Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
Cha Chuga kina hadhi labda kuberKabla Hajaenda Kwenye Kipindi Huwa Anapiga Cha Arusha Kwanza
Sasa simjibu hoja zake kwanza au mnasubiri reforms kumjibu Kafulila?Cha Chuga kina hadhi labda kuber
Achukue Cha nini wakati ananafasi yake,Napendekeza achukue cheo cha Gerson Msigwa. Awe Msemaji Mkuu wa Serikali. Anaongea balaa!
Kachanganyikiwa huyo. Mambo ya kifamilia bado yanamvuruga maana aliyekuwa mkewe ni chepuko la mtu ambae mpaka Leo haamini macho yake.Huyu anaumwa sio bure
Kabisa halafu anaona wana nchi wote hawajui anacho kisema.Kabla Hajaenda Kwenye Kipindi Huwa Anapiga Cha Arusha Kwanza