David Kafulila: Taasisi zinazoongozwa na Wanawake zinapata mafanikio karibu mara 10 zaidi

Hawa wanaume wa hizi zama sijawahi kuwaelewa, wapo bzy sana kuwapigia debe wanawake
 
Mwaka huu, vyeo vinatafutwa kwa kusifia wanawake
 
Kwa wenzetu si afrika
 
Kwani Rwanda ni Wapi?
Rwanda ni exceptional ni one of its kind. Lakini hii ni kutokana na bwana slim who is a man hapo. Rwanda hata ukitembea na gari huombi rushwa na askari kama huku. Ni exceptional kwenye mambo mengi
 
Kafulila boya sana. Kwa nini asingemwachia mtalaka wake taasisi yao ya ndoa akaiongoza? Ona sasa mfumo dume wake umemkosti
 
Rwanda ni exceptional ni one of its kind. Lakini hii ni kutokana na bwana slim who is a man hapo. Rwanda hata ukitembea na gari huombi rushwa na askari kama huku. Ni exceptional kwenye mambo mengi
Tuende mbele turudi nyuma Wanawake bado ni waadilifu sana,

Nadhani Kafulila Yuko sahihi
 
Iko hivyo Duniani kote.

Wanawake ni waadilifu

Wanawake Wanajua Bajeti

Wanawake sio mafisadi kama wanaume

Wanawake Wana uwezo wa ku handle mambo mengi Kwa wakati mmja

Na wanawake Wana hofu ya Mungu,ni wapenda Haki na amani.

Wanaume Sasa ukiacha matumizi ya Nguvu wanahoweza ila kwenye akili na uadilifu ni sifuri.
 
Duniani kote wapi ? Au kwenye hivyo vinchi vya hovyo hata kwenye ukubwa wa uchumi duniani havipo
 
Maendeleo ya Rwanda yanatokana na Sera za uchumi za kagame zinazofungua milango kwa wadau wa nchi mbalimbali za kimagharibi unaoboreshwa na uchache wa wanyarwanda & udogo wa Rwanda + ufadhili mkubwa post 1994 genocide + wizi wa rasilimali Congo uliobarikiwa na kulindwa na Ulaya + Udikteta mamboleo wa Kagame.

Hailetwi kabisa na wanawake wengi bungeni. And infact Kagame anaweka wanawake wengi sababu ni rahisi kuwadhibiti kwa kuzingatia hofu yake ya kuasiwa.
 
Lakini matokeo yanaonekana hata hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…