Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Mpaka sahivi kuna mpango gani wa kufikia hayo malengoTunazingumzia miaka 25 baadae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sahivi kuna mpango gani wa kufikia hayo malengoTunazingumzia miaka 25 baadae
Hii ni kama story za "... receive a house receive a car..."View attachment 3199594
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchi Tanzània PPPC Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania kuwa lazima wafahamu kesho ya Tanzània lao ni bora sana kama tu hali ya Umoja na mshikamamo itaendelea kuwa ilivyo leo.
David Kafulila anasema, Tanzania kwa kushirikiana na sekta binafsi ( PPP) ya ndani au nje ya Tanzania wataipeleka kwa Kasi Tanzania kwenye Uchumi wa viwango vya juu kama ilivyoainishwa kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo kwa miaka 25 ijayo ( 2025-2050 )
Mtakumbuka, David Kafulila amekuwa ni Mtendaji na mwanasiasa anayejikita zaidi kwenye kutetea hoja za Serikali yake kwa namba na "fact" zenye kueleweka na watu wa Kada zote kitu kinachomfanya awe ni Mtendaji wa Serikali anayefuatiliwa zaidi mitandaoni kwa sasa.
Mkurugenzi Mtendaji huyu anasema Tanzània mpaka kufikia mwaka 2050 inatarajia kujenga Uchumi wa $700bn ambao ni karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya leo ambayo Leo ni karibu $380bn.
Kafulila anasema si kazi rahisi kujenga Uchumi wa $700bn kutoka Uchumi wa sasa wa Tanzania wa $85bn kazi ambayo kamwe haiwezi ikatekelezwa kwa Kodi na Mikopo pekee hivyo sekta binafsi haepukiki kwenye safari hii ya ujenzi wa Uchumi mkubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 25.
Mkurugenzi Mtendaji huyu anaendelea kwa kusema jambo hili linawezekana bila mashaka yoyote kwani hata nchi ya Vietnam mwaka 1990 ilikuwa na Uchumi wa $6.4bn lakini leo Vietnam wana Uchumi wa zaidi ya $460bn karibu mara themanini (X 80) zaidi.
Kama hivyo ndivyo kwanini Tanzania tusiweze Vietnam wao Wana nini?
View attachment 3196797
====
Hii nchi wameshatufanya wajinga sanaHii ni kama story za "... receive a house receive a car..."
KabisaHii nchi wameshatufanya wajinga sana
Uchumi wa gdp ya usd billion 700 kumbuka afrika hakuna nchi ambayo imefikia mpaka sahiviKabisa
Nani kakwambia matundu ya vyoo ni salama kwa afya, Wenzenu wanatumia vyoo vya flushing ninyi bado huko kwenu Tandahimba mnafikiria matundu ya vyoo ambavyo siyo salama. Kweli nchi hii ina watu wajinga kama wewe, yaani bado mpo nyuma kweli kweli. Sasa ni hiyo USAID imekata misaada na hayo matundu ya vyoo yataadimika.Wameshindwa wapi? Shule ipi ya huko kwenu Haina matundu ya vyoo?
Kweli kuna vitu havijazingatiwa:Nchi za Asia zimeweza kufanya mapinduzi kwa sababu wako serious mimi sijaona kama sisi tuko serious kama wao.
Ukitaka kujua hilo we tazama miradi yetu, mwendo kasi, sgr na hii ni miradi midogo.
Tazama mitaara yetu ya elimu. Unajua maendeleo sio miracles, ni planning.
Mfano china ilisomesha vijana wengi nje waliorudi kusukuma uchumi.
Kuna vitu kibao tunakabiliana navyo vidogo kwa kuvitazama lakini vinaturudisha nyuma. Umeme unakatika katika bila sababu za msingi wakati ni engine ya uchumi.
Kodi zisizo na miguu wala mikono yani serikali inataka inyonye watu wale wale tu. Naanzisha biashara leo natakiwa kulipa kodi wakati hata faida sijaipata bado.
Tuombe uzima ila bado mimi sijaona userious wa hili jambo.
Google na NBSTumbili hizi data anazipata wapi😳
Itakuwa hukoNBSTumbili hizi data anazipata wapi😳
Tutafikaje wakati Simbachawene ansema 60% ya watumishi wanalipwa lakini hawafanyi kaziNakumbuka 2000 wakati wa Mkapa walitoa projection ya maendeleo ya Tanzania kwa miaka 25 ijayo(2025), hopes were very high, promises were made, Tanzania would be the new Switzerland, ona sasa kiko wapi...hadi leo matundu ya vyoo ni mtihani mkubwa kwa watawala, matundu ya vyoo, can you imagine!!
Ingawa mchanganuo wake umekaa kinadharia sana lakini kauli yake inaleta moraliView attachment 3199594
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchi Tanzània PPPC Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania kuwa lazima wafahamu kesho ya Tanzània lao ni bora sana kama tu hali ya Umoja na mshikamamo itaendelea kuwa ilivyo leo.
David Kafulila anasema, Tanzania kwa kushirikiana na sekta binafsi ( PPP) ya ndani au nje ya Tanzania wataipeleka kwa Kasi Tanzania kwenye Uchumi wa viwango vya juu kama ilivyoainishwa kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo kwa miaka 25 ijayo ( 2025-2050 )
Mtakumbuka, David Kafulila amekuwa ni Mtendaji na mwanasiasa anayejikita zaidi kwenye kutetea hoja za Serikali yake kwa namba na "fact" zenye kueleweka na watu wa Kada zote kitu kinachomfanya awe ni Mtendaji wa Serikali anayefuatiliwa zaidi mitandaoni kwa sasa.
Mkurugenzi Mtendaji huyu anasema Tanzània mpaka kufikia mwaka 2050 inatarajia kujenga Uchumi wa $700bn ambao ni karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya leo ambayo Leo ni karibu $380bn.
Kafulila anasema si kazi rahisi kujenga Uchumi wa $700bn kutoka Uchumi wa sasa wa Tanzania wa $85bn kazi ambayo kamwe haiwezi ikatekelezwa kwa Kodi na Mikopo pekee hivyo sekta binafsi haepukiki kwenye safari hii ya ujenzi wa Uchumi mkubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 25.
Mkurugenzi Mtendaji huyu anaendelea kwa kusema jambo hili linawezekana bila mashaka yoyote kwani hata nchi ya Vietnam mwaka 1990 ilikuwa na Uchumi wa $6.4bn lakini leo Vietnam wana Uchumi wa zaidi ya $460bn karibu mara themanini (X 80) zaidi.
Kama hivyo ndivyo kwanini Tanzania tusiweze Vietnam wao Wana nini?
View attachment 3196797
====
Tumezitekeleza kwa kiasi kikubwaTumefika 2025, zile Vision 2025 za mwaka 2000 tumefikia wapi
Ukitaka kuelewa hii vizuri nenda kaipitie Ile Dira ya 2000Nakumbuka 2000 wakati wa Mkapa walitoa projection ya maendeleo ya Tanzania kwa miaka 25 ijayo(2025), hopes were very high, promises were made, Tanzania would be the new Switzerland, ona sasa kiko wapi...hadi leo matundu ya vyoo ni mtihani mkubwa kwa watawala, matundu ya vyoo, can you imagine!!
Nielewe kitu gani mkuu.Ukitaka kuelewa hii vizuri nenda kaipitie Ile Dira ya 2000