David Kafulila: Shirika la ndege ATCL chini ya Rais Samia halijawahi kuleta hasara za kiuchumi ila za kihasibu tu

ni wengi sana
Usifikiri jf ni forum ya wajinga. Tunajua route za atcl nje ya Tz ni Nairobi, Bujumbura, Zambia, SA, Dubai, Bombay. Route ya Guangzhou ilshakufa. Atcl ina ushirika kibiashara na Air India, Qatar aiways na Zambia airways. Watalii wanaoingia Tz ni kutoka America na Europe- sasa atcl na America/Europe wapi na wapi? Uchawa sio uzalendo hata kidogo.
 
sasa unamaanishaje?
 
Duu kweli akili ni nywele hayo mahesabu kayasababisha nani

Kama ni binadamu basi yataathiri uchumi wa binadamu, (inchi), kama ni panya basi yataathiri panya, yaani uchumi wa panya

Vile vile kifo ni kifo tu
 
sasa unamaanishaje?
Namaanisha si kweli kwamba atcl ina mchango ktk kuongezeka watalii wanaokuja Tz. Ongezeko likiwepo linachangiwa kwa upande mmoja na hali ya uchumi kidunia kwa jumla, kwamba hawa watalii vipato vyao kule watokako ni vizuri na wana ziada ya fedha wanazoweza kutumia kutalii. Upande wa pili huduma wanazopata pindi wakiwa nchini mwetu, pamoja gharama /tozo mbalimbali wanazotozwa hapa kwetu, kama ni rafiki zaidi ya washindani wetu eg Kenya. Mawakala wa utalii kule Amerika na Ulaya ambao ndio huwafanyia mipango ya safari watalii wanaokuja huku hata hawajui kama kuna shirika linaitwa Atcl, aidha hata wakilijua bado watakuwa na imani zaidi na mashirika ya kwao.
 
2mbili katika ubora wake
 
1. Safari za moja kwa moja (Direct Flights): ATCL imeanzisha safari za moja kwa moja kutoka Tanzania kwenda nchi kama India, China, na Afrika Kusini kupitia ndege kama Dreamliner. Safari hizi hupunguza gharama na muda wa kusafiri kwa watalii, jambo linaloweza kuwavutia zaidi kuja moja kwa moja Tanzania badala ya kupitia nchi nyingine.
2. Ushirikiano na Bodi ya Utalii (TTB): ATCL imekuwa ikishirikiana na TTB kutangaza vivutio vya utalii kupitia makala, vijarida ndani ya ndege, na kampeni za masoko katika masoko ya kimataifa kama India na China. Hii ni juhudi ya makusudi ya kuitumia ATCL kama jukwaa la kutangaza utalii.
3. Faida ya kiuchumi (Economic Impact): Ingawa ATCL inaweza kuonekana haina faida kihasibu, ripoti zinaonyesha kuwa ndege zake zimechangia kuleta maelfu ya watalii waliowezesha mapato ya utalii kufikia zaidi ya dola bilioni 3.9 kwa mwaka. Hii ni faida ya kiuchumi inayozidi hasara ya kihasibu.
 
Tuwekeee financial statements za shirika zilizokaguliwa na CAG halafu tuamue wenyewe kama ni accounting profit/loss au ni Economic profit/loss.
Hata hasara CAG akithibitisha tena nyuma ya mikamera, tume zinaundwa nyuma ya mikamera majibu nyuma ya pazia

Majibu ya picha ya kihindi
 
Ruti za Kimataifa za ATCLKwa sasa, ATCL inahudumu kwenye ruti kadhaa nje ya Tanzania, zikiwemo:
  • Nairobi (Kenya)
  • Bujumbura (Burundi)
  • Lusaka & Ndola (Zambia)
  • Harare (Zimbabwe)
  • Johannesburg (Afrika Kusini)
  • Entebbe (Uganda)
  • Dubai (UAE)
  • Mumbai (India)
  • Guangzhou (China) — Ingawa kuna taarifa kuwa safari hizi zimepungua au kusitishwa kwa muda2
 
an account failure is a specific failure within a company's accounting system or reports, such as inaccurate financial statements or the inability to track costs and profits properly. Economic failure deals with the broader health and performance of the entire economic system, whereas account failure focuses on the operational and reporting deficiencies within a single entity's financial practices.
====
Kama tuta treat shirika la ndege as a system with defined boundary, ikitokea account failure, economic failure inaepukwaje?

Aje front aeleze sawa sawa!
 
Kila kukicha shirika linaleta hasara, leo hii hizo hesabu zake zisingeishia kwenye shirika kupata hasara..!!!
 
mbona umejijibu ujibiwe nini sasa
 
Mtu anafurahia mauzo ya biashara yake na kujiona amefanikiwa kabla ya kutoa gharama zinazozidi mauzo.Huyu ni wa kumhurumia sana
 

Huu sasa ndio ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…