David Kafulila: Taarifa zinaonesha umasikini wa bara la Afrika ulipaa zaidi wakati ambapo misaada ya wahisani ilikuwa juu zaidi

Waafrika wangeacha kutumia mifum hiyo ya wazungu inalemazaa mpaka tunakuwa tgemezi kila siku.
 
Sasa hayo kayasema Kafulila au Dambisa Moyo Muandishi wa hicho kitabu cha "Dead aid"?.
 
Sasa yale magorofa ya masaki na obey nani atapangisha? Wenye misaada yao wamesitisha na staffs wamerudi kwao,
 
Misaada inabwetwesha, Asante Kafulila kwa wazo hili
 
Safi sana
 
Kizimkazi ndo kwanza anaendekeza mabakuri kama "role model" wake usogani ...ajiangalie asije kumkwaza
 
Kizimkazi ndo kwanza anaendekeza mabakuri kama "role model" wake usogani ...ajiangalie asije kumkwaza
Misaada inarudisha nyuma akili zetu japo bado inahitajika kwa hali ilivyo sasa,
Ni Kweli Trump kukata misaada kumetuumiza ila haiondoi ukweli kwamba bado tunahitaji msaada
 
Sasa yale magorofa ya masaki na obey nani atapangisha? Wenye misaada yao wamesitisha na staffs wamerudi kwao,
Kwani walijua watawapangisha watu wa aina hiyo milele ?
Ninaamini chochote kinaweza kubadilika muda wowote ....
 
Uko sahihi kabisa Uchumi wetu utakuwa tu
 
Mkuu Unaongea ukweli sana
 
Kafulila ni akili ndefu hapa Trump kanyanyaswa kijinsia
 
Mimi huwa siamini kama Kafulila ana akili timamu, kwanini huwa hashauri watawala kupunguza matumizi makubwa ya anasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…