TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Ingekua haitaki asingekuwepo paleShida system haitaki akili za Kafulila, inahitaji akili za Babu Tale. No Offence.
Umeongea pumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekua haitaki asingekuwepo paleShida system haitaki akili za Kafulila, inahitaji akili za Babu Tale. No Offence.
Naamini wahusika wanaona kipawa na karamu ya uongozi aliyonayo Mhessimiwa KafulilaIngekua haitaki asingekuwepo pale
Umeongea pumba
Wasiwasi wangu ni nia yako tuNaamini wahusika wanaona kipawa na karamu ya uongozi aliyonayo Mhessimiwa Kafulila
Ningependa kuona watanzania tunakuwa na utamaduni wa kuwaunga mkono WAZALENDO na wachapakazi.tusione haya wala aibu wala kuogopa kujitokeza hadharani kuwasemea.tukikaa kimya tunawapa ushindi na nguvu wale wachafu na mafisadi kuteka nyara kila kitu na kuwaumiza au kuwatengenezea ajali wazalendo wetu au kuwa wapangaji wa mambo muhimu.Sauti zetu ndio nguvu zetu ,umoja wetu ndio ushindi wetu.Wasiwasi wangu ni nia yako tu
Maana umeanzisha threads kadhaa juu yake
Na kwa kuzingatia nyie mnaoishi Kwenye siasa mlivyo, naona Kama unamuumiza kuliko kumjenga
Unless umeamua aache utumishi wa umma arudi Kwenye siasa
Kafulila wa NCCR MAGEUZI AU YUPI UNAMZUNGUMZIA?Ndugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi,uwekezaji,biashara na mengine mengi. kila mtu pasipo kujali itikadi yake ya Kiasia au chama chake anakili kuwa Mheshimiwa David Kafulila Ni Hazina kubwa kwa Taifa letu na anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana kwa Taifa letu.
Nimeona namna anavyoitetea na kuisemea vyema serikali yetu chini ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa ufasaha ,hoja ,takwimu na ushahidi wa kiutafiti na wa ukweli. Anaeleza kwa lugha nyepesi ambayo watu wanamuelewa vyema sana huku mitaani na kuielewa vyema sana serikali yetu kupitia ufafanuzi wake anao utoa.
Anaeleza kwa utulivu,upole na unyenyekevu mkubwa sana. Angalia namna alivyoelezea juu ya Deni la Taifa,ongezeko la watalii hapa nchini ,suala la ajira na ukuaji wa uchumi wetu. Akaeleza kuwa pamoja na kwamba watu wanasema Deni limekuwa lakini uchumi wetu umekuwa zaidi ndani ya Muda mfupi wa Rais Samia kutoka Dolla Billioni 66 mpaka Dolla Billion 85. Akaeleza pia kuwa kukopa siyo dhambi bali inategemea unakopa kwa ajili ya nini.akasema kama unakopa kwa ajili ya kulipa mishahara hapo ndio inakuwa tatizo.
Mheshimiwa Kafulila amekuwa mtetezi mkubwa sana wa Rais Samia na serikali yake kupitia vyombo vya habari na mitandao. Anaifanya kazi hiyo kwa weledi na uzalendo mkubwa sana.anawafumbua macho watu wengi sana ambao wengi walikuwa wamepofushwa akili na macho na upotoshaji wa baadhi ya watu wenye nia mbaya na chuki binafsi na Mheshimiwa Rais na Serikali yake.
Mheshimiwa David Kafulila amefanikiwa kwa hoja nzito na kwa lugha rahisi na kwa takwimu kuzizima na kuzisambaratisha kabisa kama mvuke hoja za upinzani walizokuwa wanazitumia kupotosha wananchi hususan wale wasio na uelewa wa baadhi ya mambo hususani ya kiuchumi.
Mheshimiwa David Kafulila mbali na usomi wake mkubwa lakini unamuona ni mtu mnyenyekevu na mzalendo wa kweli kwa Taifa letu. Ni mtu na kiongozi aliye nyooka kama rula. Hanaga kupinda pinda. Ni mtu ambaye kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi. Hata umshambulie kwa lugha kali utaona yeye amebakia katika utulivu na kujibu kwa hoja. Katika hili mnaweza kurejea mapambano ya hoja bungeni wakati wa sakata la Escrow namna alivyokuwa mtulivu katika kutoa hoja na kutetea hoja zake.
Mheshimiwa David Kafulila Ni chuma na kiongoz anayekubalika kwa hoja zake na watu wa vyama vyote iwe upinzani na ndani ya chama chetu cha CCM.kwa sababu yeye wakati wote husimama katika hoja na kuitetea hoja kwa takwimu.
