David Kafulila: Msitishike na kupanda au kushuka kwa shilling hata dola ya Marekani ni sarafu ya 10 lakini Marekani ndio kinara wa uchumi wa dunia

Huyu naye, export yetu ni ndogo sana huku import ikiwa ni kubwa sana kutokana na uhaba wa viwanda vidogo vidogo, hili ndo tatizo kubwa la nchi yetu na asitudanganye kuwa Uchumi wetu utafika USD 700 billion within 25 years, Uchumi unaelekea kuwa stagnant Sasa, aache kuwapamba viongozi na awaambie ukweli wa njia ya kurekebisha Uchumi, najua maisha ni magumu sana mtaani hivyo mara nyingi mtu ukipata nafasi huko juu lazima ujifanye kipofu ili kuwapamba watawala which is wrong
Viwanda hujengwa na wananchi, siyo serikali,unaona bakhresa na azam wanajenga viwanda,na wewe jenga tusi-import sana
 
View attachment 3320809

==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania waache kutishwa na watu wanaosema kupanda au kushuka Kwa shilling ya Tanzania kunaashiria Uchumi wa Tanzania kuwa legelege.

Bwana Kafulila amesema Uchumi wa nchi yoyote Ile duniani ni kapu kubwa lililojaa vitu vingi na halipimwi kwa Parameter/nyanja moja tu ya UIAMARA WA SARAFU kwani kama tukiangalia Uimara wa safaru hata hiyo dola ya Marekani haifanyi vizuri kwenye soko la fedha la Dunia kwani inashika nafasi ya kumi (10).

Kafulila anaendelea kwa kusema pamoja na kwamba dola ya Marekani inashika nafasi ya 10 lakini Marekani ndio anashikilia asilimia 25 ya Uchumi wote wa dunia Kwa lugha nyingine kama sarafu ni kigezo pekee basi dola ya Marekani ilipaswa kuwa ni namba moja (1) na sio namba kumi (10) kama ilivyo leo.

David Kafulila anasema uchumi wa Tanzania umekua karibu mara saba (7) kutoka US$13 bilioni mwaka 2000 mpaka US$85bilioni mwaka 2025 hapa lazima CCM ipongezwe tu.

Kafulila anaonesha uakisi wa Mpango wa maendeleo wa miaka 25 ijayo ulioandaliwa na awamu ya sita (6) ya Rais Samia yaani 2025-2050 ambapo Tanzania inatarajia kufikia uchumi wa US$700bn ambao nao ni karibu mara saba (7) ya Uchumi wa sasa.
Sasa kama $ sio kipimo cha kukua kwa uchumi,kwa nini projection ya kukua kwa uchumi wa TZ karibu mara saba and the BLAH BLAH kama hizo iwe kwenye $
 
Viwanda hujengwa na wananchi, siyo serikali,unaona bakhresa na azam wanajenga viwanda,na wewe jenga tusi-import sana
Wanakusanya Kodi ya kutosha, wanakopa vya kutosha ni jukumu lao kuanzisha viwanda vidogo vidogo na vya Saizi ya kati na kuwawezesha walioweza kuanzisha viwanda kama kina bakhresa na kuwapa support, na siyo kuspend Kodi kwenye vitu visivyo na tija
 
'ya kutosha' maana yake nini!?..unajua bajeti tegemezi kiasi gani?..kama tegemezi ni vipi makusanyo yanatosha!?
 
Kodi wanayokusanya na misaada wanayopata, wakiitumia ipasavyo Wana uwezo wa kutumia kufufua viwanda vidogo vidogo vilivyokuwepo, ni kiasi cha kupunguza matumizi yasiyo na tija na kuweka priorities kwenye ufufuaji wa viwanda vidogo vidogo taratibu tunaweza ku export vitu vitakavyosaidia ku boost currency yetu, kuliko kuridhika ku export raw material tu, na ku import vitu vingi hadi spoku za baiskeli
 
Kodi wanayokusanya na misaada wanayopata, wakiitumia ipasavyo Wana uwezo wa kutumia kufufua viwanda vidogo vidogo vilivyokuwepo, ni kiasi cha kupunguza matumizi yasiyo na taji na kuweka priorities kwenye ufufuaji wa viwanda vidogo vidogo taratibu tunaweza ku export vitu vitakavyosaidia ku boost currency yetu, kuliko kuridhika ku export raw material tu, na ku import vitu vingi hadi spoku za baiskeli
We unafikiri misaada hutolewa tu!!..Ili upate msaada ni sharti useme ni wa nini na wanaufuatilia na hawakupi wote kwa mkupuo..na zaidi hawakupi msaada wa kujikomboa kiuchumi bali capacity building (kozi,workshops) na kondomu,vilainishi,dawa za uzazi wa mpango,hawakupi msaada ujenge skimu za umwagiliaji,viwanda, Uganda na Rwanda walipopiga marufuku nguo za mitumba,wakatishiwa vikwazo,yote ni Ili viwanda vyenu vya nguo vife
 
Mwambieni kijana aache kuwayawaya, anaowafanyia uchawa hawana time naye wako busy kusosomola.

Unapoongelea USA ni lidude likubwa sana ambalo Kila kitu kipo under control na unapoongelea Tanzania jua unaongelea lidude pia likubwa ambalo Kila kitu hakiko under control.
 
Unayeteseka ni wewe,

Mimi nadhani Kafulila anafanya wajibu wake kama mwanachama wa CCM na kiongozi mwandamizi wa Serikali ya Samia
 
Na hiyo kodi kubwa ya TRA ilivyowekwaga kubwa ya 50% ya thamani ya gari huwa ni kwa kumnufaisha nani na inaulazima gani?

