Mwanga wa Jua
Senior Member
- Mar 7, 2025
- 106
- 54
Acha kujichetua wewe kijanaHata Mimi siungi mkono misaada acha Africa ipambane na ilete heshima yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujichetua wewe kijanaHata Mimi siungi mkono misaada acha Africa ipambane na ilete heshima yake
Samia mitano tenaView attachment 3258108
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya, kati ya mwaka 1970 mpaka mwaka 1998 wakati misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ule lakini chaajabu ni katika wakati huo huo umasikini wa bara la Africa ulikua na kufikia 66% kutoka 11% kabla ya hiyo misaada.
Mkurugenzi huyu anafafanua zaidi kwa wasiofahamu kwamba,
Umasikini wa bara la Afrika ulipaa au ulikuwa zaidi hadi kufikia kilele Cha asilimia 66 kutoka asilimia 11 tu baada ya wahisani kuongeza misaada yao kwa bara hili la Afrika
Baada ya comment hii ya David Kafulila nimejiuliza maswali kadhaa endapo Rais Donald Trump wa Marekani kupunguza kwake misaada ya Marekani (USAID ) katika bara la Africa Je, kutachochea zaidi kukua kwa kwa Uchumi wa bara la Africa kama ilivyokuwa kabla ya miaka 1970?
Je, huenda hii ndio likawa moja ya lengo la Rais Donald Trump wa Marekani katika kukuza Uchumi wa bara la Africa au ni katika kulidhoofisha bara hili?
"Wakati mwingine kumpiga chura teke ni sawa tu na kumwongezea mwendo"
===
Kafulila anawalipua hadi wazungu 😂Hata Mimi siungi mkono misaada acha Africa ipambane na ilete heshima yake
Nini wachina wameshika?Inaendelea na nini wakati kila kitu kimeshikwa na Wachina?
Wewe ndoa na Uchumi wapi na wapi?Kafulila hadi ndoa ilimshinda Sasa anaweza kusema jambo gani la maana?
Hii ya Wachina hata Mimi napendekeza waangaliwe sana hawa watu.Inaendelea na nini wakati kila kitu kimeshikwa na Wachina?
Ikiwa ni pamoja na wewe.Umasikini wa Africa tatizo haliwezi kuwa ni misaada ya wazungu ila.ujinga wa waafrica wenyewe.
Mimi sio CCM ila Kafulila ni mtu amebarikiwa kwenye hoja, hata kama tutamtukana vipi bado atafikiria nje ya box, tangu hii misaada imeondolewa Hali ya ukimya umetawala hakuna aliyesema Kiuchumi hii inamaanla gani zaidi ya huyu Kafulila, Mimi namuunga mkono ila Mimi kamwe sio CCM.View attachment 3258108
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya;-
Kati ya mwaka 1970 na mwaka 1998 wakati misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ajabu ni katika wakati huo huo umasikini wa bara la Africa ulipaa zaidi na kufikia 66% kutoka 11% kabla ya misaada hiyo ambayo leo Rais wa Marekani Donald Trump ameanza kuipunguza tena.
Mkurugenzi huyo anafafanua zaidi,
Umasikini wa bara la Afrika ulipaa au ulikua zaidi hadi kufikia kilele cha asilimia 66 kutoka asilimia 11 tu baada ya wahisani kuongeza misaada yao kwa bara la Afrika.
===
Lugha nyepesi ya utafiti huu tunasema, Kadiri Wazungu wanavyoisaidia Africa ndio umasikini wa bara la Africa unavyoongezeka hivyo uamuzi wowote wa Donald Trump usiwatetemeshe Wala kuwateteresha Waafrica
===
Baada ya comment hii ya David Kafulila nimejiuliza maswali kadhaa ikiwa Rais Donald Trump wa Marekani kupunguza kwake misaada ya Marekani (USAID ) kwa bara la Africa Je, kutachochea zaidi kukua kwa Uchumi wa bara la Africa wakati huu kwa kutumia PPP kama ilivyokuwa kabla ya miaka ya 1970 au kinyume chake?
"Wakati mwingine kumpiga chura teke ni sawa tu na kumwongezea mwendo"
===
Sahihi kabisa, tuanzishe mifumo yetu kwa Mila na desturi zetuWaafrika wangeacha kutumia mifum hiyo ya wazungu inalemazaa mpaka tunakuwa tgemezi kila siku.
Wameanza mtindo wa kufungua supernarket wanauza vitu vya kariakoo kwa bei ndogo sanaHii ya Wachina hata Mimi napendekeza waangaliwe sana hawa watu.
Tunahitaji Wawekezaji lakini sio wa aina yao
Hakika mkuu !Uko sahihi Uchumi wetu utakua tu