Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
- Thread starter
- #61
Nenda bankMikopo hamtoi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda bankMikopo hamtoi ?
Hongera braza k,View attachment 3199594
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchi Tanzània PPPC Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania kuwa lazima wafahamu kesho ya Tanzània lao ni bora sana kama tu hali ya Umoja na mshikamamo itaendelea kuwa ilivyo leo.
David Kafulila anasema, Tanzania kwa kushirikiana na sekta binafsi ( PPP) ya ndani au nje ya Tanzania wataipeleka kwa Kasi Tanzania kwenye Uchumi wa viwango vya juu kama ilivyoainishwa kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo kwa miaka 25 ijayo ( 2025-2050 )
Mtakumbuka, David Kafulila amekuwa ni Mtendaji na mwanasiasa anayejikita zaidi kwenye kutetea hoja za Serikali yake kwa namba na "fact" zenye kueleweka na watu wa Kada zote kitu kinachomfanya awe ni Mtendaji wa Serikali anayefuatiliwa zaidi mitandaoni kwa sasa.
Mkurugenzi Mtendaji huyu anasema Tanzània mpaka kufikia mwaka 2050 inatarajia kujenga Uchumi wa $700bn ambao ni karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya leo ambayo Leo ni karibu $380bn.
Kafulila anasema si kazi rahisi kujenga Uchumi wa $700bn kutoka Uchumi wa sasa wa Tanzania wa $85bn kazi ambayo kamwe haiwezi ikatekelezwa kwa Kodi na Mikopo pekee hivyo sekta binafsi haepukiki kwenye safari hii ya ujenzi wa Uchumi mkubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 25.
Mkurugenzi Mtendaji huyu anaendelea kwa kusema jambo hili linawezekana bila mashaka yoyote kwani hata nchi ya Vietnam mwaka 1990 ilikuwa na Uchumi wa $6.4bn lakini leo Vietnam wana Uchumi wa zaidi ya $460bn karibu mara themanini (X 80) zaidi.
Kama hivyo ndivyo kwanini Tanzania tusiweze Vietnam wao Wana nini?
View attachment 3196797
====
Kwa kuendelea kuteka na kuua watu mnavyofanya na huyo Samia wako, hii nchi haitafika mahali. Take my words. Nchi imeshakuwa ya ovyo.View attachment 3199594
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchi Tanzània PPPC Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania kuwa lazima wafahamu kesho ya Tanzània lao ni bora sana kama tu hali ya Umoja na mshikamamo itaendelea kuwa ilivyo leo.
David Kafulila anasema, Tanzania kwa kushirikiana na sekta binafsi ( PPP) ya ndani au nje ya Tanzania wataipeleka kwa Kasi Tanzania kwenye Uchumi wa viwango vya juu kama ilivyoainishwa kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo kwa miaka 25 ijayo ( 2025-2050 )
Mtakumbuka, David Kafulila amekuwa ni Mtendaji na mwanasiasa anayejikita zaidi kwenye kutetea hoja za Serikali yake kwa namba na "fact" zenye kueleweka na watu wa Kada zote kitu kinachomfanya awe ni Mtendaji wa Serikali anayefuatiliwa zaidi mitandaoni kwa sasa.
Mkurugenzi Mtendaji huyu anasema Tanzània mpaka kufikia mwaka 2050 inatarajia kujenga Uchumi wa $700bn ambao ni karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya leo ambayo Leo ni karibu $380bn.
Kafulila anasema si kazi rahisi kujenga Uchumi wa $700bn kutoka Uchumi wa sasa wa Tanzania wa $85bn kazi ambayo kamwe haiwezi ikatekelezwa kwa Kodi na Mikopo pekee hivyo sekta binafsi haepukiki kwenye safari hii ya ujenzi wa Uchumi mkubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 25.
Mkurugenzi Mtendaji huyu anaendelea kwa kusema jambo hili linawezekana bila mashaka yoyote kwani hata nchi ya Vietnam mwaka 1990 ilikuwa na Uchumi wa $6.4bn lakini leo Vietnam wana Uchumi wa zaidi ya $460bn karibu mara themanini (X 80) zaidi.
Kama hivyo ndivyo kwanini Tanzania tusiweze Vietnam wao Wana nini?