Sijawahi kusikia mbunge hata mmoja akichallenge Bungeni hizi kodi na tozo za kisengerenyuma zinavyoumiza waTz ziondoshwe ili watu waishi maisha ya furaha!
Hao Wabunge ndiyo hakuna kitu kabisa
 
View attachment 3320809

==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania waache kutishwa na watu wanaosema kupanda au kushuka Kwa shilling ya Tanzania kunaashiria Uchumi wa Tanzania kuwa legelege.

Bwana Kafulila amesema Uchumi wa nchi yoyote Ile duniani ni kapu kubwa lililojaa vitu vingi na halipimwi kwa Parameter/nyanja moja tu ya UIAMARA WA SARAFU kwani kama tukiangalia Uimara wa safaru hata hiyo dola ya Marekani haifanyi vizuri kwenye soko la fedha la Dunia kwani inashika nafasi ya kumi (10).

Kafulila anaendelea kwa kusema pamoja na kwamba dola ya Marekani inashika nafasi ya 10 lakini Marekani ndio anashikilia asilimia 25 ya Uchumi wote wa dunia Kwa lugha nyingine kama sarafu ni kigezo pekee basi dola ya Marekani ilipaswa kuwa ni namba moja (1) na sio namba kumi (10) kama ilivyo leo.

David Kafulila anasema uchumi wa Tanzania umekua karibu mara saba (7) kutoka US$13 bilioni mwaka 2000 mpaka US$85bilioni mwaka 2025 hapa lazima CCM ipongezwe tu.

Kafulila anaonesha uakisi wa Mpango wa maendeleo wa miaka 25 ijayo ulioandaliwa na awamu ya sita (6) ya Rais Samia yaani 2025-2050 ambapo Tanzania inatarajia kufikia uchumi wa US$700bn ambao nao ni karibu mara saba (7) ya Uchumi wa sasa.
Hivi huyu yeye ndo Waziri wa Fedha, Gavana wa Benki Kuu, Mwenyekiti wa kuuza mashirika ya Tanganyika, na ni Tumbili kwa wakati mmoja?
 
Mwambieni kijana aache kuwayawaya, anaowafanyia uchawa hawana time naye wako busy kusosomola.

Unapoongelea USA ni lidude likubwa sana ambalo Kila kitu kipo under control na unapoongelea Tanzania jua unaongelea lidude pia likubwa ambalo Kila kitu hakiko under control.
Mbona hata wewe unawaya waya?
 
View attachment 3320809

==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania waache kutishwa na watu wanaosema kupanda au kushuka Kwa shilling ya Tanzania kunaashiria Uchumi wa Tanzania kuwa legelege.

Bwana Kafulila amesema Uchumi wa nchi yoyote Ile duniani ni kapu kubwa lililojaa vitu vingi na halipimwi kwa Parameter/nyanja moja tu ya UIAMARA WA SARAFU kwani kama tukiangalia Uimara wa safaru hata hiyo dola ya Marekani haifanyi vizuri kwenye soko la fedha la Dunia kwani inashika nafasi ya kumi (10).

Kafulila anaendelea kwa kusema pamoja na kwamba dola ya Marekani inashika nafasi ya 10 lakini Marekani ndio anashikilia asilimia 25 ya Uchumi wote wa dunia Kwa lugha nyingine kama sarafu ni kigezo pekee basi dola ya Marekani ilipaswa kuwa ni namba moja (1) na sio namba kumi (10) kama ilivyo leo.

David Kafulila anasema uchumi wa Tanzania umekua karibu mara saba (7) kutoka US$13 bilioni mwaka 2000 mpaka US$85bilioni mwaka 2025 hapa lazima CCM ipongezwe tu.

Kafulila anaonesha uakisi wa Mpango wa maendeleo wa miaka 25 ijayo ulioandaliwa na awamu ya sita (6) ya Rais Samia yaani 2025-2050 ambapo Tanzania inatarajia kufikia uchumi wa US$700bn ambao nao ni karibu mara saba (7) ya Uchumi wa sasa.
Chawa katika mapambano yake
 
Huyu kenge anafikri USA ni, kama mkoa wa, songwe!
GDP, ya, USA, ni, asilimia 30 ya, GDP, ya, dunia,
Kampuni moja ya X, tweeter ina mapato makubwa kuliko mapato yetu yote kwa mwaka!
Nchi ya, ufaransa GDP, yake ni kubwa kuliko ya nchi zote 52 za Afrika!
Chukua mfano huu, wewe salary yako milioni 12 kwa mwezi, Mimi salary laki 4! Sukari ikipanda bei kutoka 3000 mpaka 5000,mwenye salary ya laki 4 atapata maumivu makali zaidi kuliko mwenye milioni 12 kama salary,
Hivyo hivyo hata kama na, dollar inashuka, lqkini ikishuka shilingi maumivu ni mabaya Sana kutokana na umaskini wetu, huyu kenge asituletee nadharia zisizo na uhalisia kwenye ground
 
Huyu naye, export yetu ni ndogo sana huku import ikiwa ni kubwa sana kutokana na uhaba wa viwanda vidogo vidogo, hili ndo tatizo kubwa la nchi yetu na asitudanganye kuwa Uchumi wetu utafika USD 700 billion within 25 years, Uchumi unaelekea kuwa stagnant Sasa, aache kuwapamba viongozi na awaambie ukweli wa njia ya kurekebisha Uchumi, najua maisha ni magumu sana mtaani hivyo mara nyingi mtu ukipata nafasi huko juu lazima ujifanye kipofu ili kuwapamba watawala which is wrong
Mjibu hoja zake kama ni nyepesi
 
Back
Top Bottom