David Kafulila: Taarifa zinaonesha umasikini wa bara la Afrika ulipaa zaidi wakati ambapo misaada ya wahisani ilikuwa juu zaidi

Kafulila amekomaa Sasa kiuongozi
 
Hio misaada ya wazungu asilimia kubwa ilikua inaliwa na watu wanaitwa economic hitmen......haikua misaada ambayo ilikua inafika kwa wananchi bali kundi fulani wenye maslahi nao ndo walikua wanapiga hio misaada huku wakiwasetia njia hao wazungu kuzinyonya vizuri hizo nchi wanazowapa misaada......shida imekuja sahivi watu wanakula kote kote kwa wazungu na kwa mchina halafu mwisho wa siku wanawaacha wapambane....ndo maana Trump kaona hio misaada haina tena maana sababu hawapati ile influence waliokua wanaipata zamani sahivi ushindani umekua mkubwa
 
Trump hawez pambana na deep state mkuu.. he is just a dog who barks but doesnt bite...

Misaada ndio tool pekee mzungu anatumia kushinikiza issue zao Africa na nchi masikini ili waendelee kula rasilimali zetu..

Misaada na mikopo ndio njia pekee inayofanya Europe na US zi survive... USAID is just a tip of the iceberg.

Ukisikia rating za Moody na Worldbank kusema tunakopesheka ujue tuna obey slave masters.
 
kipindi cha huko nyuma wazungu walikua kuna monopoly wanafaidi kwa huku Africa shida kwa sasa hio monopoly hawana tena maana kuna players wapya kwenye hili bara urusi na mchina......hio misaada yao haiwezi kuwarahisishia kazi zao kwa sasa huku Africa
 
Ni same same..
EUROPE ni wazuri sana kwenye finance mzee.. hiyo monopoly ipo kwenye credit.... Usidanganyike.. serikali nyingi za Africa zinalipa hadi 90% ya makusanyo ya kodi kama rejesho la mikopo
 
Ni same same..
EUROPE ni wazuri sana kwenye finance mzee.. hiyo monopoly ipo kwenye credit.... Usidanganyike.. serikali nyingi za Africa zinalipa hadi 90% ya makusanyo ya kodi kama rejesho la mikopo
Huwezi kuendelea kwa kukopa au kwa kupewa misaada
 
Ni same same..
EUROPE ni wazuri sana kwenye finance mzee.. hiyo monopoly ipo kwenye credit.... Usidanganyike.. serikali nyingi za Africa zinalipa hadi 90% ya makusanyo ya kodi kama rejesho la mikopo
Rejesho la mikopo halina maana kama malighafi za viwanda vyao hawazipati wanachotaka ni natural resources na hio mikopo ndo ilikua inatumika kubeba hizo resources,,, nchi kama Burkina Faso imemtimua mfaransa unadhani kwa sasa wanajali kuhusu influence ya wazungu? Uganda tu hapo walimlazimisha afute ile sheria yake ya ushoga akagoma hao wazungu wamemuwekea vikwazo na hajali.......wazungu wenyewe wameshaanza kushtuka mbinu zao za zamani hazizai matunda wanayotarajia kwa sasa......fedha zitakopwa na zitarudishwa ila kwa sasa kupata natural resources za Afrika wajipange sio kirahisi kama zamani........mikopo itarudishwa hata kama upande hasimu utachukua malighafi wanazozitaka huku
 
Mkuu hakuna nchi Africa itajikomboa bila kwanza kupunguza kabisa utegemezi kwenye Mikopo.,

Unaweza amini baada tu ya kupindua nchi Traore alipewa $300M kama credit extension na IMF? Hao wanaopenda Democracy? Unadhani ni kwasabab wanampenda?

Rasilimali nyingi za Africa zipo kwenye Mikataba ya muda mrefu ya uvunwaji na haziwez kurudi leo....

Kenya waliwapa wachina bandari ya Mombasa wawajengee reli, wakikosa kulipa rejesho moja bandari imeenda...

Tupo kwenye wakati mgumu mno
 
Mikopo inaweza isirejeshwe ila anaweza akaichukua upande hasimu akawalipa hao na yeye huku akapewa access ,,,yani kwa sasa ni kama ile scramble for Africa imerudi tena,,,,,hayo madeni ya hizo nchi mchina anaweza akaingia akayabeba au hizohizo rasilimali atakazozichukua yale malipo wanayotoa yataenda kuwalipa hao wazungu,, kwahio mzungu pesa yake atapata ila malighafi hawatapata hilo bado linakua pigo kwao.........Traore kajiweka karibu na Mrusi hayo madeni anaweza kuyalipa akiingia mkataba mzuri na mrusi ndo kama mchina anachofanya.....pesa haitakosekana ila malighafi za viwanda vyao watakosa au hawatazipata tena cheaply kama zamani walivyokua wao tu peke yao
 
Mimi sio CCM ila Hapa nimekukubali Kafulila misaada haiwezi kusaidia Taifa lolote kupiga hatua za haraka za kimaendeleo na hii sisi CHADEMA tumesema sana
 
Mimi sio CCM ila Hapa nimekukubali Kafulila misaada haiwezi kusaidia Taifa lolote kupiga hatua za haraka za kimaendeleo na hii sisi CHADEMA tumesema sana
Kafulila hadi ndoa ilimshinda Sasa anaweza kusema jambo gani la maana?
 
Hapa naweza kukubali hii
 
Hoja hii pia ni nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…