View attachment 3196797
====
Kazi ni nzuri sana ya huyu muhaView attachment 3199594

Acha Ukabila haufaiKafu
Kazi ni nzuri sana ya huyu muha
Natamani tuanze na wasiojulikana kwamaana ya kukabiliana na ,(uncertainty), yasiyokuwa na uhakika, yasiyokuwa ya uhakika Ndiyo kisabibishi kikuu Cha mikwamo ya binadamu katika maisha hata biasharaView attachment 3199594
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchi Tanzània PPPC Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania kuwa lazima wafahamu kesho ya Tanzània lao ni bora sana kama tu hali ya Umoja na mshikamamo itaendelea kuwa ilivyo leo.
David Kafulila anasema, Tanzania kwa kushirikiana na sekta binafsi ( PPP) ya ndani au nje ya Tanzania wataipeleka kwa Kasi Tanzania kwenye Uchumi wa viwango vya juu kama ilivyoainishwa kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo kwa miaka 25 ijayo ( 2025-2050 )
Mtakumbuka, David Kafulila amekuwa ni Mtendaji na mwanasiasa anayejikita zaidi kwenye kutetea hoja za Serikali yake kwa namba na "fact" zenye kueleweka na watu wa Kada zote kitu kinachomfanya awe ni Mtendaji wa Serikali anayefuatiliwa zaidi mitandaoni kwa sasa.
Mkurugenzi Mtendaji huyu anasema Tanzània mpaka kufikia mwaka 2050 inatarajia kujenga Uchumi wa $700bn ambao ni karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya leo ambayo Leo ni karibu $380bn.
Kafulila anasema si kazi rahisi kujenga Uchumi wa $700bn kutoka Uchumi wa sasa wa Tanzania wa $85bn kazi ambayo kamwe haiwezi ikatekelezwa kwa Kodi na Mikopo pekee hivyo sekta binafsi haepukiki kwenye safari hii ya ujenzi wa Uchumi mkubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 25.
Mkurugenzi Mtendaji huyu anaendelea kwa kusema jambo hili linawezekana bila mashaka yoyote kwani hata nchi ya Vietnam mwaka 1990 ilikuwa na Uchumi wa $6.4bn lakini leo Vietnam wana Uchumi wa zaidi ya $460bn karibu mara themanini (X 80) zaidi.
Kama hivyo ndivyo kwanini Tanzania tusiweze Vietnam wao Wana nini?
View attachment 3196797
====
WanajulikanaNatamani tuanze na wasiojulikana kwamaana ya kukabiliana na ,(uncertainty), yasiyokuwa na uhakika, yasiyokuwa ya uhakika Ndiyo kisabibishi kikuu Cha mikwamo ya binadamu katika maisha hata biashara
Watoto wanakaa chini, shule za msingi kama magofu, umeme wa mgao we unaongea niniChoo wapi huko Mkuu?
Lakini hawatakiwi wajulikane, hahahaWanajulikana
Yaani watu watatekwa ikibidi ila Uchumi utapaa maana havihusiani.Kwa kuendelea kuteka na kuua watu mnavyofanya na huyo Samia wako, hii nchi haitafika mahali. Take my words. Nchi imeshakuwa ya ovyo.
Kwa mtu mwenye akili finyu kama wewe ni sawa kuropokaUpuuzi mtupu
Kama Bado Kuna sehemu Watoto wanakaa chini basi Dira inalenga pamoja na mambo mengine kuondoa hizo Changamoto ndogo ndogo.Watoto wanakaa chini, shule za msingi kama magofu, umeme wa mgao we unaongea nini
Kazi gani anayofanya?Kafu
Kazi ni nzuri sana ya huyu muha
Hizi ni story kama story nyingine. $700 BN ni zaidi ya mara mbiili ya GDP ya Finland, zaidi ya mara 6 ya GDP ya Dubai. Ni mastory tu kama mastory mengine hayawezi kuwa achieved ndani ya miaka 25 ijayo.View attachment 3199594
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchi Tanzània PPPC Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania kuwa lazima wafahamu kesho ya Tanzània lao ni bora sana kama tu hali ya Umoja na mshikamamo itaendelea kuwa ilivyo leo.
