David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

Naamini wahusika wanaona kipawa na karamu ya uongozi aliyonayo Mhessimiwa Kafulila
Wasiwasi wangu ni nia yako tu

Maana umeanzisha threads kadhaa juu yake

Na kwa kuzingatia nyie mnaoishi Kwenye siasa mlivyo, naona Kama unamuumiza kuliko kumjenga

Unless umeamua aache utumishi wa umma arudi Kwenye siasa
 
Ningependa kuona watanzania tunakuwa na utamaduni wa kuwaunga mkono WAZALENDO na wachapakazi.tusione haya wala aibu wala kuogopa kujitokeza hadharani kuwasemea.tukikaa kimya tunawapa ushindi na nguvu wale wachafu na mafisadi kuteka nyara kila kitu na kuwaumiza au kuwatengenezea ajali wazalendo wetu au kuwa wapangaji wa mambo muhimu.Sauti zetu ndio nguvu zetu ,umoja wetu ndio ushindi wetu.
 
Kafulila wa NCCR MAGEUZI AU YUPI UNAMZUNGUMZIA?
 
Huyo tumbili sisi hatumtaki tunamtaka yule wa escrow ni bonge Moja la kafulila ukimuona hawezi tu kwanza kukaa na wapumbavu wa CCM kama nyie washindia kahawa hapo Lumumba
Achaatusi yako hapa. Hata hivyo ningependa kukwabia kuwa David Kafulila Ni yule wa Bungeni ,RAS Songwe,RC Simiyu na Mkurugenzi PPP. Kwa ushauri embu soma andiko lake lipo humu jukwaani likimjibu Kubenea.
 
Tatizo ujuaji uyo Mha , hakuna kitu anajua sepa tu anajiona tayari km kafulila ila wapo watu wenye weledi kuliko yeye sema hapat platform tu
 
Achaatusi yako hapa. Hata hivyo ningependa kukwabia kuwa David Kafulila Ni yule wa Bungeni ,RAS Songwe,RC Simiyu na Mkurugenzi PPP. Kwa ushauri embu soma andiko lake lipo humu jukwaani likimjibu Kubenea.
Matusi Yako wapi ACHA kushindia kahawa hapo Lumumba FC
 
Nikikumbuka ESCROW nikamtazama Kafulila nakubali kweli Mungu yupo.
Kikwete alijenga sana demokrasia lazima tumpongeze.
 
Naunga mkono hoja.
Jamaa atakuwa na Mungu sana vinginevyo wangemsaanane. Shina Shaka na Kafulila kama alisimama vile akiwa bado mdogo naamini Leo atakuwa ameimarika zaidi kiakili arudi Bungeni ataisaidia CCM kusukuma agenda zake dhidi ya Upinzani.
 
Atasaidia sana katika masuala mbalimbali.na jamaa anauelewa wa masuala mengi sana.na hilo unaweza kuona namna ambavyo huwa anajenga hoja na kuzungumzia Masuala mbalimbali kwa ufasaha kwenye vyombo vya habari.
 
Kupata Watu ambao ni Zero Corruption kwa Dunia ya Leo si rahisi kabisa.
 
Kupata Wala ambao ni Zero Corruption kwa Dunia ya Leo si rahisi kabisa.
Kabisa. Ndio maana unapopata watu wazalendo na wenye kuichukia na kupinga rushwa na matendo ya kifisadi kama mheshimiwa Kafulila inapaswa kuwaunga mkono sana.maana wanakumbana na mambo makubwa na ya hatari sana katika kusimamia ukweli bila kupinda pinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…