CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,157
- 5,451
- Thread starter
- #21
Mbona ni yeye ndiye alimteua kuwa RAS? Kafulila ni akili kubwa sanaSi kweli. Angekuwa mkali chawa kama Kafulila angekuwa keshatumbuliwa na kusahaulika zamani gani?
Mbona ni yeye ndiye alimteua kuwa RAS? Kafulila ni akili kubwa sanaSi kweli. Angekuwa mkali chawa kama Kafulila angekuwa keshatumbuliwa na kusahaulika zamani gani?
Humjui wewe huyu chawaMbona ni yeye ndiye alimteua kuwa RAS? Kafulila ni akili kubwa sana
Kafulila anatokea Kigoma kinachomsaidia abaki hapo ni ushirikina unamlipa snSi kweli. Angekuwa mkali chawa kama Kafulila angekuwa keshatumbuliwa na kusahaulika zamani gani?
Kafulila alianza vizuri.Sasa unalalamika kwani Kafulila ndio CAG?
Shinda ndiyo ipo hapo mkuu, wajinga ndiyo wanaongoza welevu hawataki tenaUjinga ni ku-promote mataahira kama Kafulila kutwa yanaongea ujinga tu.
Mbaya zaidi ni kujiaminisha ujinga ni facts.
Labda umaskini wa Africa ni fate, bara zima weruvu hawawezi kukubali kuongozwa na wajinga.
Umaskini wa Tanzania ni uwezo mdogo wa viongozi wa nchi, na kuna waelevu wengi ambao wame-give up na kuwaachia siasa mapoyoyo.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amemtetea na kumpongeza Rais wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kupata ripoti nzuri ya CAG,
Bwana David Kafulila anasema Rais Samia na katika Kipindi chake hiki kifupi na kwa mujibu wa ripoti ya CAG ameongeza zaidi hati safi kutoka 800 za wakati wa Hayati Dkt John John Magufuli hadi 1,295 za sasa.
David Kafulila anaendelea kwa kusema vilevile Dkt Samia Suluhu Hassan amepunguza hati chafu kutoka 10 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli hadi 1 wakati huu wa Dkt Samia.
Wakati hati zenye mashaka nazo zikipungua kutoka hati 81 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli mpaka hati 5 za Wakati wa Rais Samia Sasa,
Kwa matokeo haya na Kwakuwa namba hazidanganyi Huenda Rais Samia hapigi sana kelele kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake ila yeye Sasa anatenda kazi zake kupitia kalamu kimya kimya kama alivyowahi kukaririwa na vyombo vya habari wakati flani.
==
View attachment 3291619
==
Media zote zimepewa tenda ya kumpromote Samia, media hazina vyanzo vingine zaidi ya kutegemea serikali so lazima wamsifie wapate matangazo, Kafulila ni mzuri sn kwenye kusifia ana anajua watanzania wengi wapo busy na Simba na Yanga hawana muda wakufuatilia maendeleo ya nchi yao, umewahi kumuona Kafulila na matapeli wenzake wameenda hata Mzumbe kufanya mdahalo na wasomi?Kafulila alianza vizuri.
Lakini alipofikia sasa inataka uelewe maana ya msemo ‘there is too much of everything’
Worst mengi anayoongelea kwa fujo hana technical understanding nayo, na wewe pia huna huo uelewa.
Sasa kujaribu kukufahamisha how dumb he is, wakati naelewa utakuwa mkaidi wa kuelewa somo kwa majibu na hoja za kijinga ni kupoteza muda.
Shida zaidi sio Kafulila ni jamii inavyoweza mtu asie na technical knowledge ya topic husika kumpa airtime, ina maana tatizo sio Kafulila tu, bali wanaomuhoji na media zinazo-promote misinformation.
Jukumu la media ni kuelimisha jamii, part of that entails kuongea na technocrats watakao toa elimu au informations sahihi ya swala husika.
Ndio maana uwa tunasema Tanzania has multitude of problems, zaidi ya Samia na kiini chake ni civil services system which is rotten.
Yaaani kwa kuwasikiliza viongozi watanzania waliopo leo, vijana wanao andaliwa kama viongozi wa kesho.
Nchi itabakia kwenye orodha ya nchi maskini duniani kwa muda mrefu sana
Ujinga ni mwingi sana.
Independent media ni chache sana duniani karibu zote zina bias.Media zote zimepewa tenda ya kumpromote Samia, media hazina vyanzo vingine zaidi ya kutegemea serikali so lazima wamsifie wapate matangazo, Kafulila ni mzuri sn kwenye kusifia ana anajua watanzania wengi wapo busy na Simba na Yanga hawana muda wakufuatilia maendeleo ya nchi yao, umewahi kumuona Kafulila na matapeli wenzake wameenda hata Mzumbe kufanya mdahalo na wasomi?
Ujasiri wa kutetea na kusifia kila kitu kama hivi unauzwa wapi jamani na Mimi nikajipatie angalau hata robo kilo tu?==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amemtetea na kumpongeza Rais wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kupata ripoti nzuri ya CAG,
Bwana David Kafulila anasema Rais Samia na katika Kipindi chake hiki kifupi na kwa mujibu wa ripoti ya CAG ameongeza zaidi hati safi kutoka 800 za wakati wa Hayati Dkt John John Magufuli hadi 1,295 za sasa.
David Kafulila anaendelea kwa kusema vilevile Dkt Samia Suluhu Hassan amepunguza hati chafu kutoka 10 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli hadi 1 wakati huu wa Dkt Samia.
Wakati hati zenye mashaka nazo zikipungua kutoka hati 81 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli mpaka hati 5 za Wakati wa Rais Samia Sasa,
Kwa matokeo haya na Kwakuwa namba hazidanganyi Huenda Rais Samia hapigi sana kelele kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake ila yeye Sasa anatenda kazi zake kupitia kalamu kimya kimya kama alivyowahi kukaririwa na vyombo vya habari wakati flani.
==
View attachment 3291619
==
Kigoma kuna tatizo kwakweli, sio wote; Iła kuna shida.Ujasiri wa kutetea na kusifia kila kitu kama hivi unauzwa wapi jamani na Mimi nikajipatie angalau hata robo kilo tu?
Kafulila hawezi kufanya mdahalo hata na wananfunzi wa VETA brother ni tapelitapeli tu wa mjini na ushirikina unamsaidia snIndependent media ni chache sana duniani karibu zote zina bias.
Lakini katika kazi yao kubwa mtaalamu kwanza anadadavua mambo kitaalamu, halafu anakuwa bias kwenye conclusion.
Ethically ku-balance story zinatakiwa kutafuta mtu wa upande wapili iwapo mtaalamu walie muhoji ni wazi ana political side.
Tatizo zaidi Kafulila sio mtaalamu wa hayo maswala anayoyaongelea ni mtu anaejiropokea, ndio alikuwa mmbunge na kamati za bunge zinapewa wataalamu kuwafafanulia nitty gritty za documents za serikali. Lakini uelewa wao unabaki very limited.
Kwa mantiki hiyo Kafulila ni mtu ambae anasambaza misinformation tu kwa vitu kutoka kichwani kwake.
Kigoma kuna shida kubwa snKigoma kuna tatizo kwakweli, sio wote; Iła kuna shida.
Takwimu zinawezwa kupikwa tu kwa kuwa wanajua kuna kikofi cha mama!==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amemtetea na kumpongeza Rais wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kupata ripoti nzuri ya CAG,
Bwana David Kafulila anasema Rais Samia na katika Kipindi chake hiki kifupi na kwa mujibu wa ripoti ya CAG ameongeza zaidi hati safi kutoka 800 za wakati wa Hayati Dkt John John Magufuli hadi 1,295 za sasa.
David Kafulila anaendelea kwa kusema vilevile Dkt Samia Suluhu Hassan amepunguza hati chafu kutoka 10 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli hadi 1 wakati huu wa Dkt Samia.
Wakati hati zenye mashaka nazo zikipungua kutoka hati 81 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli mpaka hati 5 za Wakati wa Rais Samia Sasa,
Kwa matokeo haya na Kwakuwa namba hazidanganyi Huenda Rais Samia hapigi sana kelele kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake ila yeye Sasa anatenda kazi zake kupitia kalamu kimya kimya kama alivyowahi kukaririwa na vyombo vya habari wakati flani.
==
View attachment 3291619
==
Angelikuwa na technocrats journalist kwenye media tours zake, wangeshamweka kwenye nafasi yake.Kafulila hawezi kufanya mdahalo hata na wananfunzi wa VETA brother ni tapelitapeli tu wa mjini na ushirikina unamsaidia sn
Haki ya munguKigoma kuna shida kubwa sn
Sure mkuuAngelikuwa na technocrats journalist kwenye media tours zake, wangeshamweka kwenye nafasi yake.
Tunarudi pale-pale, nchi ina multitude of problems. Halafu hawa watu wanajiamini hapo ndipo ninawasifu.
Wakati wengi wetu ni wanga kuongelea mambo ambayo hatuna technical depth nayo, wao wala as if dunia nzima vichwani imejaza ujinga wao
TuwaombeeHaki ya mungu
Hakuna namnaTuwaombee