David Kafulila: Miaka 25 ijayo Serikali itajenga Uchumi wa $700bn. Pato la kila mmoja wetu litafikia TZS 20M

Hongera braza k,
 
Kwa kuendelea kuteka na kuua watu mnavyofanya na huyo Samia wako, hii nchi haitafika mahali. Take my words. Nchi imeshakuwa ya ovyo.
 
Hicho kitu hakipo, kwa ulafi na ubinafsi wa viongozi wetu hilo suala haliwezekani, kumbuka ahad za mkapa, kumbuka za kikwete, kiko wapi mpaka leo hii.

Hawa viongozi wameshajua watanzania ni machendu, basi wanachezea tu akili zetu.
 
Kafu
Kazi ni nzuri sana ya huyu muha
 
Natamani tuanze na wasiojulikana kwamaana ya kukabiliana na ,(uncertainty), yasiyokuwa na uhakika, yasiyokuwa ya uhakika Ndiyo kisabibishi kikuu Cha mikwamo ya binadamu katika maisha hata biashara
 
Natamani tuanze na wasiojulikana kwamaana ya kukabiliana na ,(uncertainty), yasiyokuwa na uhakika, yasiyokuwa ya uhakika Ndiyo kisabibishi kikuu Cha mikwamo ya binadamu katika maisha hata biashara
Wanajulikana
 
Watoto wanakaa chini, shule za msingi kama magofu, umeme wa mgao we unaongea nini
Kama Bado Kuna sehemu Watoto wanakaa chini basi Dira inalenga pamoja na mambo mengine kuondoa hizo Changamoto ndogo ndogo.

By the way hakuna shule yeyote inayojengwa Sasa hivi bila madawati ,haipo.
 
Hizi ni story kama story nyingine. $700 BN ni zaidi ya mara mbiili ya GDP ya Finland, zaidi ya mara 6 ya GDP ya Dubai. Ni mastory tu kama mastory mengine hayawezi kuwa achieved ndani ya miaka 25 ijayo.
 
Hizi ni story kama story nyingine. $700 BN ni zaidi ya mara mbiili ya GDP ya Finland, zaidi ya mara 6 ya GDP ya Dubai. Ni mastory tu kama mastory mengine hayawezi kuwa achieved ndani ya miaka 25 ijayo.
Sema hayo malengo ni makubwa sana ila waliotunga hiyo wamefanya Utafiti na kujifunza Kwa Nchi zilozoleta hayo Mageuzi ndani ya miaka 10-20 ,Kwa hiyo hawajakurupuka.

Ukiniuliza Mimi nitakwambia bottleneck itakayokwamisha tusifike ni
1.Siasa za ujamaa (Hapa Wanasiasa dizaini ya Kina Mwendazake wakishika hatamu hiyo itakuwa ni ndogo)

2.Low integration na Nchi zinazotuzunguka

3.Kutokuwa na vipaombele vichache na kuvisimamia.

4.Kutokuwa na plan nzuri za utekelezaji

5.Kuweka masharti rundo Kwa wawekezaji
 
Toka umeisikia dubai imeanza kufanya mageuzi ni lini? Lakini GDP yao mpaka mwaka jana ni dola bilioni 116 wewe Tanzania hii ambayo mpaka sasa maji, umeme, ni shida yani bado tunapambana na matatizo hayo hayo ije kuwa na uchumi wa $700 bilioni dollars ndani ya miaka 25, yani mkuu hizo kwa pesa ya kitanzania ni kama tilioni elfu moja mia saba hamsini. Kwa sasa GDP yetu ni kama tilioni 200.
 
Are you talking about UAE economy au Dubai ?

Dubai ni Nchi ndogo sana Kwa size hiyo ya Uchumi kwao ni maendeleo makubwa sana na waliya plan hivyo wakati Kwa Tanzania ni sawa na tone la maji tuu.

Tatu Kwa Rasilimali zilizopo na Mahitaji ya Nchi na watu wake ,tunahitani Uchumi mkubwa zaidi ambayo ndio huo uliokadiriwa kwenye Dira,sio rahisi ila ni achievable ndani ya mda huo huo.Mifano ya Nchi zilizokuza uchumi Kwa Ukubwa huo Kwa mda mfupi ni Korea Kusini,China,Indonesia,Singapore,Malaysia nk na ndiko Tanznaia imeenda Kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…