David Kafulila anasema, Tanzania kwa kushirikiana na sekta binafsi ( PPP) ya ndani au nje ya Tanzania wataipeleka kwa Kasi Tanzania kwenye Uchumi wa viwango vya juu kama ilivyoainishwa kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo kwa miaka 25 ijayo ( 2025-2050 )
Mtakumbuka, David Kafulila amekuwa ni Mtendaji na mwanasiasa anayejikita zaidi kwenye kutetea hoja za Serikali yake kwa namba na "fact" zenye kueleweka na watu wa Kada zote kitu kinachomfanya awe ni Mtendaji wa Serikali anayefuatiliwa zaidi mitandaoni kwa sasa.
Mkurugenzi Mtendaji huyu anasema Tanzània mpaka kufikia mwaka 2050 inatarajia kujenga Uchumi wa $700bn ambao ni karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya leo ambayo Leo ni karibu $380bn.
Kafulila anasema si kazi rahisi kujenga Uchumi wa $700bn kutoka Uchumi wa sasa wa Tanzania wa $85bn kazi ambayo kamwe haiwezi ikatekelezwa kwa Kodi na Mikopo pekee hivyo sekta binafsi haepukiki kwenye safari hii ya ujenzi wa Uchumi mkubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 25.
Mkurugenzi Mtendaji huyu anaendelea kwa kusema jambo hili linawezekana bila mashaka yoyote kwani hata nchi ya Vietnam mwaka 1990 ilikuwa na Uchumi wa $6.4bn lakini leo Vietnam wana Uchumi wa zaidi ya $460bn karibu mara themanini (X 80) zaidi.
Kama hivyo ndivyo kwanini Tanzania tusiweze Vietnam wao Wana nini?
View attachment 3196797
====
Sema hayo malengo ni makubwa sana ila waliotunga hiyo wamefanya Utafiti na kujifunza Kwa Nchi zilozoleta hayo Mageuzi ndani ya miaka 10-20 ,Kwa hiyo hawajakurupuka.Hizi ni story kama story nyingine. $700 BN ni zaidi ya mara mbiili ya GDP ya Finland, zaidi ya mara 6 ya GDP ya Dubai. Ni mastory tu kama mastory mengine hayawezi kuwa achieved ndani ya miaka 25 ijayo.
Toka umeisikia dubai imeanza kufanya mageuzi ni lini? Lakini GDP yao mpaka mwaka jana ni dola bilioni 116 wewe Tanzania hii ambayo mpaka sasa maji, umeme, ni shida yani bado tunapambana na matatizo hayo hayo ije kuwa na uchumi wa $700 bilioni dollars ndani ya miaka 25, yani mkuu hizo kwa pesa ya kitanzania ni kama tilioni elfu moja mia saba hamsini. Kwa sasa GDP yetu ni kama tilioni 200.Sema hayo malengo ni makubwa sana ila waliotunga hiyo wamefanya Utafiti na kujifunza Kwa Nchi zilozoleta hayo Mageuzi ndani ya miaka 10-20 ,Kwa hiyo hawajakurupuka.
Ukiniuliza Mimi nitakwambia bottleneck itakayokwamisha tusifike ni
1.Siasa za ujamaa (Hapa Wanasiasa dizaini ya Kina Mwendazake wakishika hatamu hiyo itakuwa ni ndogo)
2.Low integration na Nchi zinazotuzunguka
3.Kutokuwa na vipaombele vichache na kuvisimamia.
4.Kutokuwa na plan nzuri za utekelezaji
5.Kuweka masharti rundo Kwa wawekezaji
Are you talking about UAE economy au Dubai ?Toka umeisikia dubai imeanza kufanya mageuzi ni lini? Lakini GDP yao mpaka mwaka jana ni dola bilioni 116 wewe Tanzania hii ambayo mpaka sasa maji, umeme, ni shida yani bado tunapambana na matatizo hayo hayo ije kuwa na uchumi wa $700 bilioni dollars ndani ya miaka 25, yani mkuu hizo kwa pesa ya kitanzania ni kama tilioni elfu moja mia saba hamsini. Kwa sasa GDP yetu ni kama tilioni 200.