Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
Tumbili 🙊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mpaka mda huu nakuona umejikunyata hata Hera ya chai Huna una kunywa kahawa kwenye Ile chenji iliobakia Kwenye daladala fanya kazi ona umegundua namba kwenye mabandiko Yako hailipi shituka ndugu CCM wanakutumia Kwa masilah Yao Wala hawawezi kukujali.Mimi sishindi Lumumba Mimi.
Endelea tu na unoko,uzushi na uongo wako hapo😃😃😃 . CHADEMA mmechoka sana na kuvurugwa akili zenu. Mmejaa msongo wa mawazo muda wote😃😃😃.mkisikia jina la Kafulila mnabaki mnatetemeka utafikiri wagonjwa wa homa kali.Mbona mpaka mda huu nakuona umejikunyata hata Hera ya chai Huna una kunywa kahawa kwenye Ile chenji iliobakia Kwenye daladala fanya kazi ona umegundua namba kwenye mabandiko Yako hailipi shituka ndugu CCM wanakutumia Kwa masilah Yao Wala hawawezi kukujali.
Msaliti Mbowe pekee kwenye hili TaifaMsaliti ni msaliti hata awe malaika hafai.
Anafika bei!
Sawa, amesaliti kipi, wapi, lini, kwa maslahi ya nani?Msaliti Mbowe pekee kwenye hili Taifa
😃😃 Ila Yote maisha na malipo ni hapahapa duniani,Kiswaswadu ana roho mbaya sana kamnyang'anya tumbili mke wake
Hizi ndio lugha nazopinga kwa ukali sana. Hivi kwanini watu aina yako kutoka kile chama kilichojichokea hamjawahi kuwa na akili ya kujenga hoja?Tumbili 🙊
Hizi ndio lugha nazopinga kwa ukali sana. Hivi kwanini watu aina yako kutoka kile chama kilichojichokea hamjawahi kuwa na akili ya kujenga hoja?Tumbili 🙊
Chadema watakuchosha Bure wao wamepoteza dira kabisa.Hizi ndio lugha nazopinga kwa ukali sana. Hivi kwanini watu aina yako kutoka kile chama kilichojichokea hamjawahi kuwa na akili ya kujenga hoja?
Wamejikatia kabisa tamaa baada ya kuona wanapuuzwa na watanzania.hawana hoja wala sera wala ajenda ya aina yoyote ile ya kuwashawishi watanzania. Ndio maana wanamuogopa sana Mheshimiwa David Kafulila maana anawasambaratisha na kuwavurumishia hoja nzito nzito ambazo hawana uwezo wa kuzijibu wala kuzipangua.Chadema watakuchosha Bure wao wamepoteza dira kabisa.
Ila Mama kawamaliza kabisa ChademaWamejikatia kabisa tamaa baada ya kuona wanapuuzwa na watanzania.hawana hoja wala sera wala ajenda ya aina yoyote ile ya kuwashawishi watanzania. Ndio maana wanamuogopa sana Mheshimiwa David Kafulila maana anawasambaratisha na kuwavurumishia hoja nzito nzito ambazo hawana uwezo wa kuzijibu wala kuzipangua.
Kawamaliza kisayansi kabisa.ndio maana wakaanza kutukana tu matusi na kutumia lugha za kibaguzi na chuki.Ila Mama kawamaliza kabisa Chadema
Na wengi wao Abdul ameshawamaliza.Kawamaliza kisayansi kabisa.ndio maana wakaanza kutukana tu matusi na kutumia lugha za kibaguzi na chuki.
Mama Anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.
Wewe huo uchawa ndiyo unaita hoja? Ungekuwa unajua kujenga hoja tungekuona majukwaani siyo unajificha nyuma ya keyboard kusifia sifia watu ili utupiwe makombo. TukimHizi ndio lugha nazopinga kwa ukali sana. Hivi kwanini watu aina yako kutoka kile chama kilichojichokea hamjawahi kuwa na akili ya kujenga hoja?
Cha kushangaza chama mfu kila siku mnashindana kuanzisha nyuzi kuhusu Chadema. Mbona msiandike kuhusu TLP,CUF,NCCR ACT?Wamejikatia kabisa tamaa baada ya kuona wanapuuzwa na watanzania.hawana hoja wala sera wala ajenda ya aina yoyote ile ya kuwashawishi watanzania. Ndio maana wanamuogopa sana Mheshimiwa David Kafulila maana anawasambaratisha na kuwavurumishia hoja nzito nzito ambazo hawana uwezo wa kuzijibu wala kuzipangua.
CHADEMA kwa sasa inaelekea njia waliyopita wenzake waliokuja kwa kasi na kupotea kama mvuke.Wewe huo uchawa ndiyo unaita hoja? Ungekuwa unajua kujenga hoja tungekuona majukwaani siyo unajificha nyuma ya keyboard kusifia sifia watu ili utupiwe makombo. Tukim
Cha kushangaza chama mfu kila siku mnashindana kuanzisha nyuzi kuhusu Chadema. Mbona msiandike kuhusu TLP,CUF,NCCR ACT?
we jamaa hebu tulia kwa bashite.Ndugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi,uwekezaji,biashara na mengine mengi. kila mtu pasipo kujali itikadi yake ya Kiasia au chama chake anakili kuwa Mheshimiwa David Kafulila Ni Hazina kubwa kwa Taifa letu na anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana kwa Taifa letu.
