David Kafulila: Rais Samia ametoa Shilingi trilioni moja ili kuwakopesha wakulima kwa riba ya 9% zipo NMB na CRDB nia kukuza Kilimo walau kwa 8-10%

David Kafulila: Rais Samia ametoa Shilingi trilioni moja ili kuwakopesha wakulima kwa riba ya 9% zipo NMB na CRDB nia kukuza Kilimo walau kwa 8-10%

Sio bajeti ya mwaka huu
Sawa nakubali mkuu, ungeweka maelezo kamili Sasa kwamba hizo fedha ni nje ya bajeti.

Lakini hata hivyo bado haingii akilini hizo trillion zitolewe lakini zisilete impact katika jamii. Mbolea Bado Iko juu sana hata tukiweka ruzuku bado bei ya mbolea ni juu sana.
 
What if wakasema serikali ndiyo iliyo toa hiyo bajeti... Mbona unampa Samia hadhi yasiyo nayo?

Utasikia kila mahala mama, mama this mama that.. 😂

Inshort she's not acting like a mom to this nation..
ndio muhasibu mkuu huyo
 
Hajatoa pesa zozote, hizo ni pesa za benki tu.
 
Hii santuri wala sio mpya , kwa sisi wakongwe kidogo, tunamkumbuka Mr Megawati Ngeleja , na sound zake za MEGAWATT Tanzania, akiwa ndani na nje ya Bunge...yaani jamaa alikuwaga full sound...ila muda utaongea
 
Back
Top Bottom