David Kafulila: Wakati wa Rais Samia hati safi zimefikia 99% kutoka 89%

David Kafulila: Wakati wa Rais Samia hati safi zimefikia 99% kutoka 89%

Angelikuwa na technocrats journalist kwenye media tours zake, wangeshamweka kwenye nafasi yake.

Tunarudi pale-pale, nchi ina multitude of problems. Halafu hawa watu wanajiamini hapo ndipo ninawasifu.

Wakati wengi wetu ni wanga kuongelea mambo ambayo hatuna technical depth nayo, wao wala as if dunia nzima vichwani imejaza ujinga wao
Kwanini CHADEMA mnahangaika sana kiasi hiki?
Kafulila amecopy tu ripoti ya CAG Sasa tatizo lake hapo ni Nini?
 
Hivi Kafulila huwa ana muda wa kufanya kazi za ukamishina alizopewa kwelu?

Kutwa kutafuta takwimu za kumsifia Rausi tu kazi anafanya saa ngapi?

Ule ukamishina ukweli anapwaya

Atafutwe mtu serious atakaye concentrate zaidi kwenye jukumu la hiyo kazi badala ya kutwa kutunga nyimbo tu za kusifu na kuabudu Raisi

Kageuza ofisi ya ukamishina kama studio ya kutunga nyimbo za kusifu
 
Hivi Kafulila huwa ana muda wa kufanya kazi za ukamishina alizopewa kwelu?

Kutwa kutafuta takwimu za kumsifia Rausi tu kazi anafanya saa ngapi?

Ule ukamishina ukweli anapwaya

Atafutwe mtu serious atakaye concentrate zaidi kwenye jukumu la hiyo kazi badala ya kutwa kutunga nyimbo tu za kusifu ns kuabudu Raisi
Wewe Jenga hoja achana na ratiba zake za kazi

CAG ndio katoa hizi ripoti shida Nini kwa Kafulila?
 
Angelikuwa na technocrats journalist kwenye media tours zake, wangeshamweka kwenye nafasi yake.

Tunarudi pale-pale, nchi ina multitude of problems. Halafu hawa watu wanajiamini hapo ndipo ninawasifu.

Wakati wengi wetu ni wanga kuongelea mambo ambayo hatuna technical depth nayo, wao wala as if dunia nzima vichwani imejaza ujinga wao
Hapa tatizo ni Kafulila au ni CAG?

KAFULILA anawagonga sana nyie CHADEMA 😆😆

Kafulila brain yake ni kubwa sana,

Ni kama mlikuwa mmeshinda hivi hapo kabla ya hii,
 
Hili jamaa kumbe ndio maana lilipigwa chini na mke wake.
 
Wewe Jenga hoja achana na ratiba zake za kazi

CAG ndio katoa hizi ripoti shida Nini kwa Kafulila?
Hiyo ni ripoti ya CAG mchapa kazi
Yeye ajikite kwenye ripoti yake ya hizo PPP zake
.kutwa kudandia dandia ripoti za wengine ya kwake iko wapi?

Mtu anashinda ofisini kusoma ripoti za wengine na research za wengine wa ndani ya nchi na nje ya nchi na ku zi post kwenye twtter na JamiiForums

Hiyo ndio kazi ya kamishina wa PPP?

Raisi tafuta mtu mwingine
 
Nijuavyo mimi kukopa kunadumaza akili ya kubuni vyanzo endelevu vya kujiingizia kipato kiwango cha kukopa kimeongezeka sana kwa awamu hii ya sita, (kiuhalisia ni ya 5), Ina maana uwezo wa serikali kubuni vyanzo vya uhakika vya kupata pesa ni hafifu, (awamu iliyo dumaa sana kiakili)
 
Nijuavyo mimi kukopa kunadumaza akili ya kubuni vyanzo endelevu vya kujiingizia kipato kiwango cha kukopa kimeongezeka sana Ina maana uwezo wa serikali kubuni vyanzo vya uhakika vya kupata pesa ni hafifu
Sawa ila kifupi Mikopo haiepukiki
 
Hawa kazi iliobaki ni kutoa misifa tu ya uongo kila kunakucha
 
Back
Top Bottom