David Kafulila: Shirika la ndege ATCL chini ya Rais Samia halijawahi kuleta hasara za kiuchumi ila za kihasibu tu

Nani kasema Jf watu wanatatizo na ID?
Naona kidampa mwingine wa Kafulila umekuja zimebaki ID 23 sasa waite na wenzio hapa kama yule ABC za 2025, CM177, Mzee Nyerere , Mzee Sokoine na nyingine zote mpya .
 
Kwa hiyo ndg za ATCL zisingekuwepo hawa Watalii wasingekuja Tanzania?
 
Wewe Kafulila akili yako siyo sahihi, tuna watu wa ovyo sana nchi hii. unaongea uongo na unajua wazi kuwa unadanganya. Ndiyo maana yule jamaa alimwita lile jina baya.
 
Kafulila alisomea nini?
Kwanini wanawapa ma fomfoo kazi za kutumia akili nyingi?
Huyu si kama bajaji au mshamba fulani bungeni mwenye kelele nyingi.
Kwa akili hii unategemea mke wako hatakuacha?
Hata uwe na pesa kama huna akili ya kupambanua mambo tegemea kuachwa na mke.
 
Ndio watalii wanakuja kuangalia shirika la ndege la taifa linavyoendeshwa kwa hasara lakini bado linaendelea kuwepo kwa gharama za walipa Kodi. Huu nap kwa Tanzania ni utalii tosha. Wengi wa watalii wanakuja na ndege za mashirika mengi kuja kulitalii shirika letu la ndege.
 
Hivi kuna "hasara" ambayo siyo "hasara" ?
 
Hawa ndio walituambia, deni tuliangalie kwa Dolla, kwa Tzs linakuwa kubwa!!
 
Kwa hiyo hasara ikiwa ya kihasibu inageuka kuwa faida?.

Habari kama hizi ziwe zinaishia TBC huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…