David Kafulila: Shirika la ndege ATCL chini ya Rais Samia halijawahi kuleta hasara za kiuchumi ila za kihasibu tu

 
Shukr
Kafulila unajitahidi kurecruit machawa bahati mbaya ni akili zako ndogo sana wote wanakuja na strategy ile ile hivyo ID zote 25+ zinajulikana.
Shukrani sana mkuu, kafulila ana ID Kibao sana, na ana CHAWA wake kibao anawatumia,.

Werema /Muhongo walikuwa sahihi sana kumwita TUMBILI huyu mleta Uzi 🤔🤔🤔🤣🤣🤣
 
Shukr
Shukrani sana mkuu, kafulila ana ID Kibao sana, na ana CHAWA wake kibao anawatumia,.

Werema /Muhongo walikuwa sahihi sana kumwita TUMBILI huyu mleta Uzi 🤔🤔🤔🤣🤣🤣
Walikuwa sawa kabisa mimi naona wangeitwa ngedere kabisa maana anafanya vitu vya kitoto sana.
 
Huyu nafasi yake ni ya kitaalamu ila toka aifanye ya kisiasa, amekuwa kama chawa wengine tu.
 
Kua kichaa sio lazima uokote makopo na kutembea uchi huku mtalimbo ukinesanesa.
 
Shukr
Shukrani sana mkuu, kafulila ana ID Kibao sana, na ana CHAWA wake kibao anawatumia,.

Werema /Muhongo walikuwa sahihi sana kumwita TUMBILI huyu mleta Uzi 🤔🤔🤔🤣🤣🤣
Kafufulila anawezaje kuwa jamii forum?
 
Wewe mpuuzi tu jikite kwenye hoja na mantiki inayozungumzwa punguza kushabikia udaku unakuongezea chuki kichwani mwako.
Naona Tumbili umekuja kujitetea sasa.

Wewe ni kajinga kabisa, nakukumbusha kuwa hasara ni hasara iwe ya kihesabu, kiuchumi, kifaida au collateral damages.

Kwenye biashara kanuni ni moja tu ambayo ni hii unanunua au kuuza bidhaa/ huduma ili upate faida ikiwa nje ya hapo hiyo ni hasara na haina jina jingine.

Ukiwa kajinga ni kwamba hauna akili basi ukipewa majukumu makubwa yanayohitaji akili kubwa ni bora ukayaacha ili usipotee.

Ukweli mchungu kwako ni huu, Kafuliwa hajawahi kuwa na akili na hatakaa awe nazo maana ni wa hivyo hivyo.
Kumbuka, akiwa RC pale Simiyu alizuia magari yasitoe huduma za usafirishaji kwa kutokea ajali, Tumbili usivyokuwa na akili ukatoa amri ya kuzuia magari mengine yasitoe huduma.
Wiki haikuisha akatumbuliwa kwa maamuzi hayo ya hovyo

Steven Joel Ntamusano
 
Mithali 17:28
Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu.
 
Waliopo kwenye nafasi nyeti ndio hawa....😥😥
 
David kafulila what has happened to your good brain my brother. Shame on you a million miles
Hana akili anajua tu kupiga kamdomo na kukopi takwimu kutoka vijalida ila akili ya kuzaliwa nayo hana.

Kwa ujumla ndiyo viongozi wengi waliopo katika taasisi na nchi hii; kamdomo tu, mtu anaonekana kuwa anazo akili ila uhalisia ni sifuri.
 
Usimhukumu mtu kwa jana yake, hujui Mungu kampangia leo ya namna gani. Usikariri maisha kuna mabadiliko mengi chanya hutokea maishani.

Sio kila shirika la ndege huanza na faida za kihasibu mengi yanategema kuinuliwa na serikali kuu kupitia hazina.

Faida inaweza kuwa bado haijafikiwa lakini kuna kuinuka kwa uchumi kila mara wanapokuja watalii nchini, mzunguko wa ratiba za ndege zetu unaongezeka, Hivyo hizo sekta nyingine zinaingiza pesa nyingi licha ya ATCL kuwa na hesabu chafu kwa mujibu wa CAG.

Ethiopian Airline ipo mpaka leo, haina maana uchumi mzima wa Ethiopia umesimama vizuri muda huu. Sekta nyingine za kiuchumi za taifa hilo zinaendelea kushamiri licha ya shirika la ndege kuwa katika mapambano ya kumaliza deni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…