Nimeona namna anavyoitetea na kuisemea vyema serikali yetu chini ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa ufasaha ,hoja ,takwimu na ushahidi wa kiutafiti na wa ukweli. Anaeleza kwa lugha nyepesi ambayo watu wanamuelewa vyema sana huku mitaani na kuielewa vyema sana serikali yetu kupitia ufafanuzi wake anao utoa.
Anaeleza kwa utulivu,upole na unyenyekevu mkubwa sana. Angalia namna alivyoelezea juu ya Deni la Taifa,ongezeko la watalii hapa nchini ,suala la ajira na ukuaji wa uchumi wetu. Akaeleza kuwa pamoja na kwamba watu wanasema Deni limekuwa lakini uchumi wetu umekuwa zaidi ndani ya Muda mfupi wa Rais Samia kutoka Dolla Billioni 66 mpaka Dolla Billion 85. Akaeleza pia kuwa kukopa siyo dhambi bali inategemea unakopa kwa ajili ya nini.akasema kama unakopa kwa ajili ya kulipa mishahara hapo ndio inakuwa tatizo.
Mheshimiwa Kafulila amekuwa mtetezi mkubwa sana wa Rais Samia na serikali yake kupitia vyombo vya habari na mitandao. Anaifanya kazi hiyo kwa weledi na uzalendo mkubwa sana.anawafumbua macho watu wengi sana ambao wengi walikuwa wamepofushwa akili na macho na upotoshaji wa baadhi ya watu wenye nia mbaya na chuki binafsi na Mheshimiwa Rais na Serikali yake.
Mheshimiwa David Kafulila amefanikiwa kwa hoja nzito na kwa lugha rahisi na kwa takwimu kuzizima na kuzisambaratisha kabisa kama mvuke hoja za upinzani walizokuwa wanazitumia kupotosha wananchi hususan wale wasio na uelewa wa baadhi ya mambo hususani ya kiuchumi.
Mheshimiwa David Kafulila mbali na usomi wake mkubwa lakini unamuona ni mtu mnyenyekevu na mzalendo wa kweli kwa Taifa letu. Ni mtu na kiongozi aliye nyooka kama rula. Hanaga kupinda pinda. Ni mtu ambaye kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi. Hata umshambulie kwa lugha kali utaona yeye amebakia katika utulivu na kujibu kwa hoja. Katika hili mnaweza kurejea mapambano ya hoja bungeni wakati wa sakata la Escrow namna alivyokuwa mtulivu katika kutoa hoja na kutetea hoja zake.
Mheshimiwa David Kafulila Ni chuma na kiongoz anayekubalika kwa hoja zake na watu wa vyama vyote iwe upinzani na ndani ya chama chetu cha CCM.kwa sababu yeye wakati wote husimama katika hoja na kuitetea hoja kwa takwimu.
Mheshimiwa Rais Aendelea kumtumia Mheshimiwa Kafulila kwa sababu ana mapenzi mema na Taifa letu na ni mzalendo na amekuwa mtetezi wake kwa yote ayafanyayo. wakati unakuta wengine wamejikausha tu pale serikali inaposhambuliwa kwa hoja za upotoshaji. Mheshimiwa Kafulila amekataa kabisa kivitendo kukaa kimya pale anapoona kuna watu wanapotosha mambo kwa lengo la kuichongaisha serikali na wananchi au kuifanya serikali ichukiwe na wananchi.amekuwa akitoka hadharani na kujibu mapigo kwa hoja na takwimu na kusambaratisha kabisa mijadala ya kiuopotoshaji.
Mheshimiwa David Kafulila Ni Hazina kwa Taifa letu tunayepaswa kumtumia kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Ni mtu safi, mzalendo na mchapa kazi kwelikweli. Ndio maana huwezi ukamkuta na doa la rushwa au ufisadi au matumizi mabaya ya madaraka katika maeneo mbalimbali aliyoitumikia Taifa letu. Zaidi utakuta alama njema za kiutendaji alizoziacha katika maeneo aliyopita na kukumbukwa kwa uchapakazi wake ulioleta matokeo chanya.
Watanzania tunapaswa kuwatia moyo na kuwaunga mkono wazalendo aina ya Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na David Kafulila. Tukikaa kimya tukaacha wakashambuliwa na wenye maslahi yao binafsi tutakuwa tunawakatisha tamaa na kuwapa ushindi mafisadi na wenye kulinyonya Taifa letu kwa mirija.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe kwenye siasa hizi umezijulia kipindi hiki cha awamu ya sita,hujui historia ya vyama vingi,wewe umejikita kusifia sifia ili upate mkate wako wa siku.CHADEMA kwa sasa inaelekea njia waliyopita wenzake waliokuja kwa kasi na kupotea kama mvuke.
Sina Cha kuongeza ila Kafulila katika Siasa zake kapitia mapito magumu sana.Kafulila ni zaidi ya hazina,
Ukimwangalia Kafulila unamwona Mkapa na Jakaya ndani yake,
Ukimwangalia vizuri unamwona Mama Samia ndani yake,
Hakika kijana huyu atazamwe na Kila mpenda ustawi wa nchi yetu kama Msaada kwa Taifa.
Kama kwenye nafasi ndogo kama hii anafanyi hivi what if akipewa nafasi za kimamlaka?
Tuendelee kumwombea ndg yetu Kafulila hasa kuelekea Uchaguzi huu wa 2025 kama atakuwa na nia ya Ubunge basi Mungu ampe Hilo hitaji lake.
Viva Samia Viva Kafulila Viva.
===
Kajifunze kwanza kuandika ndio uje hapa jukwaani ukiwa na adabu na hekima.we jamaa hebu tulia kwa bashite.
hakutoahi tuuu?