Mheshimiwa Rais Aendelea kumtumia Mheshimiwa Kafulila kwa sababu ana mapenzi mema na Taifa letu na ni mzalendo na amekuwa mtetezi wake kwa yote ayafanyayo. wakati unakuta wengine wamejikausha tu pale serikali inaposhambuliwa kwa hoja za upotoshaji. Mheshimiwa Kafulila amekataa kabisa kivitendo kukaa kimya pale anapoona kuna watu wanapotosha mambo kwa lengo la kuichongaisha serikali na wananchi au kuifanya serikali ichukiwe na wananchi.amekuwa akitoka hadharani na kujibu mapigo kwa hoja na takwimu na kusambaratisha kabisa mijadala ya kiuopotoshaji.
Mheshimiwa David Kafulila Ni Hazina kwa Taifa letu tunayepaswa kumtumia kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Ni mtu safi, mzalendo na mchapa kazi kwelikweli. Ndio maana huwezi ukamkuta na doa la rushwa au ufisadi au matumizi mabaya ya madaraka katika maeneo mbalimbali aliyoitumikia Taifa letu. Zaidi utakuta alama njema za kiutendaji alizoziacha katika maeneo aliyopita na kukumbukwa kwa uchapakazi wake ulioleta matokeo chanya.
Watanzania tunapaswa kuwatia moyo na kuwaunga mkono wazalendo aina ya Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na David Kafulila. Tukikaa kimya tukaacha wakashambuliwa na wenye maslahi yao binafsi tutakuwa tunawakatisha tamaa na kuwapa ushindi mafisadi na wenye kulinyonya Taifa letu kwa mirija.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nazungumzia chuma David Kafulila wa CCMKafulila wa NCCR MAGEUZI AU YUPI UNAMZUNGUMZIA?
Huyo tumbili sisi hatumtaki tunamtaka yule wa escrow ni bonge Moja la kafulila ukimuona hawezi tu kwanza kukaa na wapumbavu wa CCM kama nyie washindia kahawa hapo LumumbaNazungumzia chuma David Kafulila wa CCM
Achaatusi yako hapa. Hata hivyo ningependa kukwabia kuwa David Kafulila Ni yule wa Bungeni ,RAS Songwe,RC Simiyu na Mkurugenzi PPP. Kwa ushauri embu soma andiko lake lipo humu jukwaani likimjibu Kubenea.Huyo tumbili sisi hatumtaki tunamtaka yule wa escrow ni bonge Moja la kafulila ukimuona hawezi tu kwanza kukaa na wapumbavu wa CCM kama nyie washindia kahawa hapo Lumumba
Ng'ombe wa Bibi HeriNimeona namna anavyoitetea na kuisemea vyema serikali yetu chini ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa ufasaha
Wa CCMKafulila wa NCCR MAGEUZI AU YUPI UNAMZUNGUMZIA?
Poa.Haina hatari.Sasa kama Mawaziri na Viongozi wa dini kibao walitajwa wametafuna kwanini aliyewataja tusiamini kagoma kutafuna, Ushahidi wa Mazingira tu
Matusi Yako wapi ACHA kushindia kahawa hapo Lumumba FCAchaatusi yako hapa. Hata hivyo ningependa kukwabia kuwa David Kafulila Ni yule wa Bungeni ,RAS Songwe,RC Simiyu na Mkurugenzi PPP. Kwa ushauri embu soma andiko lake lipo humu jukwaani likimjibu Kubenea.
Mimi sishindi Lumumba Mimi.Matusi Yako wapi ACHA kushindia kahawa hapo Lumumba FC
Nikikumbuka ESCROW nikamtazama Kafulila nakubali kweli Mungu yupo.Ndugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi,uwekezaji,biashara na mengine mengi. kila mtu pasipo kujali itikadi yake ya Kiasia au chama chake anakili kuwa Mheshimiwa David Kafulila Ni Hazina kubwa kwa Taifa letu na anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana kwa Taifa letu.
Nimeona namna anavyoitetea na kuisemea vyema serikali yetu chini ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa ufasaha ,hoja ,takwimu na ushahidi wa kiutafiti na wa ukweli. Anaeleza kwa lugha nyepesi ambayo watu wanamuelewa vyema sana huku mitaani na kuielewa vyema sana serikali yetu kupitia ufafanuzi wake anao utoa.
Anaeleza kwa utulivu,upole na unyenyekevu mkubwa sana. Angalia namna alivyoelezea juu ya Deni la Taifa,ongezeko la watalii hapa nchini ,suala la ajira na ukuaji wa uchumi wetu. Akaeleza kuwa pamoja na kwamba watu wanasema Deni limekuwa lakini uchumi wetu umekuwa zaidi ndani ya Muda mfupi wa Rais Samia kutoka Dolla Billioni 66 mpaka Dolla Billion 85. Akaeleza pia kuwa kukopa siyo dhambi bali inategemea unakopa kwa ajili ya nini.akasema kama unakopa kwa ajili ya kulipa mishahara hapo ndio inakuwa tatizo.
Mheshimiwa Kafulila amekuwa mtetezi mkubwa sana wa Rais Samia na serikali yake kupitia vyombo vya habari na mitandao. Anaifanya kazi hiyo kwa weledi na uzalendo mkubwa sana.anawafumbua macho watu wengi sana ambao wengi walikuwa wamepofushwa akili na macho na upotoshaji wa baadhi ya watu wenye nia mbaya na chuki binafsi na Mheshimiwa Rais na Serikali yake.
Mheshimiwa David Kafulila amefanikiwa kwa hoja nzito na kwa lugha rahisi na kwa takwimu kuzizima na kuzisambaratisha kabisa kama mvuke hoja za upinzani walizokuwa wanazitumia kupotosha wananchi hususan wale wasio na uelewa wa baadhi ya mambo hususani ya kiuchumi.
Mheshimiwa David Kafulila mbali na usomi wake mkubwa lakini unamuona ni mtu mnyenyekevu na mzalendo wa kweli kwa Taifa letu. Ni mtu na kiongozi aliye nyooka kama rula. Hanaga kupinda pinda. Ni mtu ambaye kwake nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi. Hata umshambulie kwa lugha kali utaona yeye amebakia katika utulivu na kujibu kwa hoja. Katika hili mnaweza kurejea mapambano ya hoja bungeni wakati wa sakata la Escrow namna alivyokuwa mtulivu katika kutoa hoja na kutetea hoja zake.
Mheshimiwa David Kafulila Ni chuma na kiongoz anayekubalika kwa hoja zake na watu wa vyama vyote iwe upinzani na ndani ya chama chetu cha CCM.kwa sababu yeye wakati wote husimama katika hoja na kuitetea hoja kwa takwimu.
Mheshimiwa Rais Aendelea kumtumia Mheshimiwa Kafulila kwa sababu ana mapenzi mema na Taifa letu na ni mzalendo na amekuwa mtetezi wake kwa yote ayafanyayo. wakati unakuta wengine wamejikausha tu pale serikali inaposhambuliwa kwa hoja za upotoshaji. Mheshimiwa Kafulila amekataa kabisa kivitendo kukaa kimya pale anapoona kuna watu wanapotosha mambo kwa lengo la kuichongaisha serikali na wananchi au kuifanya serikali ichukiwe na wananchi.amekuwa akitoka hadharani na kujibu mapigo kwa hoja na takwimu na kusambaratisha kabisa mijadala ya kiuopotoshaji.
Mheshimiwa David Kafulila Ni Hazina kwa Taifa letu tunayepaswa kumtumia kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Ni mtu safi, mzalendo na mchapa kazi kwelikweli. Ndio maana huwezi ukamkuta na doa la rushwa au ufisadi au matumizi mabaya ya madaraka katika maeneo mbalimbali aliyoitumikia Taifa letu. Zaidi utakuta alama njema za kiutendaji alizoziacha katika maeneo aliyopita na kukumbukwa kwa uchapakazi wake ulioleta matokeo chanya.
Watanzania tunapaswa kuwatia moyo na kuwaunga mkono wazalendo aina ya Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na David Kafulila. Tukikaa kimya tukaacha wakashambuliwa na wenye maslahi yao binafsi tutakuwa tunawakatisha tamaa na kuwapa ushindi mafisadi na wenye kulinyonya Taifa letu kwa mirija.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Naunga mkono hoja.Nikikumbuka ESCROW nikamtazama Kafulila nakubali kweli Mungu yupo.
Kikwete alijenga sana demokrasia lazima tumpongeze.
Jamaa atakuwa na Mungu sana vinginevyo wangemsaanane. Shina Shaka na Kafulila kama alisimama vile akiwa bado mdogo naamini Leo atakuwa ameimarika zaidi kiakili arudi Bungeni ataisaidia CCM kusukuma agenda zake dhidi ya Upinzani.Naunga mkono hoja.
Atasaidia sana katika masuala mbalimbali.na jamaa anauelewa wa masuala mengi sana.na hilo unaweza kuona namna ambavyo huwa anajenga hoja na kuzungumzia Masuala mbalimbali kwa ufasaha kwenye vyombo vya habari.Jamaa atakuwa na Mungu sana vinginevyo wangemsaanane. Shina Shaka na Kafulila kama alisimama vile akiwa bado mdogo naamini Leo atakuwa ameimarika zaidi kiakili arudi Bungeni ataisaidia CCM kusukuma agenda zake dhidi ya Upinzani.
Kupata Watu ambao ni Zero Corruption kwa Dunia ya Leo si rahisi kabisa.Atasaidia sana katika masuala mbalimbali.na jamaa anauelewa wa masuala mengi sana.na hilo unaweza kuona namna ambavyo huwa anajenga hoja na kuzungumzia Masuala mbalimbali kwa ufasaha kwenye vyombo vya habari.
Kabisa. Ndio maana unapopata watu wazalendo na wenye kuichukia na kupinga rushwa na matendo ya kifisadi kama mheshimiwa Kafulila inapaswa kuwaunga mkono sana.maana wanakumbana na mambo makubwa na ya hatari sana katika kusimamia ukweli bila kupinda pinda.Kupata Wala ambao ni Zero Corruption kwa Dunia ya Leo si rahisi kabisa.