Ujiji777
Senior Member
- May 29, 2024
- 169
- 58
Kwanini usilale sasaWewe unaelewa ninachoandika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini usilale sasaWewe unaelewa ninachoandika?
Yani wewe ndiye unipangie saa ya kulala?Kwanini usilale sasa
😂😂Stress itakuu ndg yanguYani wewe ndiye unipangie saa ya kulala?
Hakuna cha stress wala jamaa yake msongo wa mawazo; ninajitosheleza.😂😂Stress itakuu ndg yangu
Kwani lazima apate teuzi kuonyesha uchapa kazi wake? aanzishe kampuni binafsi akalime au kununua pamba, he can organize wakulima na masoko and he will be very rich na wengine wengi tuu, mmemsifia alipandisha bei ya pambaHajawahi kupoa wala kutulia.ni mwendo wa kusaga tu uchafu na uozo wote wa wazembe na wabadhirifu. Yeye hanaga habari za kupinda pinda.
Acha kupaniki ndugu yanguKwani lazima apate teuzi kuonyesha uchapa kazi wake? aanzishe kampuni binafsi akalime au kununua pamba, he can organize wakulima na masoko and he will be very rich na wengine wengi tuu, mmemsifia alipandisha bei ya pamba
Mkuu wapi hiyo mida hiiHakuna cha stress wala jamaa yake msongo wa mawazo; ninajitosheleza.
Wewe unayetaka kuamrisha watu waende kulala ndiye tukutilie mashaka!
Nkotokwiana, Newala Vijijini.Mkuu wapi hiyo mida hii
Povu la nini?Kwani lazima apate teuzi kuonyesha uchapa kazi wake? aanzishe kampuni binafsi akalime au kununua pamba, he can organize wakulima na masoko and he will be very rich na wengine wengi tuu, mmemsifia alipandisha bei ya pamba
😂😂😂Nkotokwiana, Newala Vijijini.
Wengine wanasumbuliwa na wivu tu.Povu la nini?
Mtu kusifiwa kwa kazi nzuri Wewe unaumia wapi?
Punguza stree masaa haya.
Nyie bado mmelala?
😂😂😭ila we jamaa daaahNyie bado mmelala?
Sisi huku vijijini tunaamka mapema kwenda kulinda nguruwe mwitu na ngedere wasishambulie mashamba yetu.
Punguza uchawa, jamaa yenu anasubiri teuzi ili afanye kazi? opportunities everywhere acheni ushamba wa kusubiri teuziPovu la nini?
Mtu kusifiwa kwa kazi nzuri Wewe unaumia wapi?
Punguza stree masaa haya.
Hakuna anayesubiri teuziPunguza uchawa, jamaa yenu anasubiri teuzi ili afanye kazi? opportunities everywhere acheni ushamba wa kusubiri teuzi
Acha ujinga na umbumbumbu wako hapa wewe. Kwamba wewe hata kusoma kunakushinda? Kwamba kwa akili yako unaona majina hayo yanafanana? Hivi CHADEMA akili zenu nani anawabebea?Mkuu kuuliza si ujinga, wewe ndio Mwananchi Huru ?
Kweli wewe huna uelewa wa chochote kile. Kwa hiyo unafikiri RC ni pambo na picha tu mkoani kwa kuangalia tu uozo wote unaofanyika pasipo kuchukuliwa hatua wala kutoa maamuzi?Kafulila ni mtu safi sawa, lkn ulichokiandika ni utopolo, mkuu wa mkoa hana hiyo mandate ya kumwamuru mkandarasi arudie barabara, andiko la kitoto hili umeleta humu, mods wafute hii takataka
Aliyemleta ni Mgaufuri,,ndo alikula risks ya kumpa ukatibu tawala wa mkoa wa SongweNampongeza Rais Samia kumleta Kafulila kazini👏🏿👏🏿
Lakini kwanini MRC wengine amabao ni makada wa CCM wanakunali uonzo na hamuwakemei hadharani?Kweli wewe huna uelewa wa chochote kile. Kwa hiyo unafikiri RC ni pambo na picha tu mkoani kwa kuangalia tu uozo wote unaofanyika pasipo kuchukuliwa hatua wala kutoa maamuzi?
Kumbuka kafulila ndo alikuja na issue ya Escrow hadi CCM wakamuita TumbiliKafulila Mimi namkubali sana, Hana swaga kama za Makonda ni mkimya na anachapa kazi kimya kimya