David Kafulila: Taarifa zinaonesha umasikini wa bara la Afrika ulipaa zaidi wakati ambapo misaada ya wahisani ilikuwa juu zaidi

Mwache Kafulila afanye yake, elewa tu wahusika wananijua (huko, serikalini) Iła sina interest.

Furaha yangu ni kuwananga tu wote huko serikalini; it’s never personal nk kwa maslahi ya nchi.

Nafasi za teuzi tuwaachie wengine na wengine tukubali kuna
maisha nje ya siasa; Lakini kusema hatutoacha mdomo ni mali yangu.
Hata kama midomo Mali yenu jitahidini muitumie Vizuri,

Mtu kama Kafulila ni mtu ambaye mchango wake kwenye Taifa hili unajulikana.
 
Ni wakati wa bara la Africa kuamka Sasa hali ni mbaya
Unajua kwa kilimo kinaweza kututoa sana Kama tukiamua
Na hawa wanaoona Wahadzabe na Wamasai watatuingizia kipato kwa Utalii waache hizo ndoto

Kwanza wanatudhalilisha na la pili wanatushangaa

Leo kama tukijikita kwenye Cash Crops na kuongeza mazao mengine ambayo hatuna ila nchi zingine wanafanya, basi tutafika tu

Kuna nchi hawalimi kabisa kama waarabu tungeweza kuwatumia matunda kila wakati na mbogamboga kwa umwagiliaji

Pia mifugo wawe wa viwango vinavyotakiwa
Najua tutauza nje lakini sio kama inavyotakiwa ili tupasue
 
Hata kama midomo Mali yenu jitahidini muitumie Vizuri,

Mtu kama Kafulila ni mtu ambaye mchango wake kwenye Taifa hili unajulikana.
Ushawahi kusikia kitu kinaitwa ‘JOHARI Window’ uwezi kujiboresha bila kuonyeshwa mapungufu yako.

Kafulila uwezo wake na nafasi aliyopewa ni mdogo sana.

Busara angefanya kazi na kuacha kuji-promote JF mpaka kukera watu.

Kafulila sio mtu pekee aliepewa nafasi ambayo hana technical knowledge nayo.

Sema Kafulila ni mtu pekee mwenye kihere here cha kujifanya mjuaji wa kuongelea mambo hana uelewa nao wa kina, mpaka anakera.

Vinginevyo upuuzi anao ongea Saada Mkuya na Mwigulu ambao ni mabosi, salaleh. Walau wako kimya.

Sasa Kafulila yeye kutwa anawashwa na Nyerere kaajiri watu humu JF ku-promote ujinga wake,

Niamini nikikwambia uwezo wake wa mambo anayoongeleq technical skills zake hazifiki hata 5% lakini he is determined kushinda hata hao mabosi wake.

Kafulila hana nitty gritty za uwekezaji, hana.

………………,..

Uamini mwalike Kafulila aanzishe mada ya uwekezaji ya sector anayotaka. Hawezi jibu maswali ya JF technically miaka 800. Sasa sijui anaongea nini na hao wawekezaji,

Kafulila hana investment knowledge ni ujinga tu wa kulipa watu JF kumpamba; Lakini hana qualification ya hiyo nafasi Atulie tu kama wenzake.
 
Kwanini CHADEMA mnapenda Kafulila akae kimya?

Yeye hapa ameleta utafiti unaonesha misaada sio kitu kwa maendeleo ya Africa nyie mnakasirika,

Kwanini mnakasirika?

Halafu kama ni kuwalipa watu jamaa analipa watu wangapi maana Nyuzi za Kafulila ni nyingi sana na zinamsaada sana kwa Taifa
 
Unajua kwa kilimo kinaweza kututoa sana Kama tukiamua
Na hawa wanaoona Wahadzabe na Wamasai watatuingizia kipato kwa Utalii waache hizo ndoto

Kwanza wanatudhalilisha na la pili wanatushangaa

Leo kama tukijikita kwenye Cash Crops na kuongeza mazao mengine ambayo hatuna ila nchi zingine wanafanya, basi tutafika tu

Kuna nchi hawalimi kabisa kama waarabu tungeweza kuwatumia matunda kila wakati na mbogamboga kwa umwagiliaji

Pia mifugo wawe wa viwango vinavyotakiwa
Najua tutauza nje lakini sio kama inavyotakiwa ili tupasue
Aisee umeongea point muhimu sana ,

Kilimo kinaweza kujibu kila kitu cha mzungu
 
Kwanini CHADEMA mnapenda Kafulila akae kimya?

Yeye hapa ameleta utafiti unaonesha misaada sio kitu kwa maendeleo ya Africa nyie mnakasirika,

Kwanini mnakasirika?

Halafu kama ni kuwalipa watu jamaa analipa watu wangapi maana Nyuzi za Kafulila ni nyingi sana na zinamsaada sana kwa Taifa
Ndio maana wakamnyima nafasi ya msemaji wa chama kwa sababu hana tabia za CCM.

CCM chama ukienda na tabia żako za nje wanakujua huyu sio mwenzetu.

Vinginevyo sio chama cha kuacha talent yaani wewe ukiwa na miakili elewa CCM inakuhitaji wewe kushinda unavyowahitaji wao (na watakutumia watu)

Shida ni kwamba leo CCM inakimbiliwa na vijana wengi, wanaohitaji kutoka kimaisha kupitia CCM, kuliko CCM inavyohitaji hao vijana.

Regardless uwezi kushindana na watu ambao CCM ishakubali uwezo wao na inawahitaji; shida inakuja je na wenyewe wanaihitaji CCM.
 
Ndio maana wakamnyima nafasi ya msemaji wa chama kwa sababu hana tabia za CCM.

CCM chama ukienda na tabia żako za nje wanakujua huyu sio mwenzetu.
Tabia za CCM ni zipi?

Halafu lini Kafulila aliomba kuwa Msemaji wa Chama?

Nadhani usimchukie Kafulila iga anachokifanya na wewe utakuwa kama yeye at future
 
Dah

Yaani mawaziri waliopo nikiwasikiliza mtu kama Kitila awe Boss wangu, the nonsense he utters kuhusu maswala ya investment awe boss wangu. No

Sio kila mtu anataka hizo nafasi. duh, no.
 
Aisee umeongea point muhimu sana ,

Kilimo kinaweza kujibu kila kitu cha mzungu
Wazungu wanategemea chakula kutoka nje, waarabu na jangwa bado wanategemea chakula kutoka nje
Ila sisi hatutumii fursa hizi kabisa.
Kuna soko kubwa sana la mboga na matunda hapa nilipo linaitwa Western International Market
Yaani nchi nyingi duniani wanaleta hapa bidhaa zao

Mpaka nimeona pilipili na mchicha kutoka Uganda
Kenya wanaleta sana
Ila sisi sijui uswahili mwingi?
 
Food supply ni security matter kwa wazungu,

Ukiona mzungu anategemea food import basi elewa kuna watu huko wanapotoa wanaangalia production na kuna mitigation strategies.

Uwezi kukurupuka tu asubuhi moja ukasema unataka chakula chako nchi fulani, watu inventory plans

Kupata deal inabidi uwe sehemu ya equation ya supply in advance na ukiingia mkataba huo jua kwamba kutakuwa na watu ambao wanakuangalia kwa sababu luluki za inventory control na mitigation strategies.

Mzungu afanyi mambo kipuuzi kama mijadala ya JF to how things work,
 
Akili zetu zina tutosha wenyewe, unadhani watu wanachukulia inventory simply hivi.
 
Food supply ni security matter kwa wazungu,

Ukiona mzungu anategemea food import basi elewa kuna watu huko wanapotoa wanaangalia production na kuna mitigation strategies.

Uwezi kukurupuka tu asubuhi moja ukasema unataka chakula chako nchi fulani, watu inventory plans

Kupata deal inabidi uwe sehemu ya equation ya supply in advance na ukiingia mkataba huo jua kwamba kutakuwa na watu ambao wanakuangalia kwa sababu luluki za inventory control na mitigation strategies.

Mzungu afanyi mambo kipuuzi kama mijadala ya JF to how things work,
Mkuu nilishirikiana na jamaa wa Kenya kuleta mboga hapa kwenye soko hili la matunda na mboga ambalo lipo Hounslow, London
Kuna wauzaji wengi sana ambao nina urafiki nao wa ukaribu sana
Mmoja alikuwa juzi juzi anahitaji korosho ndogo ndogo na ni rahisi kuingiza kama documentation zote ziko sawa
Nina jamaa ana kampuni ya kukata kata matunda na ku supply airport zote UK na analetewa kutoka nchi nyingi sana na Kenya ikiwemo
Sio kwamba naropoka tu humu bali ninajua demands ni kubwa sana ila inataka constant supply ambayo kwa Tz ni ngumu

Ila kila kitu kinawezekana kama mnajipanga
 
Kaka siongelei demand, hiyo ipo; hasa kwa vyakula ambavyo avizalishwi huko kwao Europę.

Halafu ni free market,

Swala la msingi na swali kwako waulize hao wanaokuomba wewe. awe (Mzungu au Mkenya) vibali vyao vya kuingiza ni kiasi gani vya bidhaa? Wao ni retailers au suppliers; maana wana obligations zao za import quotas na serikali ina monitor inflow.

Unadhani UK aikauwiki chakula bure, bure tu; serikali yao inaangalia inflow of food security and inventory na wanajua kiasi gani kinatoka wapi kutokana na vibali vya kuagiza walivyotoa.
 
View attachment 3258108
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya, kati ya mwaka 1970 mpaka mwaka 1998 wakati misaada toka nje ya Africa ilikuwa ya kiwango cha Juu kuliko wakati wowote ule lakini chaajabu ni katika wakati huo huo umasikini wa bara la Africa ulikua na kufikia 66% kutoka 11% kabla ya hiyo misaada.

Mkurugenzi huyu anafafanua zaidi kwa wasiofahamu kwamba,

Umasikini wa bara la Afrika ulipaa au ulikuwa zaidi hadi kufikia kilele Cha asilimia 66 kutoka asilimia 11 tu baada ya wahisani kuongeza misaada yao kwa bara hili la Afrika​

Baada ya comment hii ya David Kafulila nimejiuliza maswali kadhaa endapo Rais Donald Trump wa Marekani kupunguza kwake misaada ya Marekani (USAID ) katika bara la Africa Je, kutachochea zaidi kukua kwa kwa Uchumi wa bara la Africa kama ilivyokuwa kabla ya miaka 1970?

Je, huenda hii ndio likawa moja ya lengo la Rais Donald Trump wa Marekani katika kukuza Uchumi wa bara la Africa au ni katika kulidhoofisha bara hili?

"Wakati mwingine kumpiga chura teke ni sawa tu na kumwongezea mwendo"

===
Jitekenye na kucheka mwenyewe, tunajua hiyo misaada na hayo mashirika yanavyotoa ajira nyingi na zenye marupurupu kibao,
Wanaofsnya kazi kwenye hayo mashirika, wengine ni ndugu zetu,jamaa zetu, wake, kwa waume,tunaona wanavyojenga mi jumba, mi ndinga ya, nguvu, pesa kibao,
Usilete matakwimu ya kwenye makaratasi, hiyo misaada na mashirika, yameleta maisha mazuri kwa wanannchi! Acha porojo, za, ki waki, unasubili misaada isitishwe, harafu ohhh hata hivyo misaada haina faia kubwa, kama, haina faida, kwanini, usiseme isitishwe!
 
Mzee utakuwa ulikuwa mnufaika wa hii kitu
 
Back
Top Bottom