza zuia hizo loopholes...; Na kama hao ndio waangaliaji waliotuingia kwenye mikataba ya kipuuzi ni nini kitabadilika sasa hivi; Huwezi kufanya kitu kilekile alafu utegemee matokeo tofauti...

Hio moja mbili utaniambia vipi tunahitaji usambazaji wakati tuliambiwa hata sisi tuliopo sasa umeme hautoshi ?

 
Hayo maswal mbona nishayajibu mkuu na nilikuambia v2 gan vmefanyika ambavyo n matokeo ya hzo sheria mpya
 
Hayo maswal mbona nishayajibu mkuu na nilikuambia v2 gan vmefanyika ambavyo n matokeo ya hzo sheria mpya
Naomba u qoute hapa huenda sijakuelewa au unamaanisha hili ndio jibu ?


@didy muhenga
Hongera sana kwa ufatiliaji sasa effectiveness angalia Mapato na michakato kama huu wa Adani ulivyopembuliwa
 
Kupembuliwa means unaangaliwa na kutathiminiwa kam utaleta tija ndo maan hatujamkubalia Adan mpk saiv means tunauchambua na hii n kutokana na sheria nzr zilizowekwa saiv kweny PPP. Shida yako unaongea as if Adani kashapewa dili vile
Umemjibu vizuri sana.
 
Ogopa ahadi za matapeli.
 
pitia replies ze2 za mwanzo kabsa utaona majibu. Kurudiarudia unadrain my energy mkuu.
Hakuna Jibu uliloweka wala hakuna Kinga ya kwenye Mkataba husika kuzuiwa matatizo yanayoweza kuzikumba Kodi Kodi zetu..., tukishakuwa wabia ni kwenye faida na hasara tunachangia na since umeme sio optional ni kitu cha lazima mambo yakienda ndivyo sivyo ni kodi zako ndio zitatumika na mfanyabiashara lazima apate profit target yake ikipungua lazima ruzuku ifidie the difference...
 
Nikuulize swali?
Vipi Adani amepewa hio tender au hajapewa?
 
Kafulila is not an Investor, yeye ni mpiga debe tu.
Kafulila asituiingize tena katika kichaka cha kuliwa na wajanja.

PPP inafanikiwa tu kwa nchi zenye utashi pia zilizoishapiga maendeleo na uzoefu mkubwa wa kuijua mikataba ipi inafaa na ipi haifai.
Hawaishii hapo tu,mfano mzuri ni nchi ya Korea Kusini sheria kwao ni msumeno kweli kweli.Maraisi watatu wako gerezani kwa makosa ya ufisadi.
China ukipatikana na ufisadi mkubwa ni kitanzi na kunyanganywa mali zako.
Tukirudi kwetu ni heri mara trillioni kufanya shughuli zetu bila PPP hadi pale tutakapopevuka.
Kafulila tafuta kazi nyingine, gombea ubunge, achana na hiyo miradi mufilisi.
 
Tuna imani kubwa sana na Mheshimiwa David Kafulila kutokana na uadilifu na uzalendo alionao. Mheshimiwa Kafulia ana uzoefu wa kusimamia mabilioni ya pesa na mikataba Mikubwa kwa uzalendo na uadilifu mkubwa kwa maslahi mapana ya nchi na ustawi wa wananchi.
 
Nikuulize swali?
Vipi Adani amepewa hio tender au hajapewa?
Hajapewa wala full explanation ya atakavyofanya sidhani kama ameshasema bali ametoa proposal / wazo / nia ya kufanya uzambazaji (nadhani tangia huko juu nilikuwa nasema hayo and this is neither here nor there) Issue ni kwamba wewe umesema amendment ya sheria imeweka kinga ya loopholes zilizokuwepo..., mimi nikakupa copy ya hizo amendments na nikakuuliza kwa dondoo ambazo ndio loopholes za kwenye PPPs ni vipi hizo amendments zitazuia... ?

 
Well said. Mambo yatakuwa sawa PPP hapa kwetu baada ya kuwang'oa wote tuliowapa dhamana na kuwatia gerezani au kuwanyonga kabisa.Maendelea ni lazima maamuzi magumu yafanyike.
 
Kumbe unajua kua Adani hajapewa deal na ukaanza mauchambuz yako unafikiri wanaoenda kufany hzo analysis hawayajui yale uliokua unasema? Alafu mimi najali matokeo yaan naangalia matokeo so uimqra wa sheria umeleta matokeo chanya so context yako ya kutak nielezee kifungu kimojakjmoja hio siwez fanya na huo muda sina na ukilitaka hilo kawatafute wanasheria wa hio bodi ya PPP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…