David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

Endelea tu na unoko,uzushi na uongo wako hapoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ . CHADEMA mmechoka sana na kuvurugwa akili zenu. Mmejaa msongo wa mawazo muda woteπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.mkisikia jina la Kafulila mnabaki mnatetemeka utafikiri wagonjwa wa homa kali.
 
Kiswaswadu ana roho mbaya sana kamnyang'anya tumbili mke wake
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ Ila Yote maisha na malipo ni hapahapa duniani,

Kafulila haibi hana kitu hilo ni kweli kabisa Kwa 100%

Ni masikini tu mpaka kuachwa na Mbunge Jesca sababu ni Umasikini wake.

Ila Uzalendo na Uadilifu ndio ngao yake.

Lakini watu wanampenda kutokana na Uzalendo na zero corruption altitude

Ila ninaamini kuna siku utamlipa tu huu Uzalendo wake Kwa Taifa
 
Chadema watakuchosha Bure wao wamepoteza dira kabisa.
Wamejikatia kabisa tamaa baada ya kuona wanapuuzwa na watanzania.hawana hoja wala sera wala ajenda ya aina yoyote ile ya kuwashawishi watanzania. Ndio maana wanamuogopa sana Mheshimiwa David Kafulila maana anawasambaratisha na kuwavurumishia hoja nzito nzito ambazo hawana uwezo wa kuzijibu wala kuzipangua.
 
Ila Mama kawamaliza kabisa Chadema
 
Ila Mama kawamaliza kabisa Chadema
Kawamaliza kisayansi kabisa.ndio maana wakaanza kutukana tu matusi na kutumia lugha za kibaguzi na chuki.

Mama Anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.
 
Hizi ndio lugha nazopinga kwa ukali sana. Hivi kwanini watu aina yako kutoka kile chama kilichojichokea hamjawahi kuwa na akili ya kujenga hoja?
Wewe huo uchawa ndiyo unaita hoja? Ungekuwa unajua kujenga hoja tungekuona majukwaani siyo unajificha nyuma ya keyboard kusifia sifia watu ili utupiwe makombo. Tukim Cha kushangaza chama mfu kila siku mnashindana kuanzisha nyuzi kuhusu Chadema. Mbona msiandike kuhusu TLP,CUF,NCCR ACT?
 
CHADEMA kwa sasa inaelekea njia waliyopita wenzake waliokuja kwa kasi na kupotea kama mvuke.
 
we jamaa hebu tulia kwa bashite.
hakutoahi tuuu?
 
Sina Cha kuongeza ila Kafulila katika Siasa zake kapitia mapito magumu sana.

Tangu enzi za BAVICHA
Tangu enzi za Escrow
Tangu enzi za Mbatia

Niwakumbushe kidogo,
Katika Uchaguzi wa BAVICHA Ulikuwa na ushindani mkubwa kuwahi kushuhudiwa kati ya Heche na Kafulila,
Kafulila akashinda Uchaguzi ile kwa tofauti kubwa sana ya kura Mbowe akamwambia Dk Slaa afute Uchaguzi ule.😭

Kafulila akakasirika akajiunga na NCCR ya Mbati na baadae kuwa Mbunge wa Kigoma Kask.

Baadae ndio akaibuka na kashfa ya Escrow then Wazee wa Escrow wakamfuta Kafulila na zaidi ya 2bl alipogoma wakacheza na Mbatia ili amfukuze Uanachama Mbatia akamfukuza Kafulila Uanachama 😭

Tanzania Kama kunamwanasiasa kapambana sana basi ni David Kafulila.

Tatizo lake kubwa ni Uzalendo na Uadilifu na Kuichukia rushwa kwa Maneno na Matendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…