David Kafulila ni Mkuu wa Mkoa Pekee Nchini ambaye amewahi kumpa Amri Mkandarasi kurudia Barabara kwa gharama zake

Hajawahi kupoa wala kutulia.ni mwendo wa kusaga tu uchafu na uozo wote wa wazembe na wabadhirifu. Yeye hanaga habari za kupinda pinda.
Kwani lazima apate teuzi kuonyesha uchapa kazi wake? aanzishe kampuni binafsi akalime au kununua pamba, he can organize wakulima na masoko and he will be very rich na wengine wengi tuu, mmemsifia alipandisha bei ya pamba
 
Acha kupaniki ndugu yangu
 
Kwani lazima apate teuzi kuonyesha uchapa kazi wake? aanzishe kampuni binafsi akalime au kununua pamba, he can organize wakulima na masoko and he will be very rich na wengine wengi tuu, mmemsifia alipandisha bei ya pamba
Povu la nini?

Mtu kusifiwa kwa kazi nzuri Wewe unaumia wapi?

Punguza stree masaa haya.
 
Punguza uchawa, jamaa yenu anasubiri teuzi ili afanye kazi? opportunities everywhere acheni ushamba wa kusubiri teuzi
 
Kafulila ni mtu safi sawa, lkn ulichokiandika ni utopolo, mkuu wa mkoa hana hiyo mandate ya kumwamuru mkandarasi arudie barabara, andiko la kitoto hili umeleta humu, mods wafute hii takataka
Kweli wewe huna uelewa wa chochote kile. Kwa hiyo unafikiri RC ni pambo na picha tu mkoani kwa kuangalia tu uozo wote unaofanyika pasipo kuchukuliwa hatua wala kutoa maamuzi?
 
Lakini kwanini MRC wengine amabao ni makada wa CCM wanakunali uonzo na hamuwakemei hadharani?
 
Back
Top Bottom