Patriot missile
JF-Expert Member
- Jun 16, 2024
- 280
- 423
Kafulila kawazidi wenzake akili kwabali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anachozidi Kafulila ni uropokaji tuKafulila kawazidi wenzake akili kwabali sana
Kafulila amekomaa Sasa kiuongoziView attachment 3258108
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya, kati ya mwaka 1970 mpaka mwaka 1998 wakati misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ule lakini chaajabu ni katika wakati huo huo umasikini wa bara la Africa ulikua na kufikia 66% kutoka 11% kabla ya hiyo misaada.
Mkurugenzi huyu anafafanua zaidi kwa wasiofahamu kwamba,
Umasikini wa bara la Afrika ulipaa au ulikuwa zaidi hadi kufikia kilele Cha asilimia 66 kutoka asilimia 11 tu baada ya wahisani kuongeza misaada yao kwa bara hili la Afrika
Baada ya comment hii ya David Kafulila nimejiuliza maswali kadhaa endapo Rais Donald Trump wa Marekani kupunguza kwake misaada ya Marekani (USAID ) katika bara la Africa Je, kutachochea zaidi kukua kwa kwa Uchumi wa bara la Africa kama ilivyokuwa kabla ya miaka 1970?
Je, huenda hii ndio likawa moja ya lengo la Rais Donald Trump wa Marekani katika kukuza Uchumi wa bara la Africa au ni katika kulidhoofisha bara hili?
"Wakati mwingine kumpiga chura teke ni sawa tu na kumwongezea mwendo"
===
Amekomaa pia kwa uchawaKafulila amekomaa Sasa kiuongozi
Hio misaada ya wazungu asilimia kubwa ilikua inaliwa na watu wanaitwa economic hitmen......haikua misaada ambayo ilikua inafika kwa wananchi bali kundi fulani wenye maslahi nao ndo walikua wanapiga hio misaada huku wakiwasetia njia hao wazungu kuzinyonya vizuri hizo nchi wanazowapa misaada......shida imekuja sahivi watu wanakula kote kote kwa wazungu na kwa mchina halafu mwisho wa siku wanawaacha wapambane....ndo maana Trump kaona hio misaada haina tena maana sababu hawapati ile influence waliokua wanaipata zamani sahivi ushindani umekua mkubwaWhat is he doing now?
Same same?
Wakati waafrika kwa kipindi chote cha miaka zaid ya 15 baada ya uhuru waliachiwa resources na Agricultural products processing industries...
Wakaanza kuziua kwa kukabidhi washkaji zao waliopigania uhuru,
Fast forward viwanda vingi vikageuka ma godown...
Wajanja kama Kenya wakawaacha wakoloni wa kuviendeleza.., lakini wakawa na wao kama nchi hawanufaiki navyo.. vimekuwa maduka ya wanasiasa..
Nchi nyingine zikarudisha wakoloni baadae kwa njia za uwekezaji...
Kwenye mashamba na viwanda wakapewa bei za bure, wakajiingiza kwenye mikopo mkubwa wakatumia rasili mali zetu kama dhamana..
Wakaachana na production wakaenda kwenye trading.... 🤔.
Mikopo Africa wala haitusiaidii wananchi, mara nying almost 40% n itechnology and admin costs ambazo zinarud kwako... The other 60% ni Warsha na Makongomano...
We can live and stretch without hizo aid, lakini tusiwe na kibri kama cha mika flani hapa tukawambia....
Kazi za kufanya ni kuendeleza kilimo na bidii kwenye elimu ya Ufundi..
Diplomacy iendelee na tuikazanie huku tukipambana kuondokana. Na misaada kwa kias kikubwa..
Btw.. pesa za matumiz ya kawaida ndio hubeba 80% ya Bajeti... Tukijibana tunaweza.
Trump hawez pambana na deep state mkuu.. he is just a dog who barks but doesnt bite...Hio misaada ya wazungu asilimia kubwa ilikua inaliwa na watu wanaitwa economic hitmen......haikua misaada ambayo ilikua inafika kwa wananchi bali kundi fulani wenye maslahi nao ndo walikua wanapiga hio misaada huku wakiwasetia njia hao wazungu kuzinyonya vizuri hizo nchi wanazowapa misaada......shida imekuja sahivi watu wanakula kote kote kwa wazungu na kwa mchina halafu mwisho wa siku wanawaacha wapambane....ndo maana Trump kaona hio misaada haina tena maana sababu hawapati ile influence waliokua wanaipata zamani sahivi ushindani umekua mkubwa
kipindi cha huko nyuma wazungu walikua kuna monopoly wanafaidi kwa huku Africa shida kwa sasa hio monopoly hawana tena maana kuna players wapya kwenye hili bara urusi na mchina......hio misaada yao haiwezi kuwarahisishia kazi zao kwa sasa huku AfricaTrump hawez pambana na deep state mkuu.. he is just a dog who barks but doesnt bite...
Misaada ndio tool pekee mzungu anatumia kushinikiza issue zao Africa na nchi masikini ili waendelee kula rasilimali zetu..
Misaada na mikopo ndio njia pekee inayofanya Europe na US zi survive... USAID is just a tip of the iceberg.
Ukisikia rating za Moody na Worldbank kusema tunakopesheka ujue tuna obey slave masters.
Ni same same..kipindi cha huko nyuma wazungu walikua kuna monopoly wanafaidi kwa huku Africa shida kwa sasa hio monopoly hawana tena maana kuna players wapya kwenye hili bara urusi na mchina......hio misaada yao haiwezi kuwarahisishia kazi zao kwa sasa huku Africa
Huwezi kuendelea kwa kukopa au kwa kupewa misaadaNi same same..
EUROPE ni wazuri sana kwenye finance mzee.. hiyo monopoly ipo kwenye credit.... Usidanganyike.. serikali nyingi za Africa zinalipa hadi 90% ya makusanyo ya kodi kama rejesho la mikopo
Rejesho la mikopo halina maana kama malighafi za viwanda vyao hawazipati wanachotaka ni natural resources na hio mikopo ndo ilikua inatumika kubeba hizo resources,,, nchi kama Burkina Faso imemtimua mfaransa unadhani kwa sasa wanajali kuhusu influence ya wazungu? Uganda tu hapo walimlazimisha afute ile sheria yake ya ushoga akagoma hao wazungu wamemuwekea vikwazo na hajali.......wazungu wenyewe wameshaanza kushtuka mbinu zao za zamani hazizai matunda wanayotarajia kwa sasa......fedha zitakopwa na zitarudishwa ila kwa sasa kupata natural resources za Afrika wajipange sio kirahisi kama zamani........mikopo itarudishwa hata kama upande hasimu utachukua malighafi wanazozitaka hukuNi same same..
EUROPE ni wazuri sana kwenye finance mzee.. hiyo monopoly ipo kwenye credit.... Usidanganyike.. serikali nyingi za Africa zinalipa hadi 90% ya makusanyo ya kodi kama rejesho la mikopo
Mkuu hakuna nchi Africa itajikomboa bila kwanza kupunguza kabisa utegemezi kwenye Mikopo.,Rejesho la mikopo halina maana kama malighafi za viwanda vyao hawazipati wanachotaka ni natural resources na hio mikopo ndo ilikua inatumika kubeba hizo resources,,, nchi kama Burkina Faso imemtimua mfaransa unadhani kwa sasa wanajali kuhusu influence ya wazungu? Uganda tu hapo walimlazimisha afute ile sheria yake ya ushoga akagoma hao wazungu wamemuwekea vikwazo na hajali.......wazungu wenyewe wameshaanza kushtuka mbinu zao za zamani hazizai matunda wanayotarajia kwa sasa......fedha zitakopwa na zitarudishwa ila kwa sasa kupata natural resources za Afrika wajipange sio kirahisi kama zamani........mikopo itarudishwa hata kama upande hasimu utachukua malighafi wanazozitaka huku
Mikopo inaweza isirejeshwe ila anaweza akaichukua upande hasimu akawalipa hao na yeye huku akapewa access ,,,yani kwa sasa ni kama ile scramble for Africa imerudi tena,,,,,hayo madeni ya hizo nchi mchina anaweza akaingia akayabeba au hizohizo rasilimali atakazozichukua yale malipo wanayotoa yataenda kuwalipa hao wazungu,, kwahio mzungu pesa yake atapata ila malighafi hawatapata hilo bado linakua pigo kwao.........Traore kajiweka karibu na Mrusi hayo madeni anaweza kuyalipa akiingia mkataba mzuri na mrusi ndo kama mchina anachofanya.....pesa haitakosekana ila malighafi za viwanda vyao watakosa au hawatazipata tena cheaply kama zamani walivyokua wao tu peke yaoMkuu hakuna nchi Africa itajikomboa bila kwanza kupunguza kabisa utegemezi kwenye Mikopo.,
Unaweza amini baada tu ya kupindua nchi Traore alipewa $300M kama credit extension na IMF? Hao wanaopenda Democracy? Unadhani ni kwasabab wanampenda?
Rasilimali nyingi za Africa zipo kwenye Mikataba ya muda mrefu ya uvunwaji na haziwez kurudi leo....
Kenya waliwapa wachina bandari ya Mombasa wawajengee reli, wakikosa kulipa rejesho moja bandari imeenda...
Tupo kwenye wakati mgumu mno
Mimi sio CCM ila Hapa nimekukubali Kafulila misaada haiwezi kusaidia Taifa lolote kupiga hatua za haraka za kimaendeleo na hii sisi CHADEMA tumesema sanaView attachment 3258108
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya, kati ya mwaka 1970 mpaka mwaka 1998 wakati misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ule lakini chaajabu ni katika wakati huo huo umasikini wa bara la Africa ulikua na kufikia 66% kutoka 11% kabla ya hiyo misaada.
Mkurugenzi huyu anafafanua zaidi kwa wasiofahamu kwamba,
Umasikini wa bara la Afrika ulipaa au ulikuwa zaidi hadi kufikia kilele Cha asilimia 66 kutoka asilimia 11 tu baada ya wahisani kuongeza misaada yao kwa bara hili la Afrika
Baada ya comment hii ya David Kafulila nimejiuliza maswali kadhaa endapo Rais Donald Trump wa Marekani kupunguza kwake misaada ya Marekani (USAID ) katika bara la Africa Je, kutachochea zaidi kukua kwa kwa Uchumi wa bara la Africa kama ilivyokuwa kabla ya miaka 1970?
Je, huenda hii ndio likawa moja ya lengo la Rais Donald Trump wa Marekani katika kukuza Uchumi wa bara la Africa au ni katika kulidhoofisha bara hili?
"Wakati mwingine kumpiga chura teke ni sawa tu na kumwongezea mwendo"
===
Kafulila hadi ndoa ilimshinda Sasa anaweza kusema jambo gani la maana?Mimi sio CCM ila Hapa nimekukubali Kafulila misaada haiwezi kusaidia Taifa lolote kupiga hatua za haraka za kimaendeleo na hii sisi CHADEMA tumesema sana
Ndio hivyoKafulila ni akili kubwa sana
Fanya akuoe weweKafulila hadi ndoa ilimshinda Sasa anaweza kusema jambo gani la maana?
Hapa naweza kukubali hiiView attachment 3258108
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya, kati ya mwaka 1970 mpaka mwaka 1998 wakati misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ule lakini chaajabu ni katika wakati huo huo umasikini wa bara la Africa ulikua na kufikia 66% kutoka 11% kabla ya hiyo misaada.
Mkurugenzi huyu anafafanua zaidi kwa wasiofahamu kwamba,
Umasikini wa bara la Afrika ulipaa au ulikuwa zaidi hadi kufikia kilele Cha asilimia 66 kutoka asilimia 11 tu baada ya wahisani kuongeza misaada yao kwa bara hili la Afrika
Baada ya comment hii ya David Kafulila nimejiuliza maswali kadhaa endapo Rais Donald Trump wa Marekani kupunguza kwake misaada ya Marekani (USAID ) katika bara la Africa Je, kutachochea zaidi kukua kwa kwa Uchumi wa bara la Africa kama ilivyokuwa kabla ya miaka 1970?
Je, huenda hii ndio likawa moja ya lengo la Rais Donald Trump wa Marekani katika kukuza Uchumi wa bara la Africa au ni katika kulidhoofisha bara hili?
"Wakati mwingine kumpiga chura teke ni sawa tu na kumwongezea mwendo"
===
Kwamba serikali inabana matumizi? hahahahahahaKama huelewi hii PPP ni moja ya njia za kubana matumizi
Hoja hii pia ni nzuriView attachment